Hawa mashehe au mashena ya njaa?
Njaa kitu kibaya! Humdhalilisha mja hadi akajigeuza taulo au nepi. Hawa wamesikinishwana sera mbovu na ufisadi wa hawa wanaowaomba wagombee ili wawaumize zaidi. Kweli kuna haja ya kuelimisha watu wetu...
View ArticleLesson from the conviction of the first lady
It is official that Ivorian former first lady Dr. Simone Gbagbo is now a prisoner. Mr Gbagbo’s recently found guilty of subverting authorities, among others, and was awarded 20 years in...
View ArticleThe son of Senegalese former president Wade convicted
Karim Abdulaye Waade (center) the son of former Sengalese president Professor Abdulaye Wade was found guilty of embezzling public funds and other crimes. Karim who was a minister in his father's...
View ArticleMauaji walemavu wa ngozi yatosha
Mauaji ya kijinga na kikatili ya walemavu wa ngozi yatokanayo na imani za kishirikina na tamaa za utajiri wa haraka yamekuwa jambo la kawaida nchini. Sifa ya taifa imeporomoka kiasi cha kugeuka taifa...
View ArticleKijiwe chalaani na kutaka mauaji ya albino yakomeshwe
Baada ya kutoridhishwa na sanaa na ubabaishaji unaofanyika dhidi ya maisha ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi, kama Kijiwe, tumekaa kama kamati kulaani na kushinikiza mauaji haya ya...
View ArticleKikwete anawaonea wakuu wa wilaya walevi
Hivi karibuni rais Jakaya Kikwete alisikika akilalamikia wakuu wa wilaya walevi ambao ulevi wao ulimlazimisha kuwatimua kazi. Alikaririwa na vyombo vya habari akisema, “Pale ulipo ni role model (mfano...
View ArticleS. Sudan conflict: IGAD go back to drawing board
Power sharing has become another means of elucidating differences between opposing powerful politicians in Africa. However, president Salva Kiir Mayardit of S. Sudan said categorically that...
View ArticleHuyu sijui kama naye anaielewa sera ya uwekezaji zaidi ya uchukuaji
Ama kweli nyani haoni kundule. Bila shaka Mkapa aliposema kuwa wanasiasa hawaielewi dhana (doctrine) nzima ya uwekezaji alimaanisha kuwa naye haijui ikizingatiwa kuwa naye ni mwanasiasa tena...
View ArticleBaada ya uchaguzi ndoa na Kinana na wananchi itavunjika
Sikujua kuwa uongozi unaweza kugeuza sanaa na maigizo kama unavyoona hapa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana anavyowageuza mabunga wananchi ili wachague chama chake.Laiti angeelekeza nguvu hii...
View ArticleKinana: Hapana, kufichua mafisadi kiama cha CCM
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana ni mtu asiyeishiwa vituko. Ni bingwa wa kutoa matamko yanayosuta chama chake huku akijionyesha kama mkosoaji na mwana mageuzi...
View Article'Nawapongeza waishiwa kwa utoro mjengoni'
Taarifa nilizo nazo ni kwamba waishiwa ni mabingwa wa kutoroka mjengoni hasa wakati wa mijadala inayohitaji kutumia bongo. Nani anapenda kuumiza bongo lake wakati anaweza kuchepuka mijadala ya kuboa...
View ArticleVijana wa zama jikumbusheni enzi hizi
Huu wimbo umeimbwa kwenye lugha ya Ndebele toka Zimbabwe ambayo hufanana sana na Kizulu wao husema si-Zulu. Ndebele kwa si-Zulu ni jambazi. Hayo tuyaache. Kwa ufupi mama anaongelea mapenzi...
View ArticleBongolalaland the land of billionaires!
The other day when Andy Chenga referred to one million bucks as vijisenti or peanuts to inveigle us that he’s dosh, some of us where baffled little did we know another tycoon’d chip in. You...
View ArticleKijiwe kuandamana kumshawishi Lowassa asigombee
Baada ya kushuhudia aina mpya ya usanii ambapo wagombea urais hwapa watu hongo kidogo ili wajifanye wanakwenda kuwashawishi wagombee, Kijiwe kimeamua kuja na mpango tofauti ambapo kitakuwa...
View ArticleSerikali inawapa wanachi ardhi au kampeni?
Hivi karibuni rais Jakaya Kikwete alimfutia hati ya umilki mwekezaji ambaye hakutajwa jina aliyekuwa akimilki shamba la Kampuni ya Galapo Ufyomi Estate lenye ukubwa wa Heka 1,220. Shamba hili...
View ArticleKenya-Tanzania Diplomatic Spat Was Unnecessary
The just ended imbroglio between Kenya and Tanzania left a very important lesson for the region and beyond. I don’t need to repeat what transpired when Kenya banned Tanzania’s vehicles from...
View ArticleRais ajaye asitokane na chochote ila….
Harakati za kumsaka mrithi wa rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake Oktoba mwaka huu zimeiva. Tumeshuhudia na kusikia wengi wajinadi na kutangaza nia ya kuwania urais. Tumeshuhudia...
View ArticleMlevi kugombea "urahisi" kidizaini
Baada ya kuona kila aina ya walevi wakitangaza kugombea urahisi kwa kila namna za hila na kutia shaka na walevi wasistuke, mzee mzima lazima nami nitie timu kidizaika. Guess what. Nitakusanya...
View Article