Soon I’ll mint dosh and become honourable
After lecturing the Bungas of Bunguu la Katiba in Dom on how to do away from the bottleneck and found that they didn’t get it, I’ve nary thrown towel in. Like Jake Kiquette who’s soldiered...
View ArticleKijiwe chalaani vitisho ufujaji na urushi
BAADA ya Joni Kombo kuchafua hewa kwa kutishia kwenda msituni kupigania upuuzi, kijiwe leo kimekaa kama kamati ya kulaani upuuzi huu. Pia kinalaani kauli mbili za Njaa Kaya za kudai kuwa maadhimisho...
View ArticleMuungano wa Tanzania ni kama haujawahi kuwapo
MKINZANO, mtifuano hata harakati tunazoshuhudia kwa sasa kuhusiana na muungano vinafichua kitu kimoja: Muungano wetu kama upo au uliwahi kuwapo basi ni wa watawala lakini si wa wananchi. Tuna sababu...
View ArticleFor whose gains MDC commits suttee?
Morgan Tsvangira left and his arch foe Tendai Biti Jokes aside, Zimbabwean opposition under Movement for Democratic Change (MDC) is committing another political suicide uselessly. It recently...
View ArticleCivil disobedience njia pekee ya ukombozi Tanzania
Hali ilivyo ni kwamba demokrasia nchini imeshindikana. Pamoja na kulazimika kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuridhia mfumo wa vyama vingi na kufanyika uchaguzi kwa zaidi ya miaka 20, Tanzania...
View ArticleNGO ya Bi Mkubwa haitakuwa WAMA au WA-KUSINI
Naingia nyumbani nikiimba wimbo wanu kipenzi. Huwa napenda kuimba wimbo huu ili kuonyesha usomi wangu usio wa kughushi wala kupendelewa. Comment voulez vous, Que je vive, Que je parleQue je ris, Et...
View ArticleHii NHC au Nation Housing Corruption?
Hivi karibuni shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lilitoa tangazo la kuuza nyumba 118 kwenye eneo la Hananasif, mtaa wa Wakulima, Kinondoni jijini Dar es salaam, kwa lengo la kutaka eti kutekeleza ujenzi...
View ArticleThe politics of the dead and the ghosts
What’s in my toolbox today? Methinks. It's a tale of tales of the politics of the innocent dead, ghosts, self-seekers, tricksters, quacks and whatnot. Call it doom and gloom sort of thing. When mzee...
View ArticleKijiwe chastukia na kulaani mfumo wa kikaburu
BAADA ya kunyaka stori kuwa magabacholi wauza bwimbwi wawili waliachia kiasi cha mahabusu kugoma na kuvua nguo, Mbwa Mwitu anaingia kijiweni kwa nyodo akishangilia kuumbuka kwa waongo na matapeli...
View ArticleKutumika vibaya: Jeshi litoe msimamo
HAKUNA ubishi. Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lina kibarua kikubwa hasa wakati huu baadhi ya wanasiasa wasio makini wanapolitumia kama mhuri kuhalalisha ajenda zao chovu, chafu na za kichochezi....
View ArticleChina: Africa's Game Changer?
The coming of China to Africa’s erroneously thought would pose a challenge to western countries that have, for long, been exploiting and suffocating our African economies. Thus, it’d act as a game...
View ArticleMlevi kuomba kazi sirikalini
Baada ya kugundua kuwa kuchonga na kuirushia sirikali madongo kunanirostisha ilhali mambo niliyosoma au kufundisha yakiwafanya watu kuwa mabilionea wa kutupwa, napanga kuomba kazi sirikalini ili...
View ArticleKomba’s booboo of “retreating to the bushes”
Jokes aside, the Constituent Assembly’s become a very fan place next to Kijiwe cha coffee. It’s become a factory of laughter, abuses, innuendos and all sorts of amusements though there’s a...
View ArticleNape: Please leave Warioba alone
Looking at dog eat dog Chama cha Maulaji (CcM) is in regarding the Draft Constitution, top dogs are likely to use whatever means to get away with it especially undermining underdogs who of recently...
View ArticleTumegeuka nchi ya vibaka, majambazi na wahalifu!
Kumekuwapo visa vya walinzi kuiba kwenye malindo yao, wafanyakazi wa maofisini kuiba kazini mwao na hata wanafamilia kuibia familia zao. Kinachokera ni kwamba baadhi ya wenzetu wameanza kuukubali na...
View ArticleKijiwe: CAG akague hata bwibwi
Baada ya kunyaka taarifa kuwa wezi wa ndani ya sirikali hasa ndata waliweza kuiba pembe za ndovu kwenye vituo vya polisi au kuzibadilisha na kuchukua kubwa na kuweka ndogo kama ilivyofichuliwa na...
View ArticleNape: Nyani haoni nonihino lake
Kwa wanaomjua Nape Nnauye licha ya kuwa mtoto wa kada wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Musa Nnauye, Nape amerithi kiti baba cha yake cha ukatibu uenezi wa taifa wa CCM sawa na wateule...
View ArticleKikwete' Better Life for All
Take it to Dr Shukrani Kawa Mbwa who knows what to do with this corpse. He will simply give it the dogs to feed on if not to set it ablaze. So too, You can take this kaput to Dr Jakaya Kikwete who...
View ArticleKumbe TICTS mali ya Karamagi?
Waziri wa zamani aliyeondolewa kwa ufisadi Nazir Karamagi akiwa nchini Ubelgiji na balozi wa Tanzania nchini humo Diodorus Kamala anayekabiliwa na tuhuma za kughushi vyeti vya kitaaluma lakini...
View Article