ICC must zero in on South Sudan
Looking at the mess the youngest poorest and newest country of South Sudan is in, something urgent needs to be done. After fighting broke between the government forces and those of the rebels backing...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY MICHELLE OBAMA
Jan., 17 is Michelle Obama's Birthday. She's turned 50. We wish her well and more years and so be it.Happy Birthday Michelle.
View ArticleHapo vipi? Kweli Kikwete bonge la msanii
Wanaosema rais Jakaya Kikwete ni msanii hawakosei. Je hapa ana tofauti na marapper katika miziki ya kizazi kipya? Ukichanganya na "ujana" wake ambao ameu-maintain na kupata rangi nywele ili mvi...
View ArticleA Million Bucks: Bongo must learn from Ghana
When former Ghanaian Deputy Communication Minister,(above) Victoria Hammah boasted recently that she’d not leave politics till she gets one million bucks, she’s shown the door. You know what. Hammah...
View ArticleMlevi ataka katiba izuie ‘first lady’ kuwa na NGO
Naona yule anaanza kuguna na kutolea picha yangu mimacho utafikiri nimemgusa yeye. Najua tatizo hapo si picha yangu bali kichwa cha habari yenyewe. Basi soma habari hata kabla ya kuanza...
View ArticleUnagundua nini katika ndoa hii ya bilionea na kachick?
Pichani ni bilionea Flavio Briatore (64) wa Italia na mkewe Elisabetta Gregoraci (34) na mtoto wao Vicente wakiwa kwenye matanuzi huko Malindi Kenya.
View ArticleDunia ina vituko
Huyu bwana (pichani) anashikilia rekodi ya kuwa mtu mchafu kuliko wote.Ana miaka 80.Hajawahi kuoga kwa miaka yapata 60.Anaitwa nani?Anatoka nchi gani?Anaishije? Kwanini ameamua kuishi hivyo?Je kwa sasa...
View ArticleBaraza "jipya" la mwaziri Kikwete arejesha mizigo yake
Hatimaye rais Jakaya Kikwete ametangaza mabadiliko katika bazara lake la mawaziri. Wengi walitegemea mabadiliko kama lilivyo jina la baraza lenyewe ingawa halina mabadiliko. Wengi walitegemea mawaziri...
View ArticleMzigo wote utuliwe, si sehemu tu
You can add Mizigos.BAADA ya kunyaka habari kuwa Chama Cha Majaribio (CCM) kiliwaita baadhi ya watu wake kuwahoji kuhusu kuongeza uzito kiasi cha kuwa zigo zito kwa ulaji wao, kijiwe nacho kimeamua...
View ArticleMozambique: A Bomb Waiting to Explode?
History’s a tendency of repeating itself. It can repeat itself in the same place or in a different one but with almost the same characteristics. Currently, Mozambique is under siege. Resistência...
View ArticleIs Saada Salum Mkuya another kihiyo or what?
A friend of mine sent me Saada Salum Mkuya's CV. Mkuya (above) was recently appointed Minister for Finance. Looking at the flow of her educations, I can smell something fishy. First of all, the...
View ArticleKikwete azidi kuwaokoa wenzake wa kashfa ya EPA
Akiwa na zigo la kumlinda na kumhami mshirika wake mkuu kwenye kashfa ya Richmond, Edward Lowassa na yule wa kashfa ya EPA Rostam Aziz, rais Jakaya Kikwete ameonyesha kutowasahau wenzake wanaodaiwa...
View ArticleWhen presidential escort 1 escorts drugs
Although there’s no good news, recent news that the head of Liberian presidential motorcade, Perry Dolo was caught red handed ferrying drugs is good news. Dolo’s alleged to have used presidential...
View ArticleMalima kihiyo mwingine Hazina
Angalia CV ya Adam Malima aliyeweza kufanya MSc (Economics) baada ya kumaliza kidato cha nne.Member of Parliament CVGENERALSalutationHonourableMember pictureFirst Name: AdamMiddle Name: Kighoma AliLast...
View ArticleMlevi azidi kuing'ang'ania Katiba mpya!
Vulek’a amazulu,Iyeza iyez’i NgonyamaKwancibilik’izintabaKwasha nemimfulaLungis’indlela zakho,Lungis’ukuhamba kwakhoIyeza iyez’ i Ngonyama y’ amazuluKwa wasiokinyaka kizulu tafsiri hiyo hapo.Funguka e...
View ArticleHawking amenichanganya na kujichanganya sijui ndiyo anachanganyikiwa au mimi?
Mwana sayansi mlemavu Stephen Hawking wa Uingereza ni super star kwa vigezo vyote. Ni binadamu aliyeitikisa duni alipokuja na dhana yake ya Black Holes akimaanisha kuwa kuna matundu makubwa angani...
View ArticleWaziri auawa kwa mapanga
Waziri wa zamani wa Afya wa Central African Republic (CAR) Joseph Kalite (pichani) aliuawa kwa mapanga alipokuwa akishuka kwenye teksi mjini Bangui pindi tu baada ya kuapishwa kwa rais wa mpito...
View ArticleCall him Prophet Nehemiah Jan Makamba
The season for politicians, cheechakos, jugglers, power brokers, courtiers and cheerleaders are but readying to sharpen their tools and tongues is now as we approach the next general...
View Article