Kijiwe kumchukulia hatua Lukuviii
BAADA ya Waziri Bill Lukuviii kutangaza mapinduzi dhidi ya mamlaka ya wachovu, kijiwe kimekaa kama kamati kumpa vipande vyake pamoja na kumtaka bosi wake amwajibishe kabla wana kijiwe hawajamtokea na...
View ArticleLukuvi hatishii, analidhalilisha jeshi na Kikwete
VYOMBO vya habari vilimkariri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi akipiga kampeni ambazo wakosoaji wake waliziita chafu na za kichovu kuhusiana na pendekezo la...
View ArticleWHY AFRICA NEEDS OPPOSITION IN POWER
Former Senegalese president, Professor of law Abdulaye Wade enters history books though controversially. Wade is renowned for attempting to break the law he’d swore to defend and promote by tampering...
View ArticleKanada na kufuru ya utajiri.
Kanada ni nchi yenye idadi ndogo ya watu lakini tajiri sana. Maisha ya wananchi kawaida nchini Kanada yako juu kuliko hata ya majirani zao kusini yaani Marekani. Kwa mujibu wa Statistics Canada, kwa...
View ArticleLuku plus vi usitutishie nyau
Japo wasomaji na wapenzi wa safu hii huwa wanauliza kama kweli navuta mibangi na kunywa migongo, huwa sijibu. Hata hivyo, kazi zangu zinaweza kunitetea. Kama vipande vyangu huisaidia jamii kuondokana...
View ArticleAre these actors serious at all?
Kwa wanaojua jinsi Jakaya Kikwete anavyomchukia Nyerere na jinsi alivyomuangusha wanashangaa kuona haya mapenzi ya ghafla bi vu. Wawili hawa walivyoshika picha za waasisi wa muungano utadhani...
View ArticleKigeugeu cha mbayuwayu
Siongezi neno uamue mwenyewe. Anayemtukana Warioba eti anamtunuku! Makubwa haya! Sanaa kweli kweli!Walimsaliti yeye na mumewe eti leo wanamkumbuka! Wanamtunuku, kumtumia au kumtukana mama huyu?
View ArticleLukuvi, do you want to stage a coup?
A one-of-a-kindConstituent Assembly member, Bill Lukuvi deserved a trophy as far as self-dressing down is concerned. Bill who is alleged to have forged his academic credentials helped his detractors to...
View ArticleWar on drugs: when President just wonder!
When President Jake Kiquette embarked on the art of grumping and passing the buck, boozers took a different one. While Kiquette seemed a bit apologetic as far as fight against drugs is...
View ArticleFanya niwambiavyo na si nifanyavyo mimi
Kwa watu wanaojua jinsi rais Jakaya Kikwete asivyopenda kujisomea, wanashangaa anapopata uchungu na elimu. Japo hii inaweza kuonekana kama kumponda Kikwete, kwa wanaojua alivyoweza kuwakingia kifua...
View ArticleNyalandu anamdanganya nani?
Hakuna kitu kimetuacha hoi kama kauli iliyotolewa na waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu mkoani Mara, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuhutubia mahafali...
View ArticleSauti ya ukombozi iliyozimika Kameruni
Kwa wanaliofuatilia muziki uliowasumbua watawala majambazi wa Afrika watakuwa wanamfahamu nguli Lapiro de Mbanga, mwanamuziki aliyefungwa sana kutokana na vibao vyake vinavyousuta usultani wa kiafrika...
View ArticleKijiwe kuliambia bunge si kuliombea
Baada ya kijiwe kusikia baadhi ya wababaishaji, wataka sifa na wachovu eti kuombea bunge la Katiba lililoharibikiwa, kimeamua kukaa na kuwakemea wote waombaji na waombewa.Mgosi Machungi...
View ArticleDiwani anapomshauri rais kuacha kuvuta bangi
Samwel Aboko Onkwani diwani wa Kiogoro nchini Kenya ametoa mpya baada ya kuwashauri watu wa karibu ya rais Uhuru Kenyatta aache kuvuta bangi. Onkwani amefunguliwa mashitaka kwa kudhalilisha mamlaka na...
View ArticleTufunge Aprili kwa kuwaletea matanuzi ya mtoto wa imla wa nchi maskini
Mtoto wa dikteta wa Equatorial Guinea Teodorin Obiang Nguema akitanua jijini Paris bila kujali kuwa kuna wananchi wanaoishi chini ya dola kwa siku kwa nchi yenye kuzalisha mafuta kwa wingi ikiwa na...
View ArticleKatiba mpya: Mikakati ya mlevi kuchanga njuluku
Baada ya kutoa lecture ya kuua mtu kule Dodoma na kugundua kuwa hakikueleweka mlevi hajakata tamaa sawa na Njaa Kaya ambaye hajakata tamaa kuvuruga. Nilijitahidi kutumia usomi wangu wa...
View ArticleKingozi wa ANC wa kihindi anapowaambia wahindi kwenda India
Visvin Reddy , diwani wa zamani wa African Natinal Congress (ANC) nchini Afrika Kusini ametoa mpya kwa kuwataka wahindi wenzake wanaolalamikia serikali kufunga virago na kurejea kwao India kama...
View Article