$ 0 0 Siongezi neno uamue mwenyewe. Anayemtukana Warioba eti anamtunuku! Makubwa haya! Sanaa kweli kweli!Walimsaliti yeye na mumewe eti leo wanamkumbuka! Wanamtunuku, kumtumia au kumtukana mama huyu?