Je kampeni umeuona mtego uliomo?
Japo tunaambiwa kuwa muda maalumu kisheria wa kuanza kampeni za uchaguzi mkuu ujao hazijaanza, sidhani kama hili ni kwa wote. Hivi karibuni, mgombea wa upinzani, Edward Lowassa ameonekana...
View ArticleMlevi ambeep Luwasa
Bwana Eddie Ngonyani Luwasa,Kwanza, nakusalimu. CCM hoyee sorry, CHANDIMU, sorry, UKAUA hoyeee! Kaka, usidhani nakusanifu au kukuchulia. Unajua mtu akivaa magamba, sorry, magwanda mengi anachanganya...
View ArticleKujiondoa CCM Sumaye mwanzo wa mwisho?
Taarifa tulizo nazo ni kamba waziri mkuu mwingine wa zamani Fredrick Sumaye amefanya maamuzi magumu na kujivua gamba. Kwa mujibu wa vyombo vya habari, Sumaye kujiondoa CCM si fununu wala uvumi tena....
View ArticleDk Bilal hana sababu kujitoa CCM
Kuna uvumi uliokuwa umezagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa makamu wa rais Dk Gharib Bilal angejitoa kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM). Baada ya uvumi huu kuzagaa, ofisi ya Makamu wa Rais...
View ArticleKinamna: Resign or shut up
Abdul-joyman Kinamna Gen. Sec of Chama Cha Mizengwe (CCM) is a very cagey character. Whenever he opens his mouth to speak, he does so perilously to his reputation and that of his outfit. On...
View ArticleMjue mke na mama wa rais aliyegeuka mwanamuziki
Patience Dabany ni mama wa rais wa sasa wa Gabaon Ally Omar Albert Bongo Ondimba na mke wa rais Omar Bongo Ondimba. Alikuwa first lady kwa takribani miaka 30 kabla ya kuachika na kujiingiza kwenye...
View ArticleKijiwe chastukia janja ya CcM
Baada ya msimu mwingine wa kusia uongo na kuingizana mkenge kuanza, tunaanza kusikia mambo ya ajabu ajabu. Ajabu ya maajabu ni kwamba wanaoyasema haya wanawageuza wachovu hamnazo au wasio na...
View ArticleMigrants: Europe Needs to Go Back to History
Many desperate people from Africa, Asia and Middle East are now making perilous journeys in thousands in their attempts to reach Europe seeking green pastures. They are risking everything to cross the...
View ArticleJe ni mwanzo wa mwisho wa CCM?
Si uvumi tena. Waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye ametua kwenye upinzani akimfuatia waziri mwingine wa zamani Edward Lowassa. Haijawahi kutokea kwenye nchi yoyote duniani! Sasa Sumaye...
View ArticleLeo mlevi anachonga na CcM
Wiki jana tulichonga na muishiwa, sorry, mhishimwa Eddie Luwasa baada ya kutupiga changa la macho kuwa angewajaza mafweza wachovu hadi wajihisi wako Uswizi. Punde si punde, si Chama cha...
View ArticleJe ahadi za CCM zinauzika?
Uchaguzi mkuu uko mlangoni kwa sasa. Wanasiasa na vyama vya siasa nchini wamo tena uwanjani wakijinadi kwa mbinu hizi na zile. Wapo wanaotumia–au tuseme–wanaokuja na mapya wakati wengine wakija na...
View ArticleIs it the beginning of the end of CCM?
It is official now that former Big Minister Freddie Sumaye has taken hard decision. Sumaye is now out of the fold and Chama Cha Maulaji (CCM) once again is caught off guard. Will Sumaye’s...
View ArticleKwanini Mkapa anakataa kukua?
Matusi yaliyoporomoshwa na rais mstaafu mwenye kashfa ya kujitwalia Mgodi wa Makaa ya Mawe wa Kiwira Benjamin Mkapa hivi karibuni kwenye kufungua kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleNdata waunde chama au wajiunge Ccm
Kumeanza kutokea uhuni kuelekea uchakachuaji kiasi cha kuwaudhi wanankijiwe ambao bila kificho wameudhika na wanalaani upuuzi huu wa mingurumbili iliyoapa kulinda wachovu wote kuwabagua huku...
View ArticleJe Sumaye ataeleweka kwa anayosema?
Kwa wanaokumbuka maneno makali ya waziri mkuu wa zamani Fredrick Sumaye aliyejiungua toka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuelekea kilele cha...
View ArticleRais aswekwa lupango
Rais wa zamani wa Guatemala, Otto Perez Molina amesweka rumande akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa toka kwa wafanyabiashara ili wakwepe kodi. Baada ya kukumbwa na vuguvugu la umma la kumtaka...
View ArticleKila mwenye akili na mapenzi na nchi yetu asome makala hii
MtikisikoALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, amevunja ukimya kwa kueleza kile kilichomsukuma kujiuzulu wadhifa huo, sambamba na kujivua uanachama wa...
View Article