Mlevi kupambana na wabaguzi wa kigabacholi
Baada ya kuzinyaka kuwa binti wa kilevi amefanyiwa kitu mbaya kule ugabacholini, Mlevi anatishia kuingia kwa fosi Bangalole ili awasake wabaguzi waliomfanyia kitu hii na kuwatia aibu....
View ArticleVita ya ufisadi: CCM wanamdanganya nani?
Hivi karibuni katika maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mjini Singida, Mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete alisikika akiwazodoa wapinzani akisema waache kudai kuwa...
View ArticleAre Hindis racists?
I can that guy shaking his head thinking I’m making this question up. No, the question’s been adapted from Indian NDTV (4 Feb, 2016) after a Bongolalaland girl–who happens to be the daughter of my...
View ArticleSerikali itangaze mgogoro na India
Kitendo cha binti wa kitanzania kupigwa, kudhalilishwa, kuchomewa gari na kuvuliwa nguo hadharani na wananchi wenye hasira mjini Bangalore India licha ya kuwa cha kibaguzi na cha kinyama,...
View ArticleWale wenye asili ya Sauzi bila shaka watafaidi ujumbe huu
Baba twaja mbele yakoMungu mfalme wetuSikiliza sala zetuTwakesha maporinitukipambana na shetaniTuma wasaidizi babaWawapashe watu woteHabari zakoUfalme wako uje
View ArticleMlevi agoma kusimamia uchakachuaji kwa M7
Baada ya wajinga fulani kutaka kunigeuza juha kama wao wakitaka eti niende kwa M7 kuangalia uchakachuaji wakati nikijua kura zitaibiwa na imla atachukua na kuweka waa, niliwatolea nje kuwa...
View ArticleBoozer to take racism demo to Bombey
I didn’t intend to revisit racism issue that I tackled last week. But after one bigot wrote me a provocative email, I’ve decided to revisit the same so that I can send a clear message to...
View ArticleTuondoe Tanzania kwenye makucha ya vigogo
Taaria kuwa katika wimbi la kukamata wanaohujumu nchi yetu limemnasa mtoto wa aliyewhi kuwa Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Suleiman Kova aitwaye Masoud linaweza kufichua mengi. Je ni...
View ArticleKijiwe chataka waliozima mita za mafuta nao wazimwe
Taarifa kuwa baadhi ya wezi na wakubwa katika kaya yetu walikuwa ikiingiza mafuta bila kulipiwa ushuru kwa miaka mitano zimewaudhi wanakijiwe nusu ya kufikia kutaka kupasuka. Licha ya...
View ArticleHii ni bahati mbaya au kuna namna kwenye wizi wa makontena?
KWA mujibu wa gazeti la Nipashe la leo, kampuni zifuatazo ndizo zilibainika kushiriki kupitisha makotena bandarini bila kulipa ushuru. Ukiangalia majina ya makampuni takriban yote ni ya kiarabu. Je...
View ArticleMlevi kumualika Obasanjo uchakachuaji Zenj
Baada ya rafiki yangu wa zamani Jenerali Olushe Obasanjoo kuonyesha asivyo mwoga wala mnafiki kwenye uchakachuaji uliosha kwa M7, mlevi anapanga kutia timu Abeokuta kwenda kumpa shavu na...
View ArticleCongrats king M7 on your victory
Dear readers and fans, greeting from the Republic of M7, sorry UG which recently concluded its charade, sorry, general elections that saw long-time demoncrat, sorry, democrat YKM7 won his...
View ArticleMagufuli anaishi jipu ikulu
Kuendelea kuwa na balozi Ombeni Sefue–ambaye, kimsingi, alikuwa mshauri mkuu wa rais mstaafu Jakaya Kikwete anayedaiwa kuacha nyuma madudu kibao–ni licha ya kuchafua sifa ya serikali ya awamu ya tano,...
View ArticleAFRICA REUNITE or PERISH chaanza kufundishwa chuoni
Nimepata habari njema kuhusiana na vitabu vyangu hasa AFRICAN REUNITE or PERISH kuagizwa na chuo kikuu cha The Great Zimbabwe University kuanza kutumika kufundishia. Sambamba na ARP vitabu vya Born...
View ArticleKijiwe chataka Kiquette ajitumbue kwanza
Kijiwe kilishangaa kiasi cha kukutana kama kamati ili kudurusu mantiki ya Mkiti wa Chama Cha Maulaji (CCM) kudai kuwa atawatumbua wanafiki ndani ya genge lake twawala. Wanakijiwe...
View ArticleMlevi kuwa wakili wa kujitolea kesi za mafisadi
Tokana na baadhi ya wanasheria na wataalamu kutumiwa na mafisadi kama nepi na kuingia mikataba michafu kama ule wa IpTL na TANISCO, Mlevi, kwa akili zangu timamu, bila kulazimishwa na mtu...
View Article