Quantcast
Channel: Free Thinking
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3189

Are these actors serious at all?

$
0
0


Kwa wanaojua jinsi Jakaya Kikwete anavyomchukia Nyerere na jinsi alivyomuangusha wanashangaa kuona haya mapenzi ya ghafla bi vu. Wawili hawa walivyoshika picha za waasisi wa muungano utadhani wanawapenda zaidi ya kupenda ulaji na ajenda zao. Tangu lini Kikwete aliyekataliwa ulaji na mwalimu akampenda zaidi ya kumponda? Wameishiwa hadi wanatumia wafu pale waliposhindwa kujitetea. Ni aibu na unafiki kiasi gani? Kama kuna watu wanawadhalilisha waasisi wa taifa letu si wengine bali Kikwete na genge lake walioendekeza ufisadi, ujangili, ubabaishaji, urongo, usanii na kila aina ya utapeli. Tumieni akili zenu badala ya kuwageuza waasisi hirizi kulinda uchafu wenu. Ama kweli wahenga walisema kuwa PAKA AKIONDOKA PAKA HUJITAWALA!
Si haba Panya aweza kuguguna ngozi ya Simba kwa vile wafu huwa hawasemi wala kujitetea.
 Matembezi ya unazi na ububusa yanapoitwa matembezi ya uzalendo.Ni matembezi ya uzalendo au matembezi ya uzandiki? Mbona hatuoni matembezi kama haya ya kupinga ubabaishaji, ujangili na ufisadi na machafu mengine yaliyotamalaki huku serikali ikiangalia na maafisa wake kuyashiriki?

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3189

Trending Articles


Vimeo 10.7.1 by Vimeo.com, Inc.


UPDATE SC IDOL: TWO BECOME ONE


KASAMBAHAY BILL IN THE HOUSE


Girasoles para colorear


Presence Quotes – Positive Quotes


EASY COME, EASY GO


Love with Heart Breaking Quotes


Re:Mutton Pies (lleechef)


Ka longiing longsem kaba skhem bad kaba khlain ka pynlong kein ia ka...


Vimeo 10.7.0 by Vimeo.com, Inc.


FORECLOSURE OF REAL ESTATE MORTGAGE


FORTUITOUS EVENT


Pokemon para colorear


Sapos para colorear


Smile Quotes


Letting Go Quotes


Love Song lyrics that marks your Heart


RE: Mutton Pies (frankie241)


Hato lada ym dei namar ka jingpyrshah jong U JJM Nichols Roy (Bah Joy) ngin...


Long Distance Relationship Tagalog Love Quotes