Kijiwe chakumbushia uchunguzi wa uvamizi wa Klouds
Baada ya kuona maigizo yakizidi kuibuka hapa na pale na kila siku, kijiwe kimeona kijipe jukumu ambalo wengi wanaonekana kuliogopa yaani kukumbushia wenye madaraka juu ya jinai ya kuvamia...
View ArticleBarua ya wazi kwa Halima Mdee
Mheshimiwa Halima Mdee, Kwanza, pole kwa mazonge yanayokukuta mara mara kwa kutokubali kuwekwa sawa au kuwa ndiyo mzee. Kwa tunaojua thamani na haki ya uhuru wa mawazo, tunakuona...
View ArticleIs DART transformative or transgressive?
When I read in the Daily Nation (July 7, 20017) that Dar Es Salaam Rapid Transport (DART) aka UDART won an international award, I was really shocked. The paper said that won a global award...
View ArticleKati ya wapinzani na Mkapa nani mpumbavu?
Rais anayetuhumiwa kuiuza na kuihujumu Tanzania Benjamin Mkapa amerejea kwenye ulingo wa siasa kwa tabia ile ile ya kizamani. Akijikomba kwa rais John Magufuli mkoani Geita aliwaita wanaompinga...
View ArticleBarua ya wazi kwa wanufaika wa Escrew
Baada ya juzi kumshuhudia mnufaika mmoja wa mamilioni na mabilioni ya Escrew, ile kashfa ambapo baadhi ya matapeli wa ndani na nje na baadhi ya wanene kwenye lisirikali walipiga njuluku za...
View ArticleUwajibikaji: Heri Mkapa angejinyamazia
Akiwa mkoani Geita, rais mstaafu Benjamin Mkapa alisikika akitoa somo la maendeleo na uwajibikaji. Alikaririwa akisema “kila siku utawasikia watu wanadai haki, makongamano, midahalo ya kudai haki,...
View ArticleMkapa: Better keep your mouth shut
Ben Mkapa, former president notorious for engineering toxic investment, is at it again. Mkapa abhorrently pontificated that President John Magufuli’s critics are fools. For him, nobody is...
View ArticleJe ni kipi kimemsibu rais Kabila hadi akavimba jicho?
Hivi karibuni picha ya rais Joseph Kabila wa DRC ilisambaa kwenye mitandao akiwa amevimba jicho baada ya kuumizwa vibaya. Je aliumizwa na nini? Wengi wangependa kujua kilichomvibisha jicho rais Kabila...
View ArticleKijiwe kwenda Ukonga kuwasalimia akina Escrew
Leo Mgoshi Machungi amekuja na mpya. Si alikishangaza kijiwe aliposema kuwa alikwenda Keko kumuona Mgoshi Semtwashua na kuambiwa kuwa wale watuhumiwa wa Escrew wanaishi kwenye vyumba vya VIP...
View ArticleBaada ya Escrow Lugumi na UDA nao watumbuliwe
Hivi karibuni rais John Magufuli aliwafurahisha watanzania kiasi cha kuwaaminisha kuwa ufisadi hauna nafasi katika nchi yetu. Ni baada ya kuchukua hatua za makusudi na za...
View ArticleLeo Tumetimiza miaka 19 ya Ndoa
Kwa ndugu jamaa na marafiki, leo mimi na mke wangu Nesaa tumetimiza miaka 19 tangu tufunge ndoa. Katika kusherehekea siku hii muhimu kwetu, pia huwa tunakumbuka kuwa ni siku ya kuzaliwa kwa shujaa...
View ArticleIPTL is not a grave – it’s a massive graveyard
Currently, I hear jubilations everywhere as the Tanzanians sing praise of their political newbie hero, President John Pombe Magufuli; for pluckily hoofing it where most of his predecessors feared to....
View ArticleWanaopinga si wapumbavu bali wasiotaka kupingwa
Juzi walevi tulipigwa na butwaa. Si baada ya muishiwa mlevi mkubwa wa ulaji kupayuka kuwa sisi tunaopinga–mambo yanapokwenda ndiyo siyo–eti ni wapumbavu! Kama siyo kukaza roho, huenda hali ingekuwa...
View ArticleMagufuli atafanikiwa kutumikia mabwana wawili?
Akiwa ziarani mkoani Geita rais John Magufuli alisikika akilalamika na kuwataarifu wananchi namna baadhi viongozi wa ngazi za juu waliomtangulia walivyokuwa wameiuza Tanzania kwa kuwekewa...
View ArticleWiki hii namkumbuka shujaa wangu Mahlathini
Sinon "Mahlathini" Nkabinde wiki hii anatimiza miaka 18 tangu atutokea kiroho ingawa kimwili daima atakuwa nasi kama si kupitia kwenye imani basi kwenye kazi yake. Tokana na kuwa mpenzi na shabiki...
View ArticleKijiwe kwenda Ukonga kuwasalimia akina Escrew
Leo Mgoshi Machungi amekuja na mpya. Si alikishangaza kijiwe aliposema kuwa alikwenda Keko kumuona Mgoshi Semtwashua na kuambiwa kuwa wale watuhumiwa wa Escrew wanaishi kwenye vyumba vya VIP...
View ArticleBaada ya Escrow Lugumi na UDA nao watumbuliwe
Hivi karibuni rais John Magufuli aliwafurahisha watanzania kiasi cha kuwaaminisha kuwa ufisadi hauna nafasi katika nchi yetu. Ni baada ya kuchukua hatua za makusudi na za...
View ArticleTime for our neighbours to right their past mistakes
Those who nicely and actually remember how Kenya strangely and awkwardly sank into what is now famously known as Post-Election Violence (PEV) bloodbath resulting from the allegedly rigged elections...
View Article