I propose the magufulification of the new constitution
After evidencing the charade of enacting a new constitution for the hunk that was carried out by the former nihilistic regime, it is time to propose the magufulication of...
View ArticleIf you believe Africa is the poorest continent think again
Despite being touted as the poorest continent on earth, Africa has nobody sleeping in the graveyard. Nobody is living amidst ghosts; and the stench of death as you will see in the following clip....
View ArticleWanakijiwe walaani kubomolewa mijengo yao
Baada ya kaka Dk Kanywaji kuja juu na kubomoa majumba yaliyojengwa uswekeni, wanakijiwe wamepokea uamuzi huu kwa shingo upande. Mpemba anaingia akiwa na ndita usoni. Baada ya...
View ArticleBurundi: Cry Beloved Country
There’s no other name that can be used to define what is currently going on in Burundi. It is purely state terrorism. Before proceeding with the situation in Burundi, let’s unpack some ideas on...
View ArticleDr. Magufuli, relieve us of Makonda
Although this isn’t an open letter to Dr. JPM, I’m sure he’ll read it. Little bird told me that he doesn’t miss my stuff every Sunday when he’s thinking about what to do next. First of all,...
View ArticleWachungaji wachunaji wamulikwe
Wapo viongozi wa kiroho wenye uroho wanaowachuna kondoo wa Bwana badala ya kuwachunga. Baada ya serikali ya awamu ya tano kuanza kushughulikia ufisadi nchini, wapo wanaoona kuwa imejikita...
View ArticleDr. Magufuli, relieve us of Makondas
Although this isn’t an open letter to Dr. JPM, I’m sure he’ll read it. Little bird told me that he doesn’t miss my stuff every Sunday when he’s thinking about what to do next. First of all,...
View ArticleMagufuli amefika wakati muafaka ila anahitaji nguvu ya kimfumo
Ujio wa rais John Pombe Magufuli una somo moja kubwa. Amefika wakati muafaka. Wengi –baada ya taifa letu kutekwa na mafisadi –walifikia mahali kukata tamaa wakihoji kama kuna mtanzania...
View ArticleKijijiwe chastukia wanaojitia kuombea kaya
Baada ya kunyaka matangazo kuwa kuna wachunaji wana mpango wa kuiombea kaya, kijiwe kimekaa kama kamati kulaani upuuzi huu. Mgosi Machungi –kama kawa –ndiye analikoleza. Anaingia...
View ArticleMlevi aaga, atafsiri na kukaribisha mwaka
Japo mlevi si muumini wa dini yoyote zaidi ya ulabu na mibangi, anamshukuru Subhanna kuumaliza na kuanza mwaka bila ya kuuawa na mibangi na mma ukiachia mbali kutotupwa lupango kwa kusakiziwa...
View ArticleUenyekiti CCM:Kikwete uliachiwa muachie Magufuli
Baada ya rais Jakaya Kikwete kustaafu na kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM) mengi yameanza kusemwa ya maana na yasiyo ya maana. Yanasemwa mengi baada ya kupatikana rais...
View ArticleHow many unknown EGMA are out there?
Let us start with wishing everybody a very spiffy new year 2016 that saw our hunk having a very brand new responsible government under JPM. If anything, the year 2016 is the year of change....
View ArticleKijiwe chajadili mjengo wa Uhindini
Kijiwe kilisherehekea mwaka mpya 2016 kwa furaha isiyo ya kawaida. Hii ni baada ya magazeti ya umbea kuripoti kuwa mahekalu ya mchunaji Gettie Rwakaterehe –hatimaye –yatapigwa chini kwa vile...
View ArticleWaziri mkuu anapogeuka mwanamuziki
Wa pili kushoto ni waziri mkuu wa zamani wa Kanada, Stephen Harper akiwa na wanamuziki wa kundi lake la Herringbone baada ya kutumbuiza jijini Toronto hivi karibuniBaada ya kubwagwa kwenye uchaguzi...
View ArticleSerikali imulike makampuni ya simu
Serikali ya awamu ya tano imeanza kuweka nchi kwenye mguu sawa baada ya kuanza kushughulikia ufisadi wa kutish na wa kunuka wa muda mrefu nchini. Bandari, Mamlaka ya Mapato, Hospitali ya...
View ArticleMlevi aja na Quantum Corruption Detection Theory
Baada ya matapeli wanaocheza na uhai wa walevi kuja na kinachoitwa Quantum Magnetic Analyzer ili kuwaaminisha kuwa nao ni wataalamu tena wanaokwenda na sayansi na teknolojia, Mlevi...
View ArticleBoozer proposes axing presidential perks
After Dr. Joni Kanywaji Mugful came to power two months ago, the dirty linens of the former regime are on the agora for every eye to see enjoy and jeer for the victims; and frown for the...
View ArticleKijiwe chataka rais atumbue na mabusha
Rais Joni Kanywaji Makufuli amejipa cheo cha mtumbua majipu. Wengi wamemkubali ingawa wapo wanaomlaani hasa wale wakazi a mabondeni. Wanalaumu kwanini watoe kura waishie kubomolewa mijengo...
View ArticleMlevi akataa tuzo kanyabwoya ya mlevi bora
Kuna kijigazeti cha kitapeli kiitwacho Afro Jua Times kilitaka kuniingiza mjini na kunitumia kikidhani mimi ni njinga na mpenda kusifiwa ujinga kama wale wanaopenda kila upuuzi ilmradi...
View ArticleMagufuli atafakari sana vita dhidi ya mihadarati
Akihutubia bunge la kwanza akiwa rais, Dk John Magufuli aliwaahidi watanzania kupambana na biashara haramu ya mihadarati ambayo imekuwa aibu, kero na tishio kwa taifa. Alisema kuwa hatakuwa...
View Article