$ 0 0 Ukiona mzee Pombe Makufuri alivyotuna katikati ya wote unaanza kuona nani atapeperusha bendera ya mafisadi. Hata hivyo , ukiwapiga darubini tano bora unaona wazi kufilisika, kuisha na kuishiwa kwa CCM.