Ajali za Barabani: Kijiwe Chaishukia Sirikali
Baada ya mheshimiwa Bwege kupoteza ndugu zake kwenye ajali iliyotokea huko Rufiji hivi karibuni, Kijiwe kimekaa kama kamati kutoa shinikizo kwa lisirikali likomeshe jinai hii ya kizembe na ya...
View ArticleKama mali za Gwajima ni halali, anahofu nini?
Askofu wa kujipachika Josephat Gwajima amevutia vyombo vya habari kwa siku za karibuni. Ni baada ya kwanza, kushutumiwa kumchukua mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha ambaye mumewe wa...
View ArticleXenophobia: The Oppressed Become Oppressors
Recently, Media reported barbaric and xenophobic attacks on foreigners in South Africa. Such attacks resulted from a wrong perception that foreigners–who in this case are Africans–caused the miseries...
View ArticleHii comment ya msomaji imenifurahisha sana
Anonymous said...Mwalimu Mhango,Bwana Mola azidi kukulinda kwani kalmu yako imekua ni silaha ya kuwatetetea wanyonge daima,lakini tatizo kubwa ni ni kuingiliana kwa maradhi sugu katika jamii ya...
View ArticleMlevi kuanzisha kanisa ili anunue Boieng
Baada ya kugundua kuwa jina la bwana God linalipa, basi mzee mzima nasukuti kuanzisha kanisa la Upendo, Furaha, Uzima Fanaka na Utajirisho, Kupitia Ombi (UFUFUKO). Katika kuhakikisha napata...
View ArticleIs ours a criminal hunk?
Don’t think I’m writing this because of kanywaji and ganja. Nay, I've strong and healthy reasons to embark on becoming a big criminal aka a big thug, you may call it. I reached this stance...
View ArticleKufungwa mtoto wa rais somo kwa marais watoto
Rais wa zamani wa Senegal Abdulaye Wade na Mwanae Karim wakati akiwa madarakani Kupatikana na hatia ya wizi wa fedha za umma na kuhukumiwa kifungo kwa mtoto wa rais wa zamani wa Senegal, Karim...
View ArticleHawa ndiyo wanaojua kupambana na wauza unga
Mmoja wa raia wanne wa Nigeria akipelekwa kupigwa risasi nchini Indonesia baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha unga leo (jumatano) saa za kule. Laiti na Tanzania na nchi nyingine za...
View ArticleKijiwe chaasa wachovu kuchukia na kufanya mabadiliko
Tukiwa tunahuzunika tokana na ajali za barabarani zilizosababishwa na ufisadi na utawala mbovu si tukazinyaka kuwa kuna majambazi makubwa yameingia kaya mkengeni kwa kupiga mabilioni. Inshu...
View ArticleMauaji ya albino tuige mfano wa Malawi
Hivi karibuni serikali nchini Malawi imetangaza hatua za kimapinduzi dhidi ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Baada ya kukamatwa wahalifu wenye viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi,...
View ArticleSikanyagi tena Dar yenu!.
Baada ya kugundua kuwa usanii, ufisi, ufisadi, ubabaishaji,na ukiukwaji wa kanuni hata za kitaalamu na za kimaumbile vimegeuka sera, nimeamua kuchukua hatua mujarabu kabla mauti ya...
View ArticleCan IPTL criminals fight Malaria really?
When the Indecent Power Transgression Ltd (IPTL/ PAP) got the wind that I've established PAP to protect endangered albinos, decided to ape me. The story that IPTL launched “war” against...
View ArticleKatiba pandikizi imeshindwa rejesheni ya rasimu ya wananchi
Kwa hali ilivyo ni kwamba katiba pandikizi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeshindwa tena vibaya sana. Pamoja na watawala kujifanya hawaoni wala hawasikii na kutaka kutubambika katiba yenye...
View ArticleHongera Takukuru kuiumbua CCM
Hivi karibuni Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) iliamua kujivua gamba kwa kusema wazi nani ni gamba na mhimili wa rushwa na ufisadi nchini. Baada ya kushambuliwa kuwa haifanyi...
View ArticleKijiwe chamkumbusha rahisi ahadi zake
Rahisi Jey Kiquette ameanza kuaga wachovu. Kwani mwakani saa kama hizi atakuwa nje ya ikuu akitazama wenzake wanavyofanya vitu vyao. Ni wakati mgumu. Maana hujui atakayechukua ngoma atakutenza vipi...
View ArticleNkurunziza save Burundi instead of "serving" her
Unfolding crisis in Burundi is an extraordinary problem that begs for an extraordinary means to reach the solution. Slowly Burundi is cascading into her violent past after having a ten-year...
View Article