If I were Kinamna or Mape
True, you can take this to the bank. My crystal ball tells me that Chama Cha Maulaji’s (CCM) Sec. Gen., Abdulaman Kinamna and the head of ideology and hooey, Mapape Ninaye are now a...
View ArticleKijiwe chastukia CV ya waziri wa njuluku
BAADA ya msanii, sorry, mkuu kufanya vitu vyake, kijiwe nacho kinakuja kufanya vitu vyake. Haikuwa kwenye ajenda ya kijiwe kama si Mpemba kuibua kitu ambacho wengi hawakuwa wamekiona. Mpemba anaingia...
View ArticleNenda IGP Mwema na mikono iliyojaa damu
INSPEKTA Jenerali wa zamani wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema, amestaafu. Ameacha kiti kinachobubujika damu ya wanyonge. Ameondoka na mikono iliyojaa damu ya wasio na hatia. Wasio na haki...
View ArticleKibonzo hiki kimenikumbusha ajali niliyopata
Miaka kama mitatu iliyopita nilinusurika ajali ambayo ilifanana kidogo na hii. Hivyo kibonzo hiki kimenirudisha nyuma miaka mitatu kiasi cha kunikumbusha kuwa nimshukuru Mungu zaidi kwa kunipa salio...
View ArticleUrais: Tuwakatae watoto wa vigogo
Taarifa ambazo hazijakanushwa naibu waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Yusuf Makamba anajipigia debe kugombea urais haziwezi kupita bila kujdaliwa. Taarifa zilizokaririwa...
View ArticleMkuya’s and Malima’s CVs smell fishy
Reading the Curricula Vitae for the newly appointed minister of Dosh, Saadia Mkuya Salimu and her deputy Adam Milima boozers smelt something fishy. I could see how they snooked after reading these...
View ArticleHii ya Masoud kwa Mkuya nimeipenda
Chanzo: Mwananchi Jan., 31, 2014.Source: The Guardian IPP Jan., 31, 2014.
View ArticleThis is why I adore Danganyikans and boozers
When the good govt that doesn't pay its energy bills hiked power at the tune of 40%, I wrong thought that there’d be some sparks either from the boozers or power generators. Nay! Nothing did happen. I...
View ArticleKweli Jogoo alifundisha vifaranga “kupuu” ndani!
Baada ya kichwa ngumu mkulu mwenyewe kuwashiti akinakiherehere Andalaman Kinamna na Mape Mapepe Ninaye waliowaita wateule wake mizigo, ametoa mpya. Si amerejesha mizigo na migushi hasa pale...
View ArticleIwe Rwiyemaaamu unafwikiri tutaacha kujadili mizigo?
BAADA ya juzi kujadili CV ya Saaada Mkuuuya Saalimu, kijiwe kilipata salamu toka kwa mtu wake wa karibu akiomba tumhifadhi. Nasi tuliwatuma wamwambie kuwa kazi yetu si nepi wala gagulo kumhifadhi mtu....
View ArticleArticle 0
YAMEISHAANDIKWA mengi kuhusiana na hatima ya kisiasa ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Zitto Kabwe. Kitu kimoja tu hakijaandikwa. Nacho ni kuandika tanzia...
View ArticleTHE POWER OF BEDROOMS IN POLITICS
Remember Professor Laurent Gbagbo former president of Ivory Coast currently caged in The Hague? What of his wife Dr. Simone Ehivet Gbagbo? The Gbagbos painted a grim picture as far as African elites...
View ArticleMlevi aonya walevi wa politiki
Baada ya mlevi kushuhudia na hata kusikia walevi wa politiki wakivuana nguo hadharani, ameamua kutoa somo ili kuonyesha tofauti kati ya walevi wa kanywaji na walevi wa politiki. Ninafanya hivi kuepuka...
View ArticleHuyu soja vipi jamanini?
Kuna utendaji, uwajibikaji na uadilifu hapa? Kweli kuna usoja mle au kiriba tumbo na magonjwa ya kila aina kuanzia ya kitabia hata ya kibaolojia. Je nchi zenye masoja kama hawa zimo kwenye hatari kubwa...
View ArticleRobin Hood vs Hooded Robbers
Legendary English archer-cum-swordsman, Robin Hood and his merry men stole the show in Nottinghamshire before getting global notoriety. No literature tells exactly when Hood or Hudgin in Germany was...
View ArticleMkiti wa CCM kizimbani kwa kuuza dawa feki
Mkurugenzi wa mashtaka Jinai (DPP) ameamuru mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mkoa wa Dar Es Salaam, Ramadhani Madabida (Pichani) wa kwanza kushoto kufunguliwa mashtaka matano mojawapo likiwa...
View ArticleKijiwe chafaidi mipasho ya CcM
BAADA ya kulishughulikia li-Rweyependekezamu, tulisikia eti lililalamika na kulaani sana likitishia eti kumuona Mkamiawaandishi wahujumu gazeti. Hilo limeishiwa tu. Baada ya Chama cha Mipasho (CcM)...
View ArticleArticle 0
HAKUNA ubishi. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeingiliwa au tuseme kuvamiwa na kansa mbaya.Hakuna kitu kinakitafuna chama hiki kama mdudu wa kupenda madaraka huku wanaoyatafuta wakiwatumia makada wa chama...
View ArticleSwali la leo: Iweje Faru na Tembo wauawe Bongo kampeni London?
Pesa ya wizi, ufisadi, rushwa, unga na ujangili wanaficha London.Safari za kikazi wanafanya London.Kampeni ya uzazi wa mpango London.Mikutano ya uwazi London'Kampeni ya kuangamiza ujangili London.Je ni...
View ArticleCashgate: Joyce Banda crusader or pretender?
Malawi’s cashgate is all over the place in the media. Cashegate is amega theft of public funds involving millions of dollars ranging from $ 100 to 250 million. Malawi’s president Joyce...
View Article