Presidential rerun; Kenya isn't out of the wood yet
No doubt. Kenya is facing a Solomonic test that begs for Solomonic wisdom. After the Supreme Court of Kenya nullified president Uhuru Kenyatta’s win, Kenya, once again, was pushed back to...
View ArticleMlevi ataka Katiba Mpya kama Kenya
Baada ya mwana wa mfalme U-freedom Kinyataa kunyang’anywa ulaji wa dezo unaosemekana kupatikana kiharamu kwa njia ya uchakachuaji ambao sasa umegeuka fasheni Afrika, ilibidi nisukuti....
View ArticleBarua ya wazi kwa maaskofu Kilaini na Nzigilwa
Wahashamu maaskofu Methodius Kilaini na Eusebius Nzigilwa, Kwanza, nawaamkua shikamooni; na kukwapa pole kwa majukumu yetu ya kiroho na kidunia. Pia nawapa pole kwa yaliyowakuta....
View ArticleWigs, robes a carryover of colonial courts
The fact of the matter is, European colonisers intended to abuse, alter and demonise Africans’ identity and symbols by imposing white wigs so that we could look the way they wanted us to...
View ArticleKijiwe chafunga kumuombea Lissu
Taarifa za kushambuliwa kwa risasi na kujeruhiwa kamanda Tunduni Lissu zimesikitisha kijiwe. Baada ya kuzinyaka, kila mmoja alionyesha kusononeka huku tukilaani ujinga, upumbavu na unyama huu....
View ArticleZetu ni Uhamiaji au uhamishaji, biashara au bi hasara?
Taarifa kuwa kuna wachina walikamatwa wakiendesha kiwanda bila kibali nchini kwa tangu mwaka 2010 huko Morogoro ni za kuchefua na kuchukiza. Sikujua kuwa nchi yetu itafikia hapa kiasi cha...
View ArticleTanzania: Island of peace or in pieces?
Two salient incidents ensued in the country last week. The first is the cowardly attempt on the life of the president of Tanzania Legal Society (TLS), MP for Singida East and Chama cha...
View ArticlePole Tundu mwana wa Lissu
Leo naandika kwa hasira na uchungu hakuna mfano. Hivyo, yoyote anayesoma waraka huu uliovuviwa rohomtakahaki na mpingamaouvu kilevi, asidhani ni hasira au mawazo ya kilevi hata kama...
View ArticleWatu wasiojulikana: Barua ya wazi kwa rais Magufuli
Ndugu rais John Joseph Pombe Magufuli, Naamini u mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya ujenzi wa taifa kama raia na rais wa Tanzania. Leo, kwa mara nyingine...
View ArticleKijjiwe kwenda Nairobi kumjulia hali Lissu
Baada ya mwenzetu kufanyiwa kitu mbaya na mahabithi wanaoitwa watu wasiojulikana wakati wanajulikana, tuna mpango wa kutuma wajumbe kwenda kumjulia hali kama mchango wetu na kuunga...
View ArticleWilaya ya Ilala isiwaonee ombaomba
Hivi karibuni rafiki yangu alinitumia kipande kilichorekodiwa cha tangazo la wilaya ya Ilala likiwataka wananchi kutotoa fedha kwa ombaomba wala ombaomba kuomba; na watakaokiuka...
View ArticleWill the world let Qatar be bullied?
A few days ago, Tanzania had some explanations to make vis-à-vis ties with North Korea. I think; this is because our country is not an island when it comes to how it functions in the...
View ArticleMlevi kupambana na watu wasiojulikana
Baada ya watu wasiojulikana–au tuseme wahalifu wanaojulikana- wakajjficha nyuma ya kutojulikana tokana na ushamba na ujinga–wamekuwa tishio kayani. Kwanza, sidhani kama kuna watu...
View ArticleSomo toka shambulizi dhidi ya Lissu
Kwa wenye busara kila tukio ni darasa. Tukio la kinyama na kishenzi dhidi ya rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) na mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Tundu Lissu, kadhalika,...
View ArticleKijiwe chamuunga mkono Dk Kanywaji Magu
Baada ya Kijiwe kurejea toka Nairoberry kumuona Tunduni Lissu ambaye kwa sasa, si haba na alhamdullillahi, anaendelea vizuri, kilifarijika kusikia kuwa lisirikali limeamka usingizini na...
View ArticleMiaka miwili bila Mtikila
Alipofariki mchungaji Christopher Mtikila aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) sikupata fursa ya kumwandikia wasfu au kumbukizi. Huwa sipendi kuandika wasfu au ombolezo...
View ArticleThe s-called Unknown people must be made known
Tanzania, recently, has been grappling with the wave of the fear of the unknown after a faceless gang of terrorists inflicted pangs, twangs and sufferings on some innocent people. The hell broke loose...
View ArticlePicha ya wiki: Aliyeko juu mngoje chini
Watuhumiwa wa uchotaji wa fedha za umma kwenye akaunti ya Escrow Habinder Singh na James Rugemalira wakirejeshwa korokoroni kungojea upelelezi wa kesi yao ukamilike. Ama kweli aliyekojuu mngoje chini....
View Article