Open letter to Dr. Ndalichako
Dr. Joyce Ndalichako, uh-oh prof,Although I don’t know you personally, I’ve known you for a long time through your excellent academic performance especially when you’re at the helms of the organization...
View ArticleMagufuli atumbue jipu Lowassa
Tunaandika haya kumtaka rais John Magufuli kujipanga kutumbua majipu mengine makubwa yatokanayo na mfumo mbovu aliourithi ambapo watu wasiostahiki wanalipwa stahiki wasizostahiki. Mfano...
View ArticleKijiwe chamtahadharisha Dk Kanywaji na Makapi
Baada ya kushuhudia baadhi ya waadhirika waliokuwa na majivuno na kiburi enzi zao wakienda kwa rahis Dokta Kanywaji Makufuli kuhiji, kupiga soga, kupoza hasira na wengine kusaka kibarua,...
View ArticleMlevi kuiambia -si kuiombea -kaya na ombaomba
Baada ya kugundua na kushuhudia kuwa kuombea Kaya imekuwa fasheni ukiachia njia ya siri ya wahusika kujisogeza karibu na wenye ulaji na kuchangisha sadaka nyingi. Kwa mlevi huu ni mkenge...
View ArticleBiashara ya dini-Anonymous
Biashara ya dini imeaanza tangu zama za kale pale mwanadamu alipoaanza kujielewa kuwepo kwake hapa dunia na kuanza kujiuliza na kutafuta maana hiyo ya kuwepo hapa duniani.Tukiangalia kwa mapana zaidi...
View ArticleCongrats JK on being chancellor of University of Manzese
Dear readership, I know you are wondering if I am intending to go back to teaching in the universities. Last week delved into education biz. And today I am doing the same. Sweat it not. I...
View ArticleWEF Does Not Add Value to Africa
Every year, government and business leaders congregate in Davos Switzerland to discuss business under the so-called World Economic Forum (WEF). Many African leaders like to also go there to beg and...
View ArticleMagufuli still has more boils to clean
When President Joni Kanywaji Mugful dealt a blow to some ambassadors who were just hanging out abroad, those who know the whole scandal started smiling waiting for yet more to be done....
View ArticleKijiwe chastukia Escrow Mjengoni
Baada ya Jobless Nduguy kutangaza vifaa vyake vitakavyotumika kutubamiza mkenge Mjengoni, Kijiwe kimestuka na kuamua kutoa tamko kama taasisi inayoheshimika sana Kayani kikionya kuhusu...
View ArticleMlevi kuishatiki escrew The Hague
Baada ya Mlevi na Walevi wenzake kungoja kwa muda mrefu bila majibu, sasa napanga kufungua kesi kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC). Hii ni baada ya kuhadaika kuwa rais Dk...
View ArticleSomo: Ubomoaji nyumba mabondeni
Waathirika wengi walisikika wakiilaumu serikali wakiuliza ilikuwa wapi hata baada ya kuiona ikifanya kazi ya ubomoaji wa nyumba zilizojengwa kwenye maeneo hatarishi, ya wazi na mengine...
View ArticlePaying tax is better than fake aid
It has become an in-thing to see some suspicious companies and investors giving aid to some groups in our hunk. Some support sport clubs, schools and dispensaries. Giving is nice if it...
View ArticleMagufuli atumbue na majipu mikoani na wilayani pia
Ama kweli rais John Pombe Magufuli hana mchezo. Utumbuaji wake wa majibu unazidi kuwafurahisha wengi ingawa si wote. Wapo wanaoridhika na kasi yake. Pia wapo ambao hawaridhishwi kabisa na...
View ArticleTulaani udhalilishaji wa wabunge
Kitendo cha hivi karibuni cha polisi kuingia bungeni na kuwabughudhi, kuwadhlilisha na kuwaondoa wabunge bungeni–licha ya kusikitisha, kustua na kudhalilisha–kinapaswa kulaaiwa na watanzia...
View ArticleKijiwe chalaani ndata kuingia kudhalilisha wahishimiwa
Baada ya ndata kuingia mjengoni, kuwadunda na kuwaburuza nje wahishimiwa, Kijiwe kimekaa kama bunge kulaani na kujadili kadhia hii ya aina yake kwa kaya yetu. Kwanza, kinalaani kwa herufi...
View Article