Presidency: Boozers to demonstrate to bar Lower-Sir
After unraveling the mystery-cum-gambit by tainted politicians who seek to use goons and opportunists to portray themselves as popular, boozers are preparing the “mother” of all demos in the hunk....
View ArticleMmeamua kuua utunzi na uchapishaji wa vitabu siyo?
Mtunzi maarufu Shaban Robert aliyesahaulika pamoja na mchango wake wa kipekee katika tasnia ya utunzi Naandika makala hii kwa masikitiko makubwa sana. Moyo wangu unasononeka kutokana na jinsi elimu...
View ArticleLook at how racism eats the US
No sane person would believe that after the Ferguson massacre of an Afro-American teen Michael Brown,August 9, 2014 police would repeat the same just seven months thereafter. Again, what should they...
View ArticleKijiwe chakumbushia escrow
Baada ya kuona kasi na namna kashfa iliyozamisha njuluku kibao za wachovu, Kijiwe kimeamua kurejesha suala zima kwa hadhira lau ihoji kama si hivyo basi ichukie ili wakati wa kupiga kura...
View ArticleAndamaneni kumshawishi Lowassa asigombee
Baada ya baadhi ya wanasiasa kuanzisha “usanii” wa kuwanunua wale baadhi ya wanasiasa wamewaita wachovu na wachumia tumbo kujifanya wanaandamana kuwashawishi wagombee urais, nimeijiwa na wazo...
View ArticleRais ameanzisha vurugu za ardhi nchini
Kitendo cha rais Jakaya Kikwete kutwaa shamba la Galapo mkoani Manyara kimechochea sintofahamu nchini kuhusiana na sera ya ardhi. Baada ya rais kutoa amri ya kugawiwa kwa wananchi shamba...
View Article'Ufunuo: Walevi jihadharini na wachunaji'.
Baada ya kupiga mma na kupuliza sana madude si nikapata ufunuo! Seriously, nilipata ufunuo kuwaonya walevi kwa yatakayowakuta hasa baada ya kaya yao kuvamiwa na majambazi, matapeli na wasanii...
View ArticleForget IpTL and Escrow there’s PAP
As a hunk, we've a problem, gargantuan one. It started when some greedy, ruthless and uncouth folks – among us –turned their colleague Danganyikans into fair game for their mania, ignorance and idiocy....
View ArticleKijiwe chalaani ugaidi
Tokana na shmbulizi la kikaitili na kipumbaavu lilotokea nchini Kenya, Kijiwe kimegundua baadhi ya sababu za wale wajinga na vihiyo wanaitwa wasomi kushiriki ushenzi na jinai hii.Mpemba leo ndiyo...
View ArticleViongozi wa kiroho waroho na matajiri wachunguzwe
Wimbi la viongozi waroho wa kiroho kutokea kuwa matajiri wa kutisha inatia shaka. Hali imefanya wengi kuona umuhimu wa serikali kuwachunguza hata kufuta misamaha ya kodi wanayopewa wakaitumia...
View ArticleJonathan lost even before election
Nigeria’s outgoing president Dr. Goodluck Ebele Jonathan had no good luck this time around. Many political strategists and analysts knew it too well that he’d not survive in the just ended...
View ArticleKwanini Kinana anaendelea kuhadaa umma?
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana ni kiongozi mwenye kutatanisha tokana na matamshi yake na mapenzi ya kupigwa picha kwa kila anachofanya hata kama ni cha kawaida....
View ArticleMlevi akataa kuwa "urahisi" ni mgumu
Mwenzenu nina hasira kiasi cha kutamani kumyotoa mtu roho kama si kujinyotoa. Nimejaribu kupata kidogo lau hasira ziondoke bila mafanikio. Hivyo, nimeamua kutoa hasira zangu kwa kuwaasa walevi...
View ArticleKiquette: True, presidency is a “tough” job
When some news breaks leaves your heart broken. The other day I was at our eatery at Uwanja wa Hyena devouring some visceral and trimmings expecting to go for kanywaji and ganja aka msokoto. I can see...
View ArticleMy comment of the year
After reading many irresponsible comments on the sinking of the boat carrying at about 700 migrants in the Mediterranean sea, I chipped in by provoking even many writing:-I fully support this exodus....
View Article