Ujenzi kweli au usanii
Hapa anaonekana akila na mafisadiKatibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana ni mtu asiyeishiwa vituko. Kwa nje ni mtu anayejionyesha kama mpenda maendeleo hasa ya watu maskini. Kwa...
View ArticleZuma: Mkombozi au mroho tu wa kawaida
Hapa chini ni makazi ya kifahari ya rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ambaye ameapishwa leo kwa kipindi kingine cha pili na cha mwisho kama rais. Ameahidi mengi kubwa ni kuboresha maisha ya wananchi wa...
View ArticleSera ya Mlevi sasa ni kububujikwa michozi
Baada ya kuinyaka kuwa Katibu mkuu wa Chama Twawala Abduli Kinamna alibubujikwa michozi kule kwa akina Mwanawetu, Mwanawima, Mzindakaya na wengine wengine wengi, akiwalilia wakulima...
View ArticleMnapojaza mabwege bungeni mtegemee nini?
Hebu msomaji chukua sekunde thelathini umsikie bwege mbunge ambaye anakiri kuwa yeye ni bwege tena bwege kweli kweli. Je bunge limejaa mabwege kiasi gani kuanzia wale wanaotumia mabilioni kwenye...
View ArticleThis is purely institutionalized racism
Naturally, racist regimes discriminate against people who don’t belong to them especially those regarded as aliens or intruders. We evidenced it under Nazi Germany whereby Adolf Hitler butchered Jews...
View ArticleComplicity and impunity will deck the hunk
The report by Controller and Audit General (CAG) whose findings cause heart attacks to boozers left me morally injured. Though CAG’s job was done and dusted, it was supposed to be the...
View ArticleKijiwe chalaani umafia wa EWULA
BAADA ya kunyaka habari za kunyotoana roho kunakofanywa na wanaotuibia, Kijiwe kimekaa kutoa tamko.Msomi Mkatatamaa ndiye anayelianzisha baada ya kuingia. “Waheshimiwa mnaona na kushuhudia yale ambayo...
View ArticleKikwete ananufaikaje na walioghushi?
JAPO vyombo vya habari vimekuwa mstari wa mbele kuwaumbua na kuwashupalia wazito walioghushi, serikali imekuwa mstari wa mbele kuwakingia kifua kwa sababu izijuazo.Baadhi ya wanaharakati wa haki za...
View ArticleBanda Reaping What She Sowed
It’s obvious that outgoing Malawi president, Joyce Hilda Mtila Banda’s poised to lose. However, when Banda took the reins of power after the death of her forerunner, Bingu wa Mutharika, as a woman, she...
View ArticleBongo’s rich save’s poor bongo
When news came out that Bongolalaland loses zillions of dosh thanks to insane admin, boozers pinned down the cause of this entire spooky and creepy situation. However boozers have been quick to blame...
View ArticleUchumi mnao ila mnaukalia
Marehemu baba wa taifa mwl Julius Nyerere aliwahi kusema kuwa Tanzania uchumi tunao ila tunaukalia. Wapo waliomwelewa. Pia wapo ambao hawakumuelewa kiasi cha kumtafsiri walivyojua na...
View ArticleMlevi amshangaa mheshimiwa bwege
Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Ally Bungara aka Bwege Hivi karibuni mlevi ataingia kwenye majarida ya uvumbuzi ya kaya kwa kuwa msomi wa kwanza kugundua chanzo cha mipasho mjengoni....
View ArticleNamlilia mama yangu nchi yangu!
Nayaandika haya kwa uchugu wa namna yake. Kila uchao hali mama yangu nchi yangu inazidi kuwa mbaya. Watoto wake wasio na hatia wanazidi kuangamizwa na wenzao waliogeuka majambazi na mafisi na mafisadi...
View ArticleBlame yourselves but not Kawa mbwa
WHEN honorable Members of august house discovered that our education is in the Intensive Care Unit (ICU) waiting to kick the bucket, they spat fire aiming at honorable Shuchool Kawa-mbwa the...
View ArticleAngalia wanigeria wanavyomsanifu first lady wao asiyejua kiingereza
Wanigeria haana masihara na viongozi wao. Baada ya kugundua kuwa mke wa rais wao kiingereza hakipandi huwa hawaachi kumzodoa ili lau apate somo kama si wengine. Natamani kupata kitu kama hicho hapo juu...
View ArticleNunueni tunguli badala ya rada
BAADA ya kijiwe kunyaka taarifa kuwa kuna mpango wa kununua rada nyingine, kimekaa kama Kamati ya Ukombozi wa Umma kulaani na kupinga ujambazi huu. Mipawa anaingia akiwa analalamika. “Kusema ule ukweli...
View ArticleNamlilia mama yangu nchi yangu!
Nayaandika haya kwa uchugu wa namna yake. Kila uchao hali mama yangu nchi yangu inazidi kuwa mbaya. Watoto wake wasio na hatia wanazidi kuangamizwa na wenzao waliogeuka majambazi na mafisi...
View ArticleMwanunua rada au radada ya wizi wa rada?
Miaka kama 10 na ushee iliyopita kaya ilitikiswa na kufumuliwa ukweli kuwa kaya kapuku iliweza kununua mkangafu wa rada kwa dola milioni 40. Licha ya kushangaa, wenye akili tunaowabomu kila siku,...
View Article