Hello John Pombe Magufuli
I call upon you John Pombe MagufuliI know you’ve always been humblePomp has never been you symbolYou’ve always kept a low profileSimplicity has always been your styleI am talking to you Doctor...
View ArticleMy poem appears in Poetry Nation!
People with albinismI learned the plight of people with albinism with shockI didn't know that these people are becoming extinctI used to hear extinction on animals and assetsFor human being such...
View ArticleAkina Makonda waache uhuni na kuvunja sheri
Hakuna ubishi. Staili ya kutawala ya rais John Pombe Magufuli (JPM) imewastua –licha ya kuwazindua wengi –waliokuwa wamezoea kutegea, kubia, na kufuja mali za umma. Baada ya kuapishwa na kuingia...
View ArticleKijiwe chaunda BEEP na kukosoa uamuzi wa Dk Kanywaji
Kwanza tukiri wazi. Kijiwe kinamkubali rahis Dk Kanywaji Makufuli kwa moyo owte na tunaweza kusema kijiwe kinamkubali kichizi kama siyo kinoma. Hata hivyo –baada ya kutangaza msamaha kwa wakwepa kodi...
View ArticleUnifying Africa: Lesson from the 2015 Sino-Africa Summit 2015
The recently concluded Sino-Africa Summit aka Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC) in South Africa offers one major lesson: the need and significance for the reunification of Africa....
View ArticleAFRICA REUNITE or PERISH is out!
My new book Africa Reunite or Perish is on the tables now. I am happy to inform my readership that the book is ready for you to read and criticize shall there be any nuggets. Let me share my happiness...
View ArticleMwl Nyerere na mke wa Kaisari
Ewe Jakaya Kikwete, unamdanganya nani?Twayajua yako yote, tokea EPA zamaniUlishapoteza kete, tulia uraianiKaa ukiomba Mungu, mlindane mafisadiUlizoea ubwete, kwa sasa uko kizaniNafasi usiipate,...
View ArticleKiquete kuingia na EPA kutoka na Escrow
Utawala wa rahis mtaafiska Njaa Kaya Kiquette, ulisifika kwa mambo mengi ya hovyo hovyo mojawapo ikiwa ni kukumbwa na kashfa za mara kwa mara. Kwani ilikuumbwa na kashfa hata kabla ya kuundwa huku...
View ArticleMlevi kuomba kukutana na rais
Baada ya kupiga kanywaji na tubangi kidogo kusherehekea ushindi wa ki-Tsunami wa Dk Kanywaji, nimepata wazo tena kubwa litakalosaidia kaya yetu. Ninapanga kuomba kukutana na Dk Kanywaji ili nimpe shule...
View ArticleMotisha na kuzawadia wafichua uovu
Hakuna ubishi kuwa juhudi za rais John Pombe Magufuli (JPM) za kusafisha taifa toka kwenye mfumo na mazoea ya uozo zinaweza kubadili taifa letu toka kwenye ujambazi na ufisadi unaohujumu na...
View ArticleNew Cabinet: Escrew will screw us even more
After invoking his discretionary prerogatives, president JPM, recently, unveiled his lean but not clean cabinet. He, though, left many in shock if not dismay especially those whose velleity was not...
View ArticleDo they look good really?
President John Alcohol Magufuli seems to itch many people in the region including his peers. Again, when others did right things for their countries they just laughed at us. Now that Tanzania has...
View ArticleKijiwe chajadili uteuzi wa Muongo
Baada ya rahis Joni Kanywaji Magufuli kuteua baraza lake la ulaji, kijiwe kimekaa kama kamati kuelezea kuudhiwa, kustushwa na kupinga uteuzi wa baadhi ya nyuso zilizoleta hasara kwa kaya...
View ArticleAre Mayardit and Machar waiting for indictment?
No doubt. The conflict in the youngest nation in Africa, and on earth, South Sudan has dragged on for long. This conflict has also caused a lot of suffering for the people of South Sudan...
View ArticleRais Magufuli tunusuru na akina Makonda tafadhali
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda si mgeni katika vituko. Baada ya kumshambulia mzee Joseph Warioba, hapo tarehe 2 Novemba 2014 rais mstaafu Jakaya Kikwete aliishangaza dunia kwa...
View ArticleMlevi aunda baraza lake la mawaziri mbadala
Baada ya kuupiga na kusoma sura zilizoko kwenye baraza la ulaji aliloteua mkuu JMP, nami nimeamua kuunda baraza langu ili kuonyesha alivyokosea katika kuunda lake. Nafanya hivi kuonyesha...
View ArticleMkurugenzi wa Tanesco naye aachie ngazi
Vyombo ya habari hivi karibuni vilimkariri Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Umeme la Taifa (TANESCO), Felchesmi Mramba akijisifu kuwa wamewawajibisha baadhi ya maafisa wa Tanesco tokana na...
View Article