Kinamna: Resign or shut up
Abdul-joyman Kinamna Gen. Sec of Chama Cha Mizengwe (CCM) is a very cagey character. Whenever he opens his mouth to speak, he does so perilously to his reputation and that of his outfit. On...
View ArticleKingunge anaibeep CCM au kuitisha?
Hivi karibuni aliyekuwa mpambe mkuu wa mtia nia ya urais aliyebwagwa hivi karibuni waziri mkuu aliyeachia ngazi kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa, mzee Kingunge Ngombale Mwiru alitoa mpya....
View ArticleKijiwe kumfuata mkuu ugenini kumuaga
Baada ya kungoja muda mrefu mkuu aje kukiaga bila mafanikio, Kijiwe kimekuja na ubunifu mwingine. Kwa vile jamaa amenogewa kwenda kutanua ughaibuni kwa kisingizio cha kuaga wageni utadhani...
View ArticleMlevi kumfuata mkuu ughaibuni kumuaga
Baada ya kuona Munene amekuja na staili mpya ya kuaga kwa kwenda ughaibuni kiasi cha walevi kungoja waagwe wasiagwe, wamemtuma Mlevi amzamie huko huko ughaibuni mkuu ili amuage. Lazima nimzamie na...
View ArticleRais ajaye ajifunze kwa Kikwete
Japo si rahisi kutabiri nani ataibuka mshindi kwenye uchaguzi ujao na kuwa rais wa Tanzania atakayechukua ukanda baada ya miaka kumi ya hasara ya rais Jakaya Kikwete, kilicho wazi ni kwamba hapo...
View ArticleWho’s using whom in UKAUA shotgun marriage?
He kept them guessing. He kept other wishing. Others were huntingHe himself was scheming. At last, there came breaking newsLuwasha had made a hard decision. Will this marriage live long? Who’s using...
View ArticleKijiwe chajitoa UKAUA
Japo tulifanya siri, kwa taarifa yenu, Kijiwe kilikuwa ni mmojawapo wa wanachama wa Umoja wa Kaya wa Ukombozi Azimifu (UKAUA). Sasa baada ya wakubwa wake kuonyesha walivyo hovyo na ajabu kwa...
View ArticleMlevi atoka UKAUA na kuanzisha UKOME
Baada ya siasa za kuuzana na kununuana kuchukua sura Bongolalaland–ambapo ngurumbili wachafu wanasafishana ili kupata ulaji–Mlevi nimestukia dili zima. Japo sikuwa nimeitaarifu dunia kuwa nilikuwa...
View ArticleBoozer predicts: Many political nuptials will hit the rock
I don’t want to mince words. I’m saying it loudly and boldly that many political marriages will hit the rock soon, especially, after Eddie Luwasa invaded the opposition. Believe ye me. The...
View ArticleLowassa angejisaidia na kuusaidia upinzani kama
Kwa hali ilivyo ni kwamba waziri mkuu wa zamani aliyeondoka madarakani kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa amepania kupata anachotaka, urais. Baada ya kuenguliwa kwenye mchakato waChama Cha...
View ArticleNdoa ya Lowassa na UKAWA, urais, taifa na maslahi binafsi
Baada ya waziri mkuu aliyeachia ngazi tokana na kashfa ya Richmond, Edward Lowassa kuhamia rasmi kwenye upinzani, bado amezidi kuongeza utata juu ya utata. Wapo wanaoona kama Lowassa amefanya maamuzi...
View ArticleThe day Obama barbecued African dictators
If you listen to this speech by President Barack Obama, you'll wonder if our dictators have brains, and if they do, how they use them. Obama hit the nail on the head by challenging African long-time...
View ArticleKijiwe chamkaribisha Prof Pumba
Baada ya kushuhudia Tsunami kwenye kambi ya upingaji magwiji kupukutishwa kama wadudu, Kijiwe kimeamua kuwapa tafu lau wakapoze machovu na kutumiwa kwa muda mrefu wasijue. Mpemba anaingia na...
View ArticleWalevi kumuaga Njaa Kaya kisanii
Baada ya wasanii wenzake kuwezesha na chama chake kuandaa sherehe za kumuaga msanii mkuu, na walevi wamepanga kufanya hivyo japo jamaa hakuwa mlevi mwenzao na alipandisha bei ya kanywaji. Kwa...
View ArticleKujiuzulu Lipumba bado ni kitendawili
Kila mpenda mageuzi na haki angetamani Chama Cha Mapinduzi (CCM) kishindwe kwenye uchaguzi ujao au hata kikishinda siyo kwa kishindo kama kilivyiozea. Baada ya waziri mkuu wa zamani...
View ArticleKijiwe chashangaa madaktari wa ndondi
Baada ya daktari mmoja mwenye kutia shaka alivyopata udaktari wake kutembeza masumbwi baada ya kubwagwa kwenye kura za kusaka ulaji, kijiwe kimekaa kumdurusu na kutoa mapendekezo yake. Kijiwe...
View ArticleObama’s Africa Tour: A Reflection
Although it is almost a month since US president Barack Obama toured Africa to attend the Global Entrepreneurship Summit in Nairobi Kenya, his remarks are still reverberating in all countries...
View Article