Quantcast
Channel: Free Thinking
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3173

Mizigo yenu

$
0
0
Wanguni au wangoni -kama wanavyoitwa Tanzania, Wanyasa, Washona na wote wenye asili ya kule watafaidi ujumbe uliomo kwenye wimbo huu hasa wale wanaoamini katika kutoleana sadaka na kumwagiana damu ukiacha mbali kula mwili wa wenzao wasiitwe wala watu.
Wachukua mzigo wangu wa dhambi (umthwalo wa zono zami) pale Kalvari
Nanyi pelekeni mizigo yenu (imithwalo ya zono zako) ya dhambi Kalvari



Viewing all articles
Browse latest Browse all 3173