Kinana: Wananchi si hamnazo
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana huwa si mtu wa kuishiwa vituko. Wakati mwingine akiongea mambo huwa unashindwa kuelewa kama anaelewa anachosema au wale anawaambia...
View ArticleBuriani Kamukara
Japo sikkuwahi kukutana na marehemu Edson Kamukara, tulifahamiana na kuongea sana karibu kila wiki kabla hajahama toka gazeti la Tanzania Daiam. Ndiye aliyekuwa mhariri wangu katika gazeti la Tanzania...
View ArticleMlevi kuangusha hekalu Beach
Baada ya lisirikali kugwaya hekalu la mchunaji mwana siasa Gettie Rwakatarehe na ule mjengo uaji wa uhindini, mlevi anapanga kujenga mhekalu wake kwenye maeneo yaliyozuiliwa hasa kule Mbezi kwa wazito....
View ArticleThe world will miss you “Vasco da Gama”
The other day my shushus, spies photocopied the diary of Mr Big whom detractors nicknamed Vasco da Gama of Africa due to his taste and love of touring the globe. After getting it, I decided...
View ArticleWagombea CCM mtendeeni haki Kikwete
Imekuwa kama fasheni sasa. Kila mtangaza nia ya kutaka kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupeperusha bendera yake katika uchaguzi ujao, anamponda rais Jakaya Kikwete...
View ArticleBreaking News: SOUL ON SALE is out!!!!!!!
Dear readers and friends,I am delighted to notify you that my new book Soul On Sale (SOS) is now out. By the way, I have submitted another one AFRICA REUNITE OR PERISH today.The synopsis of the...
View ArticleKijiwe chakutana Simiyu
Baada ya dada yao Mijjinga na Mipawa aitwaye Rhoda Bujiku kudhalilisha na kuteswa na nesi, walitutonya kama wenzao wanaoheshimika na kuogopwa kayani. Walitutaka tutie timu kule liliko tokea...
View ArticleThe best story I read this year: True Love
I read and write a lot of things. This year, I read one story that made me cry with joys and sorrow. I don't want to talk more. Follow this link...
View ArticleCCM inapowaandaa watanzania kuwachakachua
Tambo na mipayuko ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye kuwa itashinda hata kama ni kwa bao la mkono, ni tangazo la hatari lililopaswa kuwachefua na...
View ArticleMlevi kushitaki kaya ICC
Taarifa za nesi mshenzi, mnyama, mjinga, mpumbavu na muuaji kumkatalia mjamzito Rhoda Bujiku kule kwa akina Ng’wadila ng’waguku na ng’wa nyingi kujifungulia kwenye zahanati hadi...
View ArticleAspirants: Leave Mchonga alone
After presidency became a thingamajig for getting rich quickly, easily and by doing nothing, those seeking it use all means to get it. Recently, many sick and skinny politicians have dressed...
View ArticleCCM inapowaandaa watanzania kuwachakachua
Tambo na mipayuko ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye kuwa itashinda hata kama ni kwa bao la mkono, ni tangazo la hatari lililopaswa kuwachefua na...
View ArticleTuhuma za ufisadi: Mchawi wa Lowassa ni Lowassa
Ingawa mtia nia waziri mkuu wa zamani aliyeondoka madarakani kwa kashfa ya Richmond Edward Lowassa mbunge wa Monduli analaumu wanaomtuhumu ufisadi, anapaswa kujilaumu mwenyewe. Ndiyo maana tunasema...
View ArticleKijiwe chastukia “kufuturisha”
Shehe Mrisho Jakaya Kikwete alipokwenda kufuturu kwa shehe Peter Mizengo Pinda Baada ya mwezi wa ramazani kuanza, tumeshuhudia mengi ya kuchekesha na kusikitisha. Umezuka mtindo wa mashirika...
View ArticleWhere Are Africa's Seers?
Prophets,We used to have seersThey’d see wide and farMugo saw butterfliesAmah, the ugly ones,Senghor saw Negritude,Chinua saw some osusNkwazi sees academic toxicityLumumba sensed the dangerNyamnjoh...
View ArticleJe Mwananchi wana mtu wao au?
Ukiona mzee Pombe Makufuri alivyotuna katikati ya wote unaanza kuona nani atapeperusha bendera ya mafisadi. Hata hivyo , ukiwapiga darubini tano bora unaona wazi kufilisika, kuisha na kuishiwa kwa CCM.
View ArticleMlevi atabiri kufunjika ndoa za kipolitiki
Leo gwiji natabiri kuvunjika kwa ndoa za kipolitiki. Huu ni utabiri sahihi japo wa hatari. Hivyo, yawapasa kutafakari na kuchukua tahadhari. Natabiri bila kusita lau mchukue tahadhari. Utabiri huu ni...
View ArticleZitto anamdanganya nani?
Wanasiasa hawa waliochoka huwa wana tabia moja kubwa –hujionyesha kama hawajachoka. Mwenyekiti wa ACT wazalendo, Zitto Kabwe ambaye nimekuwa nikimheshimu sana, ameingia kwenye kundi hili....
View Article