Lukuvi whom are you trying to dupe
Soil Minister, Bill Lukuvi, left boozers shocked and infuriated. He’s recently quoted alleging that he turned down a cool Tsh5 billion bribe that two tycoons wanted to offer him so that...
View ArticleBarua ya wazi kwa waziri mkuu Majaliwa
Mheshimiwa waziri mkuu,Kwanza nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa waziri mkuu. Pili, nakupongeza kwa juhudi unazofanya kupambana na uovu kuanzia bandarini hadi kwenye sekta ya ardhi. Ndugu...
View ArticleKijiwe chapanga kutembelea Zenj
Japo kijiwe hakikushiriki kwenye uangalizi wa uchakachuaji wa marudio kule Zenj–kwa kutoridhika na jinsi mambo yalivyokwenda ndivyo sivyo–mjumbe wake, alhaj Mpema, alikuwako kule kuangalia...
View ArticleBREAKING NEWS GOOD NEWS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ndugu jamaa, marafiki na wasomaji kwa ujumla,Nina furaha -kwa niaba ya familia -kuwatangazia kuwa usiku wa kuamkia leo majira ya saa sita kama na sekunde kadhaa tumajaliwa watoto mapacha NGWAZI na...
View ArticleBongo: Shamba la bibi au la bangi?
Kasheshe iliyotokea hivi karibuni kule kwa akina Omushuma aramu mushaija iwe nogambaki omuzira nkende Rwabunonihino na Rweyependekeza kama anavyopenda kuwasanifu John Kanywaji Makufuli,...
View ArticleTunaipongeza serikali kubomoa jengo hatarishi
Hakuna ubishi kuwa serikali ya awamu ya tano chini ya rais John Pombe Magufuli imeanza kuleta mapinduzi tena ndani ya muda mfupi kama haitalewa mafanikio na kulegeza Kamba. Tukio la hivi...
View ArticleFrom Boozer to President Mugful
Dear Mr. President, Dr. Joni Kanywaji MugfulHow are you doing? Take note that you made my Easter. On top of bang and swig, you made me happy type when you spoke to the nation during your...
View ArticleMizigo yenu
Wanguni au wangoni -kama wanavyoitwa Tanzania, Wanyasa, Washona na wote wenye asili ya kule watafaidi ujumbe uliomo kwenye wimbo huu hasa wale wanaoamini katika kutoleana sadaka na kumwagiana damu...
View ArticleIs racism cancer in Indian society?
Are Indians racist? Get the answers from them at a national level. I am posting this with the intention of addressing the problem in order to help.
View ArticleKijiwe kwenda kunywa chai na Dk Makufuli
Baada ya rahis Joni Kanywaji Makufuli kukikuna kijiwe pale alipotangaza kuwa anataka Bongo iondokane na uombaomba na kugeuzwa shamba la bibi, Kijiwe kinapanga kwenda kumpongeza na kumpa...
View ArticleWho’ll save South Africa from Zuma?
South African president Jacob Zuma is a cat with seven souls. Since he came to power, he has become more a liability to his country than an asset. Since unseating former President Thabo...
View ArticleMlevi: Itungwe sheria ya kunyonga mafisadi
Baada ya wale ambao hukuwatarajia kutumbuliwa tena uchi na wengine kulala lupango, Mlevi nina mpango wa ima kwenda mjengoni au kwa Dokta Joni Kanywaji Makufuli kuwachomea utambi ili itunge...
View ArticleMagufuli tumbua wezi bodi za mashirika ya umma
Akiwa mjini Chato mkoani Geita hivi karibuni, rais John Pombe Magufuli alizungumzia mambo mbali mbali yahusuyo mstakabali wa taifa. Moja kati ya mengi aliloongelea –au tuseme kugusia –ni...
View ArticleDr Mugful:Boozers want our Swiss dosh back
After the American Millennium Challenge Corp (AMCC) withdrew its pledge of furnishing the hunk with $ 700 thanks to Zenj’s mess, as a hunk, we need to think out of the box about how to...
View ArticleOn Chinese criminals: Tanzania can learn from Kenya
Kenya authorities recently busted a Taiwanese gang of criminals. After arraigning the members of the gang who were allegedly involved on various criminal activities such as cyber crimes, Kenya...
View ArticleHii kitu nimeipenda sana
Hakuna kitu kilikuwa kikinikera kama ujambazi wa kutumia ofisi ya rais kwa wake zao kujitajirisha. Hili nilishaliandikia sana hadi baadhi ya waathirika wakadhani nilikuwa na ugomvi binafsi. Msanii hapa...
View ArticleKijiwe kutuma mjumbe Panama
Baada ya kampuni ya uwakili ya Fonseca ya nchini Panama kuwaanika wezi wenye maulaji, kijiwe kinataka kumtuma Msomi Mkatatamaa kwenda kule kubaini na kutaka FONSECA ifichue na majina ya...
View ArticleMa-konda: Ombaomba yupi amfukuze mwenzake?
Pamoja na kupiga mma na bangi sana, mlevi alishangaa nusu kufa aliposika mkubwa wa mkoa wa Bongo Po Ma-konda akitoa amri ombaomba wakitoe eti wanachafua jiji. Inashangaza. Wakati mwingine...
View Article