Kwa wananandoa au watarajiwa
Hapa Agatha Murudzwa anawanasihi wanandoa kupendana huku akiwapongeza wawili waliofunga pingu za maisha kwa lugha yake ya Kishona.HongereniMungu awe nanyiMungu awalindeumepata mumemapenzi...
View ArticleCronyism, nepotism and nihilism: Hooray Makamba
As any boozer, I didn’t expect Jan Makamba’s accusations against Jake Kiquette. I didn’t expect this given that the accuser is one of the beneficiaries of the crime he’s accusing Kiquette...
View ArticleBreaking news Sefue chini Ikulu
Baada ya kulalamikiwa kushiriki uchafu mbali mbali,aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue amepigwa chini rasmi leo na nafasi yake kuchukulia na John Kijazi aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini...
View ArticleKijiwe: Makonda acha kudhalilisha walimu
Baada ya mkuu wa wilaya ya Kinondo Po Makonda kuchemsha kwa kuja na mpango wa kudhalilisha wanafunzi, Kijiwe kimekaa kama kamati kulaani ujinga huu. Pia kijiwe kinatoa mapendekezo ya nini...
View ArticleHaya ni maombi au utapeli na ubangaizaji
Baada ya rais John Magufuli kustukia gea ya baadhi ya viongozi wa kiroho wenye uroho na hamu ya kuwa karibu na ulaji, amesusa kuhudhuria upuuzi unaoitwa kumuombea. Kwani hamuwezi kumuombea majumbani au...
View ArticleReunite East Africa instead of integrating it
The just concluded meeting of the East African Community (EAC) heads of state in Arusha Tanzania reached a milestone. South Sudan was officially admitted to the EAC. This is a good move...
View ArticleSijui kama wanaong'ang'ania madaraka walijifunza kitu hapa
Ukijikumbusha Ngwazi Muamar Gaddafi alivyolipwa, unashangaa mantiki ya maimla wa kiafrika kuendelea kubadili katiba ili wabakie madarakani wakati ni hati hati na mtihani ukipatikana. Kweli historia ni...
View ArticleMlevi amtumbulisha jipu Sifui
Hakuna wakati aliowahi kunikuna rais Joni Kanywaji Mugful kama alipoamua kumtolea uvivu jamaa yangu Muombeni Sifui. You know what? Mimi ndiye niliyemchoma tena kwa kuandika wazi wazi makala...
View ArticleBoozer won’t pray for Mugful
President Joni Kanywaji Mugful’s recently quoted as saying that this hunk–for over thirty years it’s ruled by termites and hyenas–was turned into shamba la bibi due to doing monkey business....
View ArticleWakuu "wapya" wa mikoa, Magufuli achemsha
Ukiangalia orodha ya walioteuliwa kuwa wakuu wapya wa mikoa unashangaa kama imeandaliwa na Jakaya Kikwete au John Magufuli. Maana, hakuna jipya zaidi ya muendelezo wa usanii ule ule. Hapa ndipo...
View ArticleJanga la taifa: Vyuo vikuu vinapoeneza ujinga
Kashfa ya hivi karibuni iliyokikumba Chuo Kikuu cha St Joseph inapaswa kulifumbua taifa macho. Baada ya kuingia kwenye sera mbovu za kiliberali mamboleo za kubinafsisha kila kitu, nchi...
View ArticleMagufuli usitegemee kuombewa uchukue hatua
Akiwa mkoani Arusha baada ya kuweka jiwe na msingi la ujenzi wa barabara ya inayoelekea Nchini Kenya yenye urefu wa Km 234.3 hadi Holili rais John Pombe Magufuli aliwaambia wananchi kuwa...
View ArticleKijiwe chastukia sanaa za Lukuvi
Hivi karibuni Kijiwe kilibaki kinywa wazi na maswali mia kidogo baada ya mjivuni mmoja kuja na mpya kuwa alikataa rushua ya madafu bilioni tano. Kukataa au kupokea si issue. Kinachogomba ni...
View ArticleMakufuli mtumbue jipu Lukuviii
Baada ya muishiwa waziri wa Udongo Bill Lukuviii kuja na mpya kiasi cha kumlewesha Mlevi hata bila kanywaji na tubangi, imebidi lau niseme ili wote na yeye wajue kuwa sikuingizwa mkenge....
View ArticleKijiwe kupinga amri za Dk Kanywaji
Amri za rahis Joni Kanywaji Makomeo zimekichefua kijiwe kiasi cha kupanga kwenda kwa pilato kuzipinga. Haiwezekani turejeshewe utawala wa kindavandava wakati twaambiwa sisi ni kaya ya...
View ArticleMlevi astukia 'ugesishaji' kaya
Tangu alipoingia kwenye ulaji baada ya kuchukua ukanda toka kwa Njaa Kaya aliyeonekana kuwa kilaza kiutawala kiasi cha kuigeuza kaya shamba la bibi kama alivyodai rahis hivi karibuni, nilitokezea...
View Article