Quantcast
Channel: Free Thinking
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3191

Kanada na kufuru ya utajiri.

$
0
0


Kanada ni nchi yenye idadi ndogo ya watu lakini tajiri sana. Maisha ya wananchi kawaida nchini Kanada yako juu kuliko hata ya majirani zao kusini yaani Marekani. Kwa mujibu wa Statistics Canada, kwa mwaka wakanada wametumia jumla ya dola bilioni 21.4 kwenye ulabu hadi kufikia mwaka wa fedha ulioishia Machi 31, 2013. Kilichovunja rekodi kwa matumizi kwa wakanada ni sigara ambapo walitumia jumla ya dola  bilioni 31.1 Kamari nayo haikubaki nyuma. Kwani jumla ya dola bilioni 13.74 zilitumika kwenye ka mchezo haka. Mwaka 2006 wakanada walitumia dola bilioni moja kwenye ngono huku mihadarati ikitumia karibu nusu ya kiasi hiki. Hii ndiyo jeuri na kufuru ya utajiri. Nchi yenye watu milioni 34 inaunguza pesa kuliko bara zima la Afrika!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3191

Latest Images

Trending Articles


Vimeo 10.7.0 by Vimeo.com, Inc.


Presence Quotes – Positive Quotes


Letting Go Quotes


Re:Mutton Pies (lleechef)


FORECLOSURE OF REAL ESTATE MORTGAGE


Vimeo 10.7.1 by Vimeo.com, Inc.


Doodle Jump 3.11.34 by Lima Sky LLC


Ka longiing longsem kaba skhem bad kaba khlain ka pynlong kein ia ka...


FORTUITOUS EVENT


Pokemon para colorear



Latest Images