Mugful: This is how you can save dosh
Dear Mr. President Dr JPM, sir, Once again, I’m touching base with you. You’re busy I know but please read this piece; and work on it. Don’t care that it’s written by a boozer. To quote...
View ArticleWageni wanaokwepa kodi wafukuzwe nchini
Unaweza kusema Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Pamoja na kugeuzwa–hata kuitwa shamba la bibi–bado inaendelea kuvumilia uhujumu uchumi wa ajabu huku watu wake wakiendelea kuwa maskini. Taarifa za wageni...
View ArticleAkina Kilango wasipangiwe kazi nyingine
Hivi karibuni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, John Pombe Magufuli, aliwaacha wengi hoi pale alipomtumbua jipu aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anna Kilango Malecela baada ya...
View ArticleTanzania haipaswi kuwa ombaomba
Akiongea kwenye ibada ya pasaka, rais John Pombe Magufuli aliwataka watanzania kuchapa kazi ili Tanzania iweze kuondokana na uombaomba na utegemezi wa makombo ya misaada toka ughaibuni. Na...
View ArticleKijiwe chatongoa Nkapa Foundation
Hivi karibuni bwana nkubwa bingwa wa kuzodoa wenzie Ben Tunituni Makapi alikuwa na harambee ya kuchangia kampuni yake iitwayo Makapi Foundation. Kwa vile huyu bwana aliwahi kuwika kuliko...
View ArticleUliwahi kufurahi kutangaza kifo?
Naona yule anatikisa kichwa akidhani mibangi na ulabu vimeanza kunitia kichaa. Si kichaa wala roho mbaya au kuwanga vinavyonisumbua kufurahia kutangaza kifo au vifo vya gendaeka. Nina sababu tena zenye...
View ArticleMakonda asimhadae rais na dunia
Akitoa salamu za mkoa wa Dar Es Salaam hapo Aprili 19, Mkuu wa mkoa, Paul Makonda, aliwaacha wengi hoi alipojitahidi kujifagilia na kulinda kitumbua chake. Alisema kuwa tangu ateuliwe kuwa...
View ArticleChini ya Kikwete tulikuwa taifa la walevi
Sina nia ya kumkandia rais mstaafu Jakaya Kikwete ambaye huwa sipendi kumuita dokta kwa vile hajasomea shahada ya uzamifu. Ila naweza kueleza kuwa chini ya utawala wake–kama ulivyoumbuliwa...
View ArticleLetter to Janet Magufuli
Dear First lady, Janet Mugful, Congrats on becoming the fifth-first lady of the republic of Bongo.Allow me to humbly and sincerely touch base with you. To be open and frank, I adore you...
View ArticleKijiwe chadurusu daraja la Kigamboni
Baada ya rahis Joni Kanywaji Wine Makufuli kufungua daraja jipya la Kigamboni alilopendekeza liitwe mzee Mchonga, Kijiwe kilikaa na kudurusu baadhi ya mambo kuhusiana na daraja hili adhimu na la kwanza...
View ArticleMlevi kutaja walioficha njuluku nje
Baada ya kufichuliwa ukwepaji mkubwa wa njulu kule Panama, nafanya mipango kwenda kule kuibua wafichaji wa Kibongo ambao wameponea chupuchupu kutotajwa japo wengi wengine bado wamo kwenye...
View ArticleMugful, don’t reward failures and hangers-on
After finding that touching base with the head boosted my ujiko, I decided to deal with many matters many don’t like to. Today I’m, once again, taking on Dr Joni Wine Mugful. I heard him so...
View ArticleMagufuli ondoa madili rejesha maadili
Tangu kuondoka kwa serikali ya awamu ya kwanza chini ya baba wa taifa Marehemu Mwl Julius Nyerere, Tanzania ilikoma kuwa nchi inayofuata maadili ya utumishi wa umma. Badala yake iligeuka...
View ArticleKijiwe chamchimba Makufuli
Baada ya kuona mikwara, vimbwanga, mbinyo na hekaheka za Dokta Kanywaji Makufuli na kukunwa navyo, Kijiwe sasa kimeamua kumtonya kama si kumchokonoa. Kinashangaa–baada ya kuongoja bila majibu–ni...
View ArticleMlevi kuhamia mlima Kilimanjaro
Furiko la juzi lililolipiga jiji la Bongolala limenifanya niichukie Bongo niliyoipenda kuliko hata bi Mkubwa. Mwenzenu naamua rasmi kubwaga manyanga. Si kwa sababu yoyote bali mafuriko ya...
View ArticleViongozi wa kiroho nao wataje mali zao
Tangua aingie madarakani, rais John Pombe Magufuli amejizolea umaarufu kutokana na falsafa yake ya “kutumbua majibu” ikiandamana na kauli mbiu ya “Hapa kazi tu.” Wengi–hasa wanaotuhumiwa...
View ArticleWhen suited beggars expel ragged ones
Currently, in Bongo, beggars are feeling the heat after the regional boss Po Makonda–a former beggar himself–decided to turn the tables on them. Let me clarify before being accused of...
View ArticleMY NEW BOOK IS OUT!!!!!
Psalm of the OppressedPsalm of the Oppressed is satire that uses sheep and hyenas to show exploitative relationships among people. It lampoons political corruption based on nepotism, greed, cronyism,...
View Article