Quantcast
Channel: Free Thinking
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live

Why Sino-Africa Ties are Good for Africa

The other day I heard former Nigerian president Olusegun Obasanjo wondering why west countries ask him about Africa’s new colonial master, China. As he wonders, everybody, too, wonders.  How China can...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maisha bora kwa Wadanganyika wote!

Ni Maisha Bora kwa Wote au rais Bwana na raia Mtwana? Hapa chini rais Jakaya Kikwete akiwa anamsikiliza mlalahoi aliyepigika huku mkubwa akiendelea kutanua ndani na nje ya nchi. Bwana mkubwa huwa hakai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mlevi azimia wachina kuuza ndimu na vitunguu!

 Kwa vile huku ughaibuni huwezi kutajirika wala kuukata kupitia wizi au ujanja na jinai nyingine, lazima nirudi home. Huku kila mtu anachopata au kutumia lazima aeleze umepata vipi. Kuna sheria ya...

View Article

Kurejesha fedha nje wananchi tujilaumu

HIVI  karibuni mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe ameonyesha njia kwa kushikilia bango mabilioni ya shilingi yaliyofichwa kwenye mabenki ya Uswiss wakati Serikali ikijifanya haihusiki.Kama jamii na...

View Article

Huwa napenda muziki wa ingo (Nyumbani)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais atupe ulinzi badala ya rambirambi na kuhudhuria mazishi kila mara

Hakuna ubishi kuwa rais Jakaya Kikwete ataingia kwenye vitabu vya historia kama rais aliyehudhuria misiba na maziko mengi kuliko waliomtangulia. Kwa juu juu hili linaweza kuchukuliwa kuwa ni mapenzi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EAC: Will COW Mend Fences or Drive On?

Recent reports that former Kenya’s PM Raila Odinga offered to mediate in the ongoing impasse in the East African Community can’t be ignored. As a patriot per excellence, his move is commendable save it...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Please Zitto live up to your words

“You may fool all the people some of the time, you can even fool some of the people all of the time, but you cannot fool all of the people all the time,” Abraham Lincoln. Kigoma North MP Zitto Kabwe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

New constitution, theirs or ours?

Talking about power specifically people power, in her book, “Thinking Outside Ballot Box,” Brigitte DePage said that power is as fluid as the water in the lake. Nobody can stop water from going...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bravo Eddie Lowassa!

Dear Eddie,I must admit.  Though I don’t agree with you, I admire and envy your courage of the mad. Eddie Lowassa, former big minister who’s purged due to partaking Richmoduli scam always leaves me in...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Blogs zinapomkera Kikwete hadi akapayuka

"Tunatumaini na matarajio yetu sisi tuliobakia nyumbani ni kwamba mtaisemea vizuri nchi yetu, mtaitetea nchi yen na mtaihangaikia nchi na kuleata faida numbani. Ni jambo haliingii akilini kuwa baadhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mlevi amuomboleza Dk. Mvungi

Kwa majonzi na moyo uliopondeka, mlevi leo kwa namna ya pekee anaomboleza kifo cha gwiji wa sheria Dk. Sengondo Mvungi aliyenyotolewa roho na walioitwa majambawazi. Je! kweli aliuawa na majambazi au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Are we blessed or cursed?

 The adage has it, "blessed is the hand that giveth than the one that taketh"Forgive me. When I remember this maxim and look at how African presidents go shamelessly cup in hand begging, I feel...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Angola yaharamisha Uislam akili au matope?

Taarifa zilizotufikia ni kwamba taifa la Angola limekuwa la kwanza duniani kuharamisha Uislam kwenye ardhi yake. Hatua hii imekuja kutokana na juhudi za Angola kupiga marufuku dini na madhehebu ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkapa: Usemayo kweli japo nyani haoni ...?

HAKUNA  sehemu mstaafu Benjamin Mkapa aliniacha hoi kama pale aliponukuliwa hivi karibuni akisema, “Kutegemea Serikali peke yake kulete maendeleo kutafanya maendeleo kuvia kwani nchi yetu ni kubwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA: Kwenye msafara wa mamba kenge wamo

KWA wenye kufuatilia siasa zetu za ulaji, urushi, unafiki na ubangaizaji, hawakushangaa kilichotokea kwenye chama kikuu cha upinzani Chadema. Baada ya Chadema kuwachukulia hatua za kinidhamu “waasi”...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Liberia’s State House and Drugs

Although there’s no good news, news that the head of Liberian presidential motorcade, Perry Dolo was caught red handed ferrying drugs is good news. Dolo’s alleged to have used presidential escort...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Zitto Kabwe?

Kwa wanaojua kilichompata akina Augustine Lyatonga Mrema, kuna uwezekano kuwa kinachoendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni mwanzo wa mwisho wa mbunge wa Kigoma Kaskazini,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mali yaamua kumshughulikia Sanogo

 Kiongozi wa mapinduzi yaliyoiingiza Mali kwenye mtafaruko wa kidini na kisiasa, Amadou Sanogo yuko korokoroni akikabiliwa na mashtaka ya mauaji. Sanogo afisa wa cheo cha kati jeshini asiyejulikana,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zuma aonyesha tamaa na kufuru zake

 Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini huwa hakaukiwi vituko. Ukiachia kashfa yake ya kujipatia mamilioni ya dola kwa kumtumia mhindi rafiki yake na kashfa ya ubakaji, Zuma anakabiliwa na kashfa nyingine ya...

View Article
Browsing all 3173 articles
Browse latest View live