Tunataka uongozi kwa Kinana si uongo – 2
KATIKA makala ya “Tunataka uongozi kwa Kinana si uongo”, niliahidi kumdurusu zaidi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana, hasa kutokana na matamshi yake yaliyozua utata na...
View ArticlePlease take it easy Mura Werema
When boozers requested me to form Waishiwa Boxing Club (WBC) that I reported in my Boozer’s Corner column I didn't know that some bankrupt biggies would become members though insentiently. Before long,...
View ArticleMnagundua gesi na kuongeza kuomba omba
Mlevi alifurahi sana kabla ya furaha kutumbukia nyongo na kuchukia kusikia kuwa Bongo imegundua kisima kingine cha gesi. Nasikia kisima hiki kipya kina gesi ipatayo lita trilioni 85 kwa mujibu wa...
View ArticleWe're sufferin' from CCM bug?
Guess what. Today I’m bringing bad news to boozers. It came to our knowledge that many boozers are likely to perish if something isn't nippily done. Being a doctor of everything, I discovered a...
View ArticleMakongoro Mahanga akubali kughushi PhD
Makongoro Mahanga, Naibu Waziri Kazi na Ajira kwa mara nyingine amekubali kuwa alighushi sifa zake za kitaaluma. Hii ni baada ya Makongoro kudaiwa na mwanaharakati wa haki za binadamu Keinerugaba...
View ArticleAngalia watawala vibaka wanavyoondoka madarakani
Pamoja na kuiba kwa miaka yote waliyokuwa madarakani, bado watawala wezi na waramba viatu wao wana mshipa wa kuiba mabilioni kama ilivyotokea juzi kwenye fuko la Escrow na ujambazi mwingine kama vile...
View ArticleKijiwe: Matanuzi kwanza, kilimo mwisho
BAADA ya kunyaka nyuzi kuwa katika libajeti la hovyo linalojadiliwa baada ya kuletwa na Saada Mkuyati kuwa ofisi ya rahisi imepangiwa njuluku sawa na za kilimo, Kijiwe kimeamua kutoa shinikizo...
View ArticleWerema ni mwanasheria au mwanashari?
NAANDIKA makala hii kwa masikitiko sana kulaani mtindo wa kihuni wa baadhi yetu kujichukulia sheria mkononi. Hali hii inakuwa mbaya zaidi hasa pale tunaodhani ni magwiji wa sheria na mihimili ya sheria...
View ArticleCCM imefikia mwisho wake iwajibishwe
Hakuna ubishi. Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mojawapo ya vyama vikongwe duniani. Ni chama kilichochoka kuisha na kuishiwa kiasi cha kupaswa kustaafisha tokana na utendaji wake wa hovyo na wa...
View ArticleMlevi:Kumradhi kuvunjika pambano Mjengoni
Siku hizi mjengoni kumegeuka Railway Gerezani ambako ndondi hupigwa.Tofauti ni kwamba Railway Gerezani huwezi kuingia bila kulipa kiingilio na wala hulipwi posho ya kukaa na kushangilia ndondi kama...
View ArticleKafulila vs Werema: Makinda at it again!
In the just ended showdown-cum-show-offs as govt’s chief Counsel Freddie Werema wanted to punch Kigoma South MP, David Kafulila for snooping in his ulaji, another casualty evolved. This is...
View ArticleKwa dada wa Kitanzania
Baada ya kusoma gazetini BOFYA HAPA kuwa dada wa kitanzania wanapelekwa China kuuza miili yao nilishawishika kuandika comment ifuatayo:Tamaa, ujinga, kutaka kuukata, umaskini na roho mbaya vinaponza...
View ArticleKijiwe chalaani uhuni mjengoni
BAADA ya mura Were-maa anayeitwa jaji na mwanasheria mkubwa kulikoroga huku wakubwa zake wakikenua, kijiwe kimeamua kujitoa kimasomaso na kulaani uhuni wake na wa wenzake, hasa wale wanaomkingia kifua...
View ArticleKwanini serikali haina fedha wakati inaibiwa ikinyamaza?
Ripoti kuwa serikali yetu imefilisika kiasi cha kushindwa kupata pesa ya bajeti yake licha ya kutisha zinaudhi sana. Wahusika wametutaarifu kuwa hakuna pesa ya kutosha lakini licha ya kutupa...
View ArticleBoozer to run for president
After the presidency of the hunk became an easy position any fella competent and incompetent can take a stab at, I, too, declare my candidature come next general elections. Given that urais...
View ArticleMlevi kuanzisha kampuni za kitapeli
Baada ya kugundua kuwa ukwepaji kodi na wizi wa fedha za umma, mlevi amepanga kupiga njuluku kwa kugeuka mjasiriamali. Napanga kuanzisha kampuni ya kupiga njuluku ya Mlevi Organized Network Enterprises...
View ArticleI love this dream of Machakosdubai
If wishes were horses beggars would ride. One county in Kenya, Machakos, has such bigger dreams of becoming the Dubai of Africa. Again, dreaming is one thing and realizing the said dream is another....
View ArticleMabilioni ya Uswizi yameishia wapi?
Hali ilivyo ni kwamba mjadala na mashinikizo juu ya kureshwa kwa mabiloni ya shilingi yaliyoibwa nchini na kuficha ughaibuni hasa Uswizi umezimwa kinamna. Pamoja na serikali ya Uswizi kutoa msaada wa...
View Article