Kijiwe chataka waliosamehe kodi wanyongwe
Baada ya Mkaguzi na Mdhibiti wa njuluku za lisirikali kutoa taarifa yake ya kuudhi, kusikitisha na kustusha, Kijiwe kimekaa kama kamati kuu ya kuendesha kaya kuijadili na kutoa onyo kuwa tunaweza...
View ArticleMakufuli chunga wasikuKolimbe au kukuSoikone
Wiki juzi nilipoandika waraka wa kufurahia kutangaza vifo vya mafisadi kuna mafisadi au makuwadi wao kama kumi na ushei hivi waliniandikia emails za matusi; wasijue nshatukanwa matusi aina...
View ArticleViapo vya akina Makonda vina uhalali kisheria?
Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda aliwalisha viapo wakuu wa idara mkoani mwake kufichua wafanyakazi hewa. Huu ni utaratibu mpya ambao sijui unatoka kwenye katiba gani...
View ArticleCrucify those who offered 8tn tax exemption
Though Bongolalalanders have no tails, they make me wonder a lot especially when I see what they do either individually or collectively as a hunk. Recent damning report by the Comptroller...
View ArticleKijiwe: Walioficha njuluku ughaibuni wanyongwe
Japo si kawaida yake kuanzisha mada, leo Mchunguliaji kaamua kuvunja mwiko. Ameinigia akiwa amenunua gazeti lake mwenyewe. Kila mmoja anashangaa kunani leo. Baada ya kuamkua, anabwaga gazeti...
View ArticleWake za mawaziri waitwe "mawazira"
Kisa cha hivi karibuni cha afande mmoja kukataa kunyanyaswa kwa mjuba na limbukeni mmoja kutaka kutumia ukubwa wa bedroom, kimenilazimisha kuandika makala hii. Kwa wasiojua inshu nzima ni...
View ArticleSukari: Mnamuonea Magufuli
Hali ya upungufu na ulanguzi wa sukari unaolikabili taifa imezua maswali mengi kuliko majibu. Wapo wanaomlaumu rais John Pombe Magufuli kwa kuchukua hatua kali ambazo zimewaathiri...
View ArticleMugful: Boozers need their houses back
Since getting at the helms, with his crown jewels, “Hapa Kazi Tu” slogan and “Boil Cleansing” philosophy, President Dr. John ka-Drink Mugful’s credibly attracted many boozers who seem to...
View ArticleKijiwe chamuaga Kitwanga
Baada ya rais Dokta Joni Kalaji Makufuli kumpiga kalamu mlevi mmoja aliyekuwa amefanikiwa kujichomeka kwenye safu yake, Kijiwe hakikumuacha aende hivi hivi bila angalau kumzomea japo...
View ArticleRacism: India can't get away with murder anymore
A victim of xenophobic attack in IndiaAfrican envoys in India decided to bring what seemed to be technically swept under the rug. They decided to call a spade a spade after deciding to alert their...
View ArticleMlevi kusafirisha bangi na mirungi kwa ndege
Zamani nikisikia ule mpasho wa viumbe wazito ni kama ulikuwa unapiga chenga. Nilidhani ni mipasho ya akina mama nisijue kuwa baadaye mpasho huu utakuwa na mantiki kwa kaya yetu. Mwanzoni...
View ArticleBoozers Want Special Seats Rescinded
What boozers evidenced recently has forced them to say something.For the first time, boozers are representing themselves after finding their so-called representatives aren't saying what boozers want...
View ArticleKijiwe chalaani akina Mkamia
Baada ya muishiwa mmoja aliyewahi kutishia usalama wa uhuru wa vyombo habari kujipayukia akidai wapingaji wana sura mbaya wakati naye msura wake ni huo huo kama ubaya ubaya, kijiwe kimeamua...
View ArticleMlevi kumlinda Makufuli
Naona yule anacheka na kutikisa kichwa hata kabla ya kusoma habari nzima. Usitoe hukumu kwa kusoma kichwa cha habari tu. Don’t judge a book based on the cover dude. Naona yule anasonya...
View ArticleBoycott everything Hindi boozers
Boozer’s one incurable weakness; he doesn’t know how to sugarcoat anything. He speaks things other fear and hate to take on. This is one of such things. When racist Indians attacked African...
View ArticleMgogoro wa Visiwani: Mrema haisaii Tanzania
Hakuna kitu kibaya kama kuishiwa. Mtu aliyeishiwa hana tofauti na mtu aliyechanganyikiwa hasa kama hakubali kuwa ameishiwa. Hivi karibuni mwenyekiti Tanzania Labour Party (TLP), Augustine...
View Article