Natamani Tanzania ingekuwa Korea ya Kusini
Hivi karibuni, nchi ya Korea ya Kusini iliingia kwenye historia ya dunia kwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopambana na ufisadi mkubwa bila huruma kuonea. Rais wa zamani wa nchi hiyo Park...
View ArticleTHE BOTTOM LINE : In voting, fear the politics of the tummy like leprosy
For high-pitched Kenyans, the time to mint and print dosh’s arrived. Do you want quick dosh? Become an opinion pollster. Thereafter, just analyse and say things with full sangfroid even if you...
View ArticleMlevi kutia timu Ukanadani kudai njuluku
Baada ya wanene kutupiga changa la macho kuwa wale waliowaita majizi sasa ni “wanaume” kama alivyokaririwa dingi akisema, nimeamua kutia timu Ukanadani kudai changu. Yule anatikisa kichwa;...
View ArticleUhuru wa habari: Mbona viongozi wetu wanapingana?
Katika kuangalia haki na uhuru wa kukusanya, kusambaza, kutoa na kupata habari nchini, leo nitajikita kuonyesha mkanganyiko uliopo serikalini kiasi cha kugeuka tatizo kubwa kwa baadhi ya...
View ArticleKijiwe chataka kujua nini sharia za madini zitaanza kubadilishwa
Baada ya rais Joni Kanywaji kusema atalazimisha Mjengo kukaa muda zaidi ili kurekebisha sharia za madini, Kijiwe kililipuka kwa furaha kabla ya kuzimika matumaini baada ya porofwedheha Joni kutoka...
View ArticleByakanwa alitumwa au anajikomba tu?
Shamba la Freeman Mbowe baada ya kuharibiwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Byakanwa akiharibu shamba la Freeman Mbowe.Niliwahi kuandika makala kuwa wakuu wa mikoa na wilaya wanaonekana kama wakoloni...
View ArticleGovernment can still help teen moms
Though President John Magufuli said it expressly–no pregnant girl will be allowed back to school under his rule;which’s logical–still the government’s the duty to make every effort to help...
View ArticleWhen a shepherd become a hyena the flock is in trouble
Australian authorities officially charged Vatican's most senior cardinal George Pellm Pope's chief financial advisor with what is known as historic offences or offences committed in the past mainly in...
View ArticleUlimbukeni, umalaya na uoza kimaadili Magufuli aingilie
Wengi walimlaumu rais John Magufuli kusema wazi hataruhusu wasichana watakaopata mimba wasirejee mashuleni. Ushahidi kuwa Magufuli hana la kufanya zaidi ya kuwa na msimamo mgumu kama aliochukua ili...
View ArticleSijui hapa binadamu ni yupi na wanyama ni wapi
Huyo bwana sijui bibi mwenye suti ya aina yake na ambaye hana anayefanana naye hapo anaitwa Brigadier Nils Olav kiumbe anayeonekana kuabudiwa nchini Norway kiasi cha kupewa hadhi ya kijeshi ukiachia...
View ArticleWizi wa Escrow tuanze na IPTL
Hakuna utata; kampuni la the Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ni donda ndugu kwa maendeleo ya uchumi wa taifa. Sitapenda kuongelea kesi iliyofunguliwa hivi karibuni dhidi ya...
View ArticleAma kweli aliyeko juu mngoje chini! Nani alitegemea tapeli Rugemalayer kulala...
Mtuhumiwa na kingpin wa wizi wa IPTL James Rugemalira sasa ni mahabusu anayesota asijue atachomoka lini. Sawa na Hassy Kitilya, Sioi Sumari na vigogo wengine, anaendelea kuonja matunda ya jinai yake....
View ArticleFighting corruption: A lesson from South Korea
Former South Korean President Park Geun-hye handcuffed ready to face the music South Korea recently stunned the world; entering history books for being among countries that unpityingly deal...
View ArticleBi Mkubwa wangu kweli Mwanaume kama Akashia!
Baada ya kuupiga na kujifanya Mike Tyson si nikamvamia bi Mkubwa wangu. Wajua kosa lake nini? Kunipikia miugali badala ya wali. Kosa jingine? Kuhoji kwanini nataka apike pilau wakati...
View ArticleKumpinga rais au serikali si jinai
Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari viliingia utatani hadi vingine kufungiwa huku wanasiasa na wakosoaji wakipewa onyo kali kuacha ima kuipinga serikali au rais. Tukio la hivi...
View ArticleWill Kenyans Celebrate or Mourn Nicholas Biwott?
When it comes to Kenya's grim past of abuse of power, corruption and political assassination, Nicholas Biwott who died yesterday takes a center stage. No political assassination was carried out under...
View Article