$ 0 0 Habari tulizopata ni kwamba Mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM) John Damian Komba hatunaye tena. Atakumbukwa kwa nyimbo zake na kuuchapa usingizi mjengoni ukiachia tishio la kwenda porini kama Katiba mpya ingepita.