Wanigeria haana masihara na viongozi wao. Baada ya kugundua kuwa mke wa rais wao kiingereza hakipandi huwa hawaachi kumzodoa ili lau apate somo kama si wengine. Natamani kupata kitu kama hicho hapo juu kuhusiana na first lady wetu Salma Kikwete (wanafanana hata kwa sura) ambaye naye kama Patience Jonathan hakipandi na akijaribu kukiongea huloa jasho kama mtu anayekaribia kufa kwa shinikizo la moyo.
Kusikia Salma anavyobukanya kimombo huku akikaribia kupasupa, BONYEZA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=aHKzLS9yG2Q