Kanji apanga kupeleka toto yake Bombei
Baada ya waswahili kuanza kuingiza uswahili hata kwenye elimu, Kanji anapanga kuregesha watoto wake Bombay ili wakapate elimu safi warejee huku watawale na kuhomola. Si kawaida ya...
View ArticleMnaua elimu na kusingizia lugha!
Taarifa za hivi karibuni kuwa Tanzania imeanzisha mpango mpya wa elimu ambapo elimu ya awali itakwenda hadi kidato cha nne, kama ingekuwa siyo siasa ni ya kufurahisha. Pamoja na kujivuvumua huku, wengi...
View ArticleSijui Kikwete analipwa kwa nini na lipi wakati ni mzururaji?
Kikwete akiweka shada la maua kwenye makaburi wa wendazake marais wa zamani wa Zambia Levy Mwanawasa na Fredrick Chiluba mjini Lusaka.Juzi alikuwa nchini Kenya kwenye mkutano wa wakuuw a EAC. Kabla ya...
View ArticleMnaua elimu wasomi wametosha eeh!
Kaya yetu inasifika duniani kuwa ya wasomi. Rais wetu ni profesa. Wengi wa mawaziri na wabunge ni madaktari wasiotibu.Usiniulize kama wameghushi au la. Kaya ina wasomi kila tabaka.Wapo wa ukweli, wa...
View ArticleKinana akimaliza S.Sudan akasuluhishe Somalia
Mratibu wa kampeni wa rais Kikwete, Abdulrahaman Kinana akiagana na rais Salva Mayardit wa Sudan ya Kusini baada ya kusimamia mazungumzo ya amani mjini Juba juzi.
View ArticleJohn Komba afariki
Habari tulizopata ni kwamba Mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM) John Damian Komba hatunaye tena. Atakumbukwa kwa nyimbo zake na kuuchapa usingizi mjengoni ukiachia tishio la kwenda porini kama Katiba...
View ArticlePCCB and cops are corrupt through and through!
I’d not believe my eyes when I read Afrobarometer’s findings-cum-bombshell that Prevention and Condoning Corruption Bureau (PCCB) is among the most corrupt govt agents in the hunk I thought...
View ArticlePicha ya mwezi: Senior na Junior wanapochonga
Hapa ni mimi na Junior tukichonga. Si haba sasa bwana mdogo anaikimbilia miaka mitatu. Anaonekana kuzimilki nyayo za Senior kuliko hata kaka yake Nkuzi.
View ArticleHawa ni katika wachache waliobarikiwa na kuwahi kuishi
Duranord Veillard (108) na Mkewe Jeanne Veillard, (105) Ni wakazi wa Spring Valley New York licha ya kuwa na miaka mia na ushei wamedumu katika ndoa kwa jumla ya miaka 82. Je ni wangapi wanabahati...
View ArticleNimegundua kwanini tuna maprofesa kama Tibaijuka Maji Marefu na Kikwete
Peter Msigwa wa Iringa Mjini (CHADEMA) amenifumbua macho ni kwanini taifa letu lina vihiyo wanaoitwa profesa na waheshimiwa.
View ArticleKijiwe Chagundua Waliomtumia Wahuni Warioba
Baada ya wengi kuwa wanamtafuta mchawi wa gwiji la Katiba ya wananchi mzee Jose Shinda Waryuba bila mafanikio, Kijiwe kimemuibua hivi karibni baada ya kupewa malipo ya uhuni na usaliti wake....
View ArticleEscrow inapoiteka hata ikulu!
Japo kashfa ya wizi wa mabilioni ya fedha za umma kupitia kashfa ya escrow umefutikwa chini ya busati, bado unazidi kuwaandama na kuwaumbua wakubwa wanaojifanya kutohusika wala kuchukua hatua...
View ArticleMwaadhimisha kuzaliwa CcM au njaa zenu?
Baada ya Mlevi kubadili jina na kujiita Ml JK ambayo wengi hudhani ni Mteule Jaa Kaya au Riz, mambo yameanza kujipa. Juzi nikiwa zangu kwa Joji Kichaka nilipokwenda kumpa somo la kuchora...
View ArticleKipanya leo umeua
Kibonzo hiki kimenikuna na usomi wa majambazi wanaoibia taifa. Ni bahati mbaya kuwa Tanzania inaongozwa na profesa hata kama ni wa kuzawadiwa lakini ni ya hovyo kuliko hata viinchi vidogo vilivyotoka...
View ArticleRais ajaye awe na uchungu na nchi apende elimu
Ingawa kila mtu ana vigezo vyake vya rais anayemtaka, kuna haja ya sisi –kama taifa – kuwa na vigezo vya pamoja –hasa tukiangalia matatizo yanayolikabili taifa –vya kumpata rais ajaye ili...
View Article