Quantcast
Channel: Free Thinking
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tunajitahidi kufaidi Summer kabla mambo hayajaharibika

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe chamshangaa Tuliya

            Baada ya kushuhudia ubabe wa kizamani uliotokea Mjengoni ambako wawakilishi wa wachovu walitolewa mkuku–kisa kudai haki za watoto wao walioingizwa mjini na watu wenye tamaa–Kijiwe leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hiyo ndiyo gusagusa bendi yetu

View Article

Mlevi kutia timu mjengoni na michupa

            Baada ya Ana Makidamakida kuachia ngazi baada ya kuvurunda Njengo, walevi walidhani ubabe mjengoni ungekuwa ndiyo mwisho. Kumbe tulinoa. Hatukujua kuwa atakuja yule ambaye hajaTulia...

View Article

Mugful: Spit Fire on 'em for Boozers' Sake

            Although I burn cannabis, I don’t consume dope of any type; and I’m not a dope like those who rob their own hunks. I must say it clearly from boozer’s point of view: I hate drugs and those...

View Article


Watanzania hakikisha mnamlinda Magufuli

            Rais John Pombe Magufuli amesikika mara nyingi akiomba watanzania wamuombee. Hii ni kutokana na ugumu na hatari ya kazi na mambo anayofanya. Bila shaka, Magufuli anajua hatari inayomkabili...

View Article

Kijiwe chashinikiza posho ya makalio ifutwe

            Baada ya bi mdogo yule ambaye hajaTulia kuja na mpya kuwa atawanyima wahishimiwa wa upingaji posho za makalio kwa vile makalio yao hayakai kwenye makochi ya Mjengoni na kuwezesha masikio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nasi tujiandae kuwachunguza marais wetu

            Ingawa hili linaweza kuonekana kama jambo la ajabu–hata wengine kudhani ni kushikana uchawi–taifa letu linapaswa kuenga kila kona ili kuhakikisha mageuzi ya kweli anayolenga kuyafanya rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mlevi kumpa vidonge mke wa munene

Mke wa rais Janet Magufuli :Hapa Magabacholi wameishamdakaKawaida sina tabia ya kupenda kuwa karibu na wanene, wake zao au hata marafiki zao. Huwa naogopa kuonekana najigonga kama wale wanaojigonga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magufuli tumbua hata vilaza wazito

          Akiweka jiwe la msingi la maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) hivi karibuni, rais John Pombe Magufuli alisikika akilaumu kitendo cha Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kudahili watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Magufuli achana na biashara ya NGO fichi

                        Hivi karibuni mke wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli, Janet, alikaririwa na vyombo vya habari akiwa mkoani Mtwara alikotoa msaada wa takriban...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Boozers want their former biggies probed

            When boozers got wind of how some hunks are taxing their former biggies to come clean on their past, they asked me to pen this piece demanding that our hunk follows suit. Boozers aren’t...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijiwe chamkaribisha Pumba kijiweni

Baada ya kuisha na kuishiwa kiasi cha kujirahisi, Kijiwe kimemuonea huruma Profwedheha Ibra Pumba kuja kujiunga nacho na kupiga kahawa badala ya kuendelea kujivua nguo.Mpemba analianzisha, “Yakhe...

View Article


Dk Makufuli lazima uwatumbue akina Nkapa na wenzake

            Juzi nilinusurika kujinyotoa roho. Si pale nilipokwenda kwenye kongamano na Kigoda cha Mwl Nchonga. Nikiwa nimepiga pamba zangu bila bangi na gongo nimejipendezea tu si kidhabu mmoja...

View Article

Mrema anapaswa kujishangaa

            Baada ya mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP) Augustine Mrema kugeuza kujikomba sera yake na chama chake, juzi alikuja na mpya. Baada ya kujigonga sana kwa rais John Magufuli bila...

View Article


Poor Lee pumba! What’s wrong?

          Yo-ho, ho-ho, I just can’t understand. I just couldn’t get it. Even my poor and stupid dogs Tamba, Mwamba, Miki, Stan, Jerome, Ray and Gilo couldn’t get it. True, I just can’t understand why...

View Article

Je Gwajima anatumwa au anajituma?

            Katika kutapatapa ima kujiweka karibu na rais John Pombe Magufuli au kuficha maovu yake, askofu bandia na wa kujipachia Josephat Gwajima amelikoroga asijue jinsi ya kulinywa. Kwa...

View Article


Punguza na toza kodi mafao ya marais wastaafu

            Hakuna ubishi kuwa viongozi wetu wastaafu wanapewa marupurupu mengi na makubwa, jambo ambalo kiasi fulani linawakwaza watanzania wengi hasa walio maskini. Hii ni kutokana na kutwisha mzigo...

View Article

Dk Kanywaji kuwalinda watawala wastaafu no

            Baada ya Rahis Joni Kanywaji Makufuli kutoa hakikisho kwa walaji wakubwa, Kijiwe kimeamua kumtolea uvivu kumwambia kuwa hana power wala uhalali kisheria kufanya hivyo.Mijjinga ndiye...

View Article

Mlevi kuomba appointment na rahis kupata maelezo

            Sipendi kujisifu; juzi nilipata mwaliko kwa Mama kuwashauri juu ya kura ya namna ya kujitoa kwenye jumuia ya Ulaya; na walisikiliza ushauri wangu ambao pia nitautoa kwa kaya kujitoa kwenye...

View Article
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live