Njaa Inapopanda Kichwani PhD Hugeuka Bullshit
Juzi wakati waheshimiwa wa mjengoni wakijadili bajeti, pamoja na ulevi wangu, niligundua kitu ambacho wengi hawajaona. Kama si jamaa yangu mmoja, tena aliyekuwa akionekana msomi wa kweli...
View ArticleTPSF mnamuonea Magufuli bure
Malalamiko ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania au Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) ya hivi karibuni kuwa serikali inaminya sekta binafsi hayana msingi. Mtendaji mkuu wa TPSF Godfrey...
View ArticleKijiwe: Wachunaji Wachague Dini au Siasa
Kijiwe cha leo kinajikita kwenye mambo ambayo wengi huogopa kugusa hasa wakiwa si wanachama wa chama twawala. Hii si jingine bali kuzuka kwa mtindo wa baadhi ya matapeli kujiita wachungaji...
View ArticleMagufuli asipuuzie shutuma za Kenya dhidi yake
Hivi karibuni, mara mbili bila kuthibitisha madai yake ya ajabu, kiongozi wa walio wengi kwenye bunge la taifa, Aden Duale, alikaririwa akiishutumu Tanzania kutaka kuingilia uchaguzi wa...
View ArticleIs Trump’s move an accidental suicide?
The news that the you-are-fired maharishi, president Donald Trump fired the Director of the Federal Bureau of Investigation (FBI), James Comey was not only a bombshell that tremulously...
View ArticleFisi anapochunga kondoo wa Bwana
Japo vitabu vya dini vinatuzuia tusihukumu ili tusije kuhukumiwa, kuna wakati mwingine hakuna namna bali kuhukumu. Mlevi siogopi kuhukumiwa hasa ninapowahukumu wanaopaswa si kuhukumiwa tu...
View ArticleKuuawa Lowassa na Magufuli Gwajima achunguzwe
Kwa waliobahatika kusikiliza mahubiri ya wiki iliyopita ya “mchungaji” Josephat Gwajima, walishangaa sana. Pamoja na kujulikana namna anavyojitahidi kutumia madhabahu kufanyia siasa,...
View ArticleHandcuffed President: Fall from Grace
When former South Korean president Park Geun-hye allowed her office to be used by a close friend as a money minting and printing factory, she did not know that, in the end, her end would be...
View ArticleKijiwe kukamata mali za mafisadi
Baada ya taarifa za kufumka kashfa ya ufisadi wa kutisha ambapo mhalifu fulani wa Tume ya Kupamba na Kueneza Rushua, sorry Kupambana na Kuzuia Rushua (TAKUKURU) kukutikana akimiliki mimali...
View ArticleNani anakumbuka mauji ya kipumbavu kama ya Mvumi?
Tukio la kusikitisha la kinyamana na kipumbavu lilotokea Oktoba 1, 2016 huko kijijini Iringa Mvumi lilistua na kuchukiza wengi ukiachia mbali kwa taifa. Wataalamu wawili wa Udongo na dereva wao toka...
View ArticleLeave Tanzania out of Kenya’s upcoming election
Recent damning allegations made by Majority leader Aden Duale that the NASA has established a pony-trekking center in Tanzania are shocking. Up until now, I don’t know the rationale...
View ArticleEti Dom ni the big city of Bongo? Wow!
Baada ya kufichuliwa madudu kwenye vitabu vya kiada kayani, walevi wengi walipigwa na butwaa kiasi cha kuamua kuhoji hata kama ni kilevi. Wengi walisikika wakitukana matusi ya nguoni ambayo...
View ArticleMakaburi, makinikia, Magufuli na Muhongo
Japo rais John Magufuli aligoma kufukua makaburi kwa hofu kuwa angeshindwa kuyafukia, sasa makaburi yanajifukua yenyewe ili watanzania wayachunguzee; na baadaye wayafukie. Tukio la hivi...
View ArticleGraves, Magufuli, mineral sands and Muhongo
When President John Magufuli’s told to revisit scandal-laden former regimes, he said he’d not exhume graves for the fear of not being able to re-cover them. It’s as ifAbyssus aabyssus...
View ArticleMagufuli Amtumbua Kamishina Mkuu wa Polisi
Mwezi wa Mei utaingia kwenye historia kama wa uamsho wa utumbuaji ambao anaufanya rais John Magufuli. Hii ni baada ya kuwa amelaza zoezi la utumbuaji kidogo, juzi Magufuli alimtumbua rafiki yake...
View ArticleKijiwe kwenda ikulu kumpongeza rais
Baada ya kuvunja mwiko wa kugeuzwa kichwa cha mwendawazimu kulikofanywa na rais Joni Kanywaji Makufuli, kijiwe kinapanga, kwa dhati kabisa, kwenda ikulu kumpa tano kikimtaka akaze buti na...
View ArticleMagufuli: Mwalimu wa maendeleo Afrika?
Kitendo cha hivi karibuni cha rais John Magufuli kufukua makaburi yaliyozika maendeleo ya Tanzania, hata Afrika, ni cha kupongezwa na kupigiwa mfano. Baada ya kustukia wizi wa ajabu na...
View ArticleForgery is boil but not goosebumps
Recently, Tanzania has been teetering and tottering with news revolving around chronic and systemic forgery. No news is good news. When news broke that the government would audit academic...
View ArticleWizi wa madini: Mlevi kuleta smelter
Wachukuaji, wezi na makuwadi wao wamekuwa wakificha dhahabu na madude mengine na kuyasafirisha ughaibuni huku walevi–sijui wa ujinga au upumbavu kama siyo ulevi wao–wakishuhudia kana kwamba...
View Article