Wapiga kura waliikataa CCM UKAWA wakairejesha
Uchaguzi mkuu umekwisha. Walioshinda wameshinda na walioshindwa wameshindwa. Hata hivi haina maana kuwa wale wanaodhani hawakutendewa haki wasiende mahakamani. Kwa umma wa watanzania,...
View ArticleBongo suffers from PPD malady
In my last two weeks’ piece I extolled the hunk for conducting very placatory elections. However, they’re some issues I didn’t touch on due to the space limit. Today, I’m going to allude on...
View ArticleHabith Salva Rweyemamu ang'atuka ikulu
Taarifa zilizotufikia ni kwamba yule mwandishi kidhabu na mchumitumbo Salva Rweyemamu hatimaye ameondolewa ikulu na utawala mpya wa awamu ya tano. Kwa tunaomjua kwa kufanya naye kazi kwa karibu,...
View ArticleKijiwe chahoji baadhi ya mambo kwenye uapishaji
Baada ya wazee wa Kijiwe kujialika kwenye sherehe za kuapishwa kwa rahis mpya Dk Kanywaji Makufuli na makamu wake Samie Sululu, kimekaa kama kamati kuhoji baadhi ya mambo ili kujua maisha ya...
View ArticleMlevi akumbuka Kiquete kuingiana EPA kuondoka na Escrow
Utawala wa rahis mtaafiska Njaa Kaya Kiquette ulisifika kwa mambo mengi ya hovyo mojawapo ikiwa ni kukumbwa na kashfa mara kwa mara. Kwani lilikuumbwa na kashfa hata kabla ya kuundwa huku...
View ArticleOpen notelet to president Magufuli
Honourable President John Pombe Magufuli, I must admit from the outset. I didn’t like your party before appointing you its presidential flagbearer. Guess what. I predicted you’d...
View ArticleKijiwe champongeza na kumshauri Magufuli
Baada ya kuapishwa na kuingia kazini kwa gea kubwa, kijiwe kimempongeza tena rahis Kanywaji Makufuli na kumtaka akaze buti zaidi. Kijiwe leo kinakaa kuangazia machache ambayo ndugu rahis...
View ArticleEconomic Immigrants, What Europe Must Do
Syrian refugeesRecently, African and European Union (EU) leaders held a conference on economic immigrants in Malta aiming at hammering out the solution to the phenomenon that seems to be a hot potato...
View ArticleMr. President: Bashing office is not the way forward
Mr President JPM,Hello,After being sworn in, you (Joni Kadrink Magufuli) started to show your teeth especially your chapchap style of bashing offices to see how things are going (or not going). You...
View ArticleKijiwe chamkaribisha Majaliwa
Baada ya lais Joni Kanywaji Magufuli kumteua waziri mkuu Ka-telephone Majaliwa, Kijiwe kimemkubali na kinamtakia majaliwa mema yenye ufanisi katika wadhifa wake mpya kama jina lake. Mpemba...
View ArticleDr Magufuli needs to learn from Sokoine's tragedy
Before saying what I’m going to tiddly depone, let me cry first. Don’t think I’m crying because of ganja or kanywaji. No. I’ve remembered my fallen hero Edward Moringe Sokoine. When the name Edward...
View ArticleJiji la Dar: Bomoa bomoa isiishie kwa vidagaa
Hivi karibuni Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imefanya kitu ambacho kimewashinda na kuwashangaza wengi. Ni pale ilipovunja majumba yaliyojengwa kinyume cha sheria kwenye maeneo ya...
View ArticleMlevi kuomba kukutana na rais
Baada ya kupiga kanywaji na tubangi kidogo kusherehekea ushindi wa ki-Tsunami wa Dk Kanywaji, nimepata wazo tena kubwa litakalosaidia kaya yetu. Ninapanga kuomba kukutana na Dk Kanywaji ili nimpe shule...
View ArticleFighting Corruption pragmatically
President John Pombe Magufuli (JPM) must read the link I am going to offer hereunder or whoever that can relay info to him must do so soon after accessing the link. I am doing so to help him in his war...
View ArticleKijiwe chajivunia uanachama wa Majaaliwa
Kijiwe kimierauka leo. Leo wanakijiwe tuna furaha ya kufa mtu. Baada ya kukaa na waziri mkubwa bwana Katelephone na kumpa majina ya majambazi wa Bandarini naye –bila kulaza dam akawawashia moto,...
View ArticleAfrica should brace for Eco-imperialism
The Climate conference in Paris France left many shocked especially in developing countries. Major polluters namely rich nations of the Global North pledged some funds to help poor nations...
View ArticleBorn With Voice
Born with voiceOf course yes we’re born with voiceRemember the time you’re bornNever stop looking back now and thenWe all were born with voicesIndeed, this is our realityTruly, our voice is our...
View Article