Kujenga uzio ni kumaliza tatizo la 'danganyikanite'....?
Watasha husema kuwa ukiwa na nyundo, kila kitu hugeuka msumari. Hivi karibuni walevi walishangilia sana kabla ya kushangaa na kujishangaa baadaye baada ya wataalamu kutoa maangalizo yao. Hii ni baada...
View ArticleMagufuli ana uwezo wa kuwa kioo barani Afrika kama
Hakuna ubishi; rais John Pombe Magufulli sasa ni jina kubwa duniani. Hii ni kutokana na staili yake ya uongozi hasa kupambana na maouvu na kubana matumiziAlipokataa kufanya ziara nje ya nchi wengi...
View ArticleHuyu agombee unyekiti wa Chama Cha Mafisadi
Huyojamaa hapo juu akigombea unyekiti wa Chama Cha Mafisadi (CCM) wapiga kura wake waaminifu watakuwa wafuatao hapa chini na mitandao.
View ArticleKijiwe kuwanyaka waliotaka kumdedisha Lissu
Msomi Mkatatamaa anaingia akiwa na matabu makubwa mawili moja likiitwa How to Zap and Kill Uknown Killers na jingine, How To Make Uknown Known. Anayabwaga mezani akionyesha wazi kuwa na...
View ArticleShambulizi la Lissu tulete wapelelezi wa kigeni
Sina shaka ninapoandika makala hii kusema kuwa jaribio la kutaka kumuua mbunge wa Singida Mashariki na rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) mheshimiwa Tundu Lissu ni suala...
View ArticleIs Magufuli’s presidency as bad as his critics claim?
There are calls and cries that President John Magufuli’s presidency is wanting. Those buying into such charges quote Magufuli, on different occasions, as saying that he wasn’t prepared to become...
View ArticleMlevi atamani Tunduni angekuwa mgeshi
Rais Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kushoto) na Brigedia Jenerali Dkt. Paul Massawe Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba akielezea alivyoshambuliwa kwa risasi...
View ArticleKijiwe chaadhimisha miaka 18 ya kifo cha mzee Mchonga
Mgoshi Machungi anaingia akiwa ameshikilia kitabu cha Ujamaa na Kujitegemea kilichoandikwa na mzee Mchonga mwenyewe. Kila mtu anashangaa. Kwani, licha ya kutoonyesha usomi, Mgoshi,...
View ArticleTunapoadhimisha miaka 18 ya kifo cha Mwl Nyerere
Wiki hii ni ya kuadhimsha miaka 18 tangu baba wa taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere atutoke hapo tarehe 14 Oktoba, 1999 huko mjini London Uingereza. Kwa wale waliozaliwa kipindi hicho, sasa...
View ArticleReflecting on the legacy of Mwalimu Julius Nyerere
October 14, 1999, Tanzania lost its founder the late Mwl Julius Kambarage Nyerere at Guy’s and St. Thomas Hospital in London. Now, it is 18 years since Mwalimu or teacher as ,he’s famously known, sadly...
View ArticleMlevi amkumbuka mzee Mchonga Nyerere
Baba Mwl JKN Mchonga, shikamoo, Japo umelala kwenye pumziko la milele, naamini unaniona na kunisikia. Kama hutanisikia, wengine watanisikia. Hivyo, sina shaka utasoma hii kitu...
View ArticleShambulizi dhidi ya Lissu litaigharimu serikali
Shambulio la kishenzi dhidi ya maisha ya mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu limegeuka kongwa kwenye shingo ya serikali. Hii ni kutokana na namna shambulio lilivyofanyika; na...
View ArticleKijiwe chatamani Tunduni angekuwa mgeshi
Baada ya kungoja kwa muda mrefu kusikia kuwa washenzi waliotaka kumnyotoa roho mhishimiwa totoTunduni Lissu bila majibu, kijiwe kimeamua kutoa angalizo. Mgoshi Machungi anaingia...
View ArticleKuna dawa moja ya kukomesha ufisadi nchini
Hakuna ubishi. Kwa sasa, rais John Magufuli ni rais anayechukiwa sana kuliko na mafisadi na waliozoea kutajirika bila kufuata utaratibu kuliko rais yeyote wa Tanzania. Vita ya kupigiwa...
View ArticleOpen letter to Kenyatta and Odinga
Dear President Uhuru Kenyatta and former Premier Raila Odinga, First of all, I must introduce myself. I am not Kenyan. Instead, I am African, Africanist, Pan-Africanist, East African and...
View ArticleMaajabu ya dunia picha ya baba na mwana!
Robert Wadlow (1918-1940) akiwa na baba yake, Harold Franklin Wadlow. Ni bidamu mrefu kuliko wote waliowahi kutokea mzaliwa wa Alton, Illinois huko Marekani. Hapa chini yuko na baba na mama yake.
View ArticleAkina Majimarefu na Nkamia ni wa kuogopwa kama ukoma
Kwa wale waliofuatilia namna mbunge wa Chemba Juma Nkamia alivyotaka kupeleka mswaada wa kubadili katiba ili rais wa Tanzania aongezewe muda wa kukaa madarakani na kurefusha muda huo toka...
View ArticleLissugate: Call in foreign investigators
After certain unknown dunces wanted to do Tundu Lissu in, there are still cries for justice to be delivered to the culprits. Lissu is suffering from pains inflicted on him by bêtes noires...
View Article