When ministers talk and act like boozers
Guess what. I've a bone to pick. Some ministers hugely act and talks as if they've nary set a foot in the class. Did they forge their academic credentials like those weave evidenced been...
View ArticleKikwete: Msanii anayependa wasanii kuliko wapiga kura
Baba wa taifa Marehem Mwalimu Julious Nyerere alipomkataa Jakaya Kikwete akisema hakuwa amekomaa kuwa rais wa Tanzania wengi walidhani kuwa angekua. Ni bahati mbaya kuwa Kikwete alikataa kukua...
View ArticleKijiwe chalaani serikali na milipuko ya Arusha
BAADA ya kupata taarifa za kuhuzunisha kuhusu shambulio jingine jijini Arusha, kijiwe licha ya kutoa salamu kwa wahanga, kinalaani ushenzi huu unaopaswa kukomeshwa badala ya kuzoeleka. Pamoja na...
View ArticleArticle 0
BAADA ya urais kugeuzwa urahisi kiasi cha watu wa hovyo wasio na sifa (watimbwakwiri) wala mipango kuuwania kwa udi na uvumba, ni jukumu la Watanzania kuwa makini kwenye uchaguzi ujao. Kutokana na...
View ArticleMlevi ampongeza Riziwani kuwapasha makanjanja
Bwana Riziwani,Baada ya kutundika mibangi na gongo naomba nichukue fursa hii kukupongeza kwa kuwatolea uvivu makanjanja wanaokosoa utawala wa dingi wako. Well done and bravo plus kudos mtu...
View ArticleThe day boozer became “bomber again”
War war warI declare warWar on corruptionWar on nepotismWar on red typeWar on every vice I won’t give upI won’t cave in I won’t give inI will soldier onI won’t back down No backing off. The lord’ll...
View ArticleAdhimisho la Ndoa
Jana ilikuwa siku yetu ya maadhimisho ya ndoa yetu. Tulisherehekea japo kimya kimya na watoto wetu kuendelea kula chumvi na sukari ya ndoa. Tunazidi kumshukuru Mungu kwa hili kwani miaka inazidi kwenda...
View ArticleDo you know who Harbinder Singh Sethi of IPTL is?
Harbinder Singh Sethi is one of the young Asian fixers who made fortunes during the 1980’s when President Moi created his own business and real estate empire. Described in the press as a ‘Kenyan...
View ArticleWho is James Rugemalira?
James Bulchard Rugemalira is the central Tanzanian player in the long drawn-out IPTL saga. Describing himself as an ‘Independent, International Consultant’ and a ‘great patriot’, Rugemalira is a former...
View ArticleWell done Sumaye though
Former premier Fredrick Sumaye’s the guy, against all odds, who’s reinvented himself lately. Whether he’s seen the light or not is subject to discussion. Whether he’ll succeed, also, depends...
View ArticleKumbe mzee Pinda mhuni!
Sijui kwa umri na hadhi yake kama aina hii ya salamu inamfaa. Nakumbuka mhuni mwingine aliyekuwa rais aliyezoea kuwaamkia watu mambo asijue ndiyo uvivu wa kufikiri wenyewe. Sikujua kuwa kumbe...
View ArticleKijiwe chajadili ubaguzi juu ya urais
BAADA ya vitimbakwiri kujitokeza bila aibu na kutaka kuwania urais, Kijiwe kimeona kisiachwe nyuma. Maana bila ya ushauri wake rais ajae anaweza kuwa rahisi tena na kaya ikaingia kwenye hasara zaidi ya...
View ArticleJanuary Makamba na falsafa ya ujana katika chama kizee
BAADA ya January Makamba kulianzisha akaungwa mkono na Jaji Joseph Warioba kuwa rais ajaye lazima awe kijana, wengi tumejiuliza mantiki ya vijana kutaka kuingia madarakani kwa kutumia chama kizee....
View ArticleDid you know traffic jams kill?
All those residing in Dar-si-salama (haven is no longer safe) that used to be Dar es Salaam or the haven of peace know what I’m trying to say. I recently spoke with a friend whose name is top...
View ArticleKutupwa viungo vya waswahili ingekuwa India waswahili wakafanya hivyo...
Makamu Mkuu wa Chuo cha International Medical and Technological University (IMTU), Profesa PV Prabhak Rao (mwenye koti la blue) na viongozi wengine wakisindikizwa na polisi kuingia kwenye Kituo cha...
View ArticleFutari au aina mpya ya hongo na ufisadi?
Kumezuka utamaduni wa kutumia vibaya fedha za umma kwa maslahi binafsi. Siku hizi ni fasheni kwa viongozi hasa marais, mabalozi, makampuni hata mashirika kufuturisha. Je hii ni futari au hongo na...
View ArticleSeriously, Mlevi kugombea urais
Baada ya kila msaka tonge kutangaza nia ya kugombea urais ambao unaanza kugeuka urahisi yaani ulaji rahisi, mlevi japo alishabainisha kuwa anaweza akatia timu, sasa anatangaza rasmi kuwa atagombea...
View Article"Shehe" Peter Kayanza Mizengo Pinda aandaa futari akimbia swalat!
Waziri mkuu Mizengo Pinda akifurahi na wasaniiRais Kikwete akiwasili kwenye makazi ya PindaWala pilau wakiswali baada ya futari aliyoandaa Pinda.Waziri mkuu Mizengo Pinda akifurahi na wasanii waliokuja...
View ArticleWhat a generous-cum-religious hunk!
I must say it clearly, loudly and openly before I jolt it down. I’m against the tendency that’s become an in-thing in our society whereby biggies, companies and who've duped boozers...
View ArticlePicha ya mwezi ya blog hii
Tulitoa picha hii katika maadhimisho ya ndoa yetu hapo Julai 18. Katika kuangalia picha za mwezi huu, tumeona tujipendelee angalau turejeshe picha hii kwa vile ilionekana kuwa picha nzuri ya mwezi huu.
View Article