Mlevi am-tweet, kum-beep na kumtwangia rahis
Baada ya jamaa mmoja mzalendo mwenye uchungu na kaya kum-SMS muishiwa rahis na kusimamishwa kazi kwa kosa la “kuwasiliana” na rahis wake aliyemchagua kwa kura yake, Mlevi nimeamua kuwasiliana...
View ArticleLowassa anamtishia nani na kwanini?
Hivi karibuni mmojawapo wa wanaotaka kuwania urais kwa tiketi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, waziri mkuu wa zamani aliyeondolewa na kashfa ya Richmond Edward Lowassa alitoa la moyoni...
View ArticleKijiwe chasherehekea kufunguliwa kwa wagombea
Baada ya kamati kuu ya mizengwe ya chama cha mizengwe kufanya mizengwe yake: kusema imewafungulia wataka urahis wake, Kijiwe kimepokea habari hizi kwa hisia tofauti mojawapo ikiwa ni kujiandaa kuwalia...
View ArticleXenophobia Is Wrong
My soul is tormentedI feel totally humiliatedI am completely traumatizedI see unnecessary conflictIt is brewing down in South AfricaAfricans are killing AfricansLooking at them as a problem while they...
View ArticleMlevi atangaza kugombea urahis
Baada ya kuona kila ghasia kuanzia vidokozi, mafisadi, viherehere na wachovu wakitangaza nia za kuwania urahis, na Mlevi rasmi najitupa kilingeni ili niwatoe jasho. Sigombei kwa vile rais...
View ArticleWhose lies should we gulp?
When King Boozer wrote an article wondering how Ikulu sanitized escrow banditti, the Big Minister mzee Mizengwe Pinda came up with a rejoinder saying the guys are still criminally tainted. Now this...
View ArticleWho truly runs Bongolalaland?
However, Jake Kiquette once told us that his regime is not a coop-like in that there are no shareholders to it, the bigger picture shows otherwise. To answer the above question as to who...
View ArticleKijiwe chafurahia mipasho ya watangaza nia ya urahis
Baada ya songombwingo na kila aina ya ngurumbili kutangaza nia ya kuwania ulaji wa dezo na rahisi yaani urahis, Kijiwe –kwa furaha –kimekaa kama kamati na kudurusu mtifuano na mshike mshike...
View ArticleMlevia aota ndoto ya vita ya inzi
Baada ya kuchapa mma na kupata msokoto nilijilaza kwenye kitanda changu cha kamba. Usiku ulikuwa umeingia. Hivyo, kama ada, lazima nilale mapema lau kutafakari hili na lile. Siku hii...
View ArticleWhose lies should we gulp?
When King Boozer wrote an article wondering how Ikulu sanitized escrow banditti, the Big Minister mzee Mizengwe Pinda came up with a rejoinder saying the guys are still criminally tainted. Now this...
View ArticleHongera Makongoro na Membe
Hivi karibuni waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (MNNUK) Bernard Membe alikaririwa akiwaonya watanzania kuwachunguza wanaotangaza nia ya kugombea urais. Membe...
View ArticleCCM imseshikwa pabaya muhula huu
Hukuna ubishi CCM sasa iko pabaya na imeshikwa pabaya. Yanayoendelea kwenye kuusaka kuteuliwa na chama kwa watangaza nia kumrithi rais Jakaya Kikwete ni ushahidi tosha kuwa chama hiki kiko...
View ArticleKijiwe chapendekeza nigombee urahis
Baada ya kushudia mshike mshike, kasheshe na patashika ambapo kila mtu anautaka urahis wa kaya hii, Kijiwe kwa taadhima kimeniomba nigombee urahis. Sambamba nami, Kijiwe kimependekeza Msomi...
View ArticleMlevi anawaletea sifa za rahis mtarajiwa.
Baada ya kuwaletea sera nitakazotumia kuwala –sorry –kuwatawala, leo –kama nilivyoahidi –nakuja na sifa za anayepaswa kuwa rahis wenu. Nafanya hivyo kutokana na kugundua kuwa wenzangu wamekuja na janja...
View ArticleJe Lowassa ni waziri mkuu mstaafu au mfukuzwa?
Kila wanapoandika jina lake, waandishi wengi, hasa wanaomuunga mkono, humueleza Edward Lowassa kama waziri mkuu mstaafu wakati siyo. Sijui kama wahusika wanafanya hivyo kwa makusudi au bahati...
View ArticleAre you serious King Eddy Luwasha I of laibons?
Dear King Eddie,Greetings, I heard your big talk and all those empty promises as if it were Jake in 2005. It was like a kaboom. Again, why did you decline to talk about Richmonduli? Do you think...
View ArticleKikwete anapokwenda kuaga Ulaya!
Hivi karibuni vyombo vya habari vilimkariri rais Jakaya Kikwete akiwa ziarani Ulaya Magharibi aliposema eti alikwenda kuaga. Kitendo hiki japo kinaweza konakena kama cha kawaida,...
View ArticleKijiwe chasikitika kutoagwa
Baada ya munene kuanza kujivinjari ughaibuni na kidosho chake na marafiki, washirika, wapambe, ndugu, na waramba makalio wake, Kijiwe kimestuka na kuonyesha hasira zake dhidi ya...
View Article