Paulo Makonda mwenye shati jeupe anayeangaliana jaji Joseph Warioba akimvuta kutaka kumpiga. Jana kateuliwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na wale waliomtuma kumdhalilisha Mzee Warioba. Hapa ndipo unafiki na uhuni wa Kikwete unafichuka.
↧
Uhuni wa Kikwete na Makonda huu hapa
↧