Bravo Eddy Luwasha however
      Dear Eddy Luwasha, Though I don’t support your bid seeking to become next president, I envy your evasive and organizational skills. If being supported by many Chama Cha Mapandikizi (CCM)...
View ArticleWasanii wanapokuwa bora kuliko waandishi!
 Kifo mwandishi chipukizi lakini mwenye athari kubwa katika tasnia ya uandishi wa habari marehemu Edson Kamukara kimetufundisha jambo moja kubwa. Kifo cha ghafla cha Kamukara licha ya kusababishwa na...
View ArticleWarioba, CCM na sikio la kufa
           Baada ya kung’atuka madarakani na baadaye chamani kwa muanzilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) marehemu Mwl Julius Nyerere kilipata pigo ambalo pengo lake limeshindwa kuzibika. Maana, tangia...
View ArticleKijiwe chapokea matokeo kwa hisia tofauti
         Baada ya bata kuwika kule Idodomya ambapo wale ambao hukutegemea wamepitishwa, Kijiwe kimepokea mzengwe huko kwa hisia tofauti. Kwa ujumla Kijiwe kilishangilia kuona baadhi ya manyangumi...
View ArticleSijui hapa mbwa ni yupi?
Sitaki waswahili wapenda kuigiza waigize uumbwa huu hata kama unatendwa na wazungu. Jamani nisaidieni. Nashindwa kujua hapa mbwa wa kweli ni yupi.
View ArticleHeko Butiku na Warioba japo mnampigia mbuzi gitaa
 Baada ya kung’atuka na hatimaye kuaga dunia kwa Mwl Julius Nyerere, walibaki viongozi wenye udhu wachache sana. Ni bahati mbaya hata wale aliowaamini akawabeba hadi kubezwa amebeba nyago la mpapure...
View ArticleZitto, mabilioni ya Uswisi na Yeremia 5:21: Makala hii imenichanganya
 KUNA wakati, Mwenyezi Mungu ametumia lugha inayoweza kuonekana kali kupitia maandiko yake matakatifu. Kwa mfano, kitabu cha Yeremia 5:21 alisema; “Sikilizeni neno hili, enyi watu wajinga msio na...
View ArticleUrahis: Nusu Mlevi kudedi!
 Baada ya kuangukia pua na kutoka patupu kwenye mbio na harakati za kutia nia ya kusaka urahis, Mlevi nimejikuta kwenye matatizo usipime. Kwani wakati nikitia timu nilitegemea kuwa umaarufu wangu na...
View ArticlePombe for president and pombe for boozers
         Now the cat is out of the hat. Dr John Kanywaji Makufuri is officially a Chama Cha Mapenzi sorry, Mapinduziii (CCM) flag bearer. This dude didn’t reach at this pinnacle easily. He’d to...
View ArticleTulijua Mahiga na Ramadhan wasingepita
         Baada ya kutangaza au kutia nia kwa wanachama wengi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wengi tulihoji mantiki ya wageni nao kutaka urais tena kupitia chama chenye kila aina ya mizengwe. Wageni...
View ArticleKijiwe chalaani wanaoanza kampeni mapema
         Baada ya Chama Cha Maulaji (CCM) kupitisha mtu wao wa kugombea urahis, Dk Kanywaji Makufuli, wabongo wamechachawa kiasi cha kuanza kumshabikia na kumuona kama ndiye rahis ajaye wasijue hiyo...
View ArticleRais ajaye ahakikishe mkewe hatuibii kwa NGO
Msikilize kihiyo wenu anavyobukanya kimombo na kupaniki.
View ArticleUKAWA hawana sababu kumuogopa Magufuli
      Hakuna ubishi kuwa mgombea mteule wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli ana ushawishi mkubwa nchini. Hata hivyo, hii si sababu ya wapinzani chini ya Umoja wa Katiba ya...
View ArticleRaisa wa Tanzania anapotembelea Malaysia
Utawala wa rais Jakaya Kikwete utaingia kwenye vitabu vya historia kama utawala wa hovyo uliowahi kuwapo nchini. Kwa kisingizio cha kuaga ughaibuni Kikwete amekuwa akipoteza mamilioni ya shilingi eti...
View ArticleMlevi achonga na Joni Kanywaji Makufuli
Mpendwa Mheshimiwa Dk Joni Kanywaji MakufuliKwa mara ya kwanza anawasiliana naw kwa niaba ya walevi na wachovu wote kayani. Kwanza, nakupongeza kwa kutokatwa jina na kupitishwa kumrithi bwana mkubwa,...
View ArticleKumbe CCM ni chama kabaila na kifisadi!
Wale waliosoma enzi za ujamaa watakuwa wanakumbuka dhana nzima ya ukabaila ambao ni utajiri unaotaokana na utumiaji ardhi kwa kukodisha kwa wasio nayo. Baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushika hatamu...
View Article