Farewell Robert Mugabe!
For over a month, I have been grappling with this awkward idea. I even told my wife; and she said there must be something. I must admit. I don’t hate Robert Mugabe. However, my crystal ball tells me...
View ArticleKafulila, Magufuli,Tumbili na We-rema
Kwa wanaokumbuka namna kashfa ya Escrow ilivyoibuliwa na wanahabari waliopasisha nyaraka kwa mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini Davy Kafulila, watakumbuka misukosuko iliyompata dogo huyu. Guess...
View ArticleKwanini Hamad na Lipumba wamejivika kitanzi?
Bila shaka wapenda demokrasia na mabadiliko nchini watakuwa wanasononeshwa, kushangazwa hata kuchoshwa na mgogoro usio na tija kwa taifa kwenye Chama Cha Wananchi (CUF) ambapo mwenyekiti...
View ArticleKanji ageuka Tunduni Liisu wa Kijiwe
Baada ya rais John Kanywaji kumtia kashkash rais Tunduni Liisu wa Kaya Legal Society, kijiwe kimejikuta kikivutwa kwenye kimbembe hiki kisicho na faida kwa kaya bali kuendelea kuzorotesha...
View ArticleBarua ya wazi kwa rais Magufuli
Mheshimiwa rais John Pombe Magufuli,Salamu sana na pongezi kwa kazi pevu yakusafisha nchi unayoifanya kiasi cha kuiletea Tanzania sifa kila uchao. Ama kweli nchi yetu, licha ya kugeuzwa...
View ArticleCosts of Hamad, Lipumba’s feud go beyond their party
As the fate would have it, it seems; the Chairman of the Civic United Front (CUF) Professor Ibrahim Lipumba and his Secretary General Seif Sharriff Hamad are hell-bent to kill it; and...
View ArticleIs Gwajima ultra posh plane for the kingdom of God or for the netherworld of...
Matthew 19: 23-24Then Jesus said to His disciples, “Truly I tell you, it is difficult for a rich man to enter the kingdom of heaven. Again, I tell you, it is easier for a camel to pass through the eye...
View ArticleMlevi kurejea kuingiza bwimbwi kayani
Baada ya kuisha kwa kashfa ya Bashite na masuala ya kughushi, kuzikwa na mambo kutulia, mlevi napanga kuendelea na kuingiza bwimbwi kayani. Nilisitisha kidogo siku zile nikawa nauza shisha...
View ArticleMagufuli ajifunze toka kwa Nkrumah na Nyerere
Hakuna ubishi kuwa rais John Magufuli anakubalika si Tanzania tu bali duniani kote. Hii ni kutokana na jitihada zake za kupambana na maovu hasa ufisadi na matumizi mabaya ya fedha na...
View ArticleAn open letter to all Kenyans on this day
Dear brothers and sisters, Kenyans, I am wholeheartedly writing this open letter to you with high hopes that you will not let yourselves down on you general elections today. So, too, you...
View ArticleKijiwe chashangaa akina Chauda kumilki kaya
Baada ya dingi kuwaijia juu wachukuaji waitwao wawekezaji waliohodhi ardhi ya kaya, kijiwe kimekaa kama kamati kudurusu hali hii. Mgoshi Machungi ambaye amerejea toka...
View ArticleMagufuli hana haja ya kulalamikia “mawaziri wapumbavu”
Hivi karibuni akiwa mkoani Tanga, rais John Magufuli alilalamika kuwapo mawaziriwapumbavu kwenye baraza lake la mawaziri. Alikaririrwa na vyombo vya habari akisema “ Mawaziri wengine ni...
View ArticleAccountability: Africa’s lesson from Pakistan
When Pakistan is mentioned many think about exporting illegal immigrants to Africa, terrorism, negative ethnicity, radicalism and Abbottabad where the former renegade head of Al Qaeda, an...
View ArticleWhat a Couple!
Despite using a wheelchair, the husband above, Sean Stephenson is not disabled as many would think. Here, he is seen with his wife Mindie Kniss when they tied a knot in 2012. Guess what. Stephenson is...
View ArticleMlevi apanga kuanzisha chuo kikuu MUST
Pichani ni Smuel Chitalilo (Bingwa wa kughushi), Victor Mwambalaswa, Emanuel Nchimbi, Raphael Chegeni,Makongoro Mahanga,Mary Nagu, William Lukuvi, Diodurus Kamala na Paul Makonda. Baada ya...
View ArticleMafunzo toka uchaguzi uliopita wa Kenya
Uchaguzi mkuu ulioisha nchini Kenya umeacha mafunzo mengi kwa Kenya na Afrika kuhusiana na demokrasia, haki, uwazi na ukweli katika uchaguzi. Katika makala hii, tutadurusu baadhi ya mafunzo na...
View ArticleKijiwe tokea Nairoberry
Baada ya baadhi ya wanakijiwe kutia timu kwa siri Nairoberry maeneo ya Ngara, Muindi Mbingu, Kawangware, Kanunganga, Uthiru, Mukuru kwa Njenga na vijiwe vingine, walipokwenda kusimamia...
View ArticleMisaada ya Bill Gates: Ushauri kwa Magufuli
Kwa wanaofuatilia kiasi cha misaada iliyokwishakutolewa na tajiri mkubwa kuliko wote ulimwenguni, Bill Henry Gates III, watakubaliana nami kuwa anaipenda Tanzania kupita kiasi. Kwani hivi...
View Article