Nimemkumbuka Casimir Zoba aka Zao wa Ancient Combattant
When the war is global, everybody dies, … when there is war, there is no pity, … the bomb, the atomic bomb, does not choose, it kills everybody… why war… war is not good.plant seeds of peace, let us be...
View ArticleKwanini Twaliwa Mbele na Nyuma Hivi?
Mpemba anaingia akiwa na bashasha kuashiria ana jambo la kukiambia kijiwe. Baada ya kuamkua anasema “wallahi sikujua kuwa tumeliwa sana tena sana na kirahisi hivi. Twaliwa kama kwamba...
View ArticleBarua Ya Wazi Kwa IGP Sirro
Kamanda Sirro,Kwanza nakupongeza kwa kuaminiwa na kuteuliwa kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP). Pia, kukupa pole kwa kurithi mizigo na madudu kibao kuanzia mauaji ya Kibiti, kukithiri...
View ArticleLet’s Rekindle The New Draft Constitution Process
I was in a cocktail-party phenomenon as I mused about how Tanzania embarked on having a New Constitution. I remember the goodies the doc. promised; and how it’d have changed Tanzania. I was...
View ArticleHuu ni Ubinafsi, Ulimbukeni, Upofu au Utukufu?
Watawala wetu mara nyingi hutuaminisha kuwa tuko sawa na wao. Hutuaminisha kuwa wanatutumikia sisi siyo kututumia. Wanahubiri usawa na kutenda ubaguzi. Picha hiyo hapo juu anaonekana makamu wa rais...
View ArticleTaasisi ya kuzuia rushua inaponuka rushua!
Juzi tulibigwa na butwaa tukalewa bila kunywa. Si baada ya kigogo wa Taasisi ya Kukuza, sorry, Kuzuia na Kupamba, sorry, Kupambana na Rushua kukutwa na mimali ya mabilioni tofauti na stahiki...
View ArticleWahamiaji Haramu: Kuna siku Tanzania itatawaliwa na mgeni
Baptista Marco raia wa Burundi aliyekamatwa nchini hivi karibuni akifanya kazi kama mwanasheria wa TBS kinyume cha sheria. Matukio ya wageni kukamatwa wakifanya kazi nchini–tena nyingine...
View ArticleGaddafi's Dirty Linens and Racism against Blacks Exposed
Although we do not concur with or support how former Libyan strongman Muammar Gaddafi was pulled down, so too, we condemn his blatant racism against black people he pretended to love and call brothers...
View ArticleKijiwe Kupeleka Maazimio Yake Ewuuura
Baada ya kuzinyaka kuwa kuna zengwe la kutaka kuwashirikisha wachovu kwenye wizi mwingine chini ya ujambazi wa IpTL, kijiwe kimekaa kama kamati ya uokozi ili kutoa mwelekeo wa namna ya kuzuia na...
View ArticleIPTL Serikali Ikiri Kushindwa
Hivi karibuni, serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) ilitoa mpya ya mwaka katika harakati zake za kuendelea kubariki na kuhalalisha haramu ya wazi. EWURA iliwataka...
View ArticleEwura should stop taking Tanzanians for a ride
Joking aside, I was shocked when I read somewhere that the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is seeking public input on how to go about Independent Power Tanzania Ltd...
View ArticleAdui Magufuli si Magazeti bali Yeye Mwenyewe
Kufungiwa kwa gazeti la Mawio ni ushahidi kuwa rais John Magufuli hapendi kukosolewa wala hana nia ya kupambana na ufisadi kama anavyojitapa. Gazeti hili lilifungiwa baada ya kuripoti habari toka...
View ArticleKashfa ya IpTL: Barua ya wazi kwa EWuuRA
Baaada ya kuchacha kiasi cha kukosa njuluku ya kupatia ulabu, niliamua kujisomea magazeti lau nijue umbea wa mjini; na nikakutana na kiroja cha mwaka! Guess what. Eti vilaza wetu wa mamlaka ya...
View ArticleBila katiba mpya Magufuli anajipiga mtama
Kupiga mtama ni neno la mtaani lenye kumaanisha kupiga ngwara. Kwa kishona humaanisha ujuzi au maarifa na maumivu ayapatayo mtu kidoleni hasa unapojikwaa. Leo nitatumia neno ngwara...
View ArticleKUSHITAKIWA WEZI WA ESCROW: Nampongeza Magufuli Japo NI Wajibu Wake
Watuhumiwa wakuu wa Escrow Harbinder Singh na James Rugemalira wakiwa mikononi mwa polisi Taarifa tulizo nazo ni kwamba wale watuhumiwa wakuu wa kashfa iliyoliibia taifa mabilioni ya...
View ArticleWhat a powerful message!
Cartoon showing how voters are blatantly robbed- Courtesy of the Daily Nation, Kenya
View ArticleUfisadi: Kijiwe chataka haki sawa kwa wote
Baada ya kutolewa onyo kali la hovyo kuwa tusiwaguse wakubwa mafisadi, kijiwe kimekaa kama kamati kulidurusu na kutoa angalizo kikizingatia sharti la katiba ya kaya kuwa kila mtu anastahiki...
View Article