Vasco da Gama anapokula buku!
Jamaa anasoma au mkwara na kutaka apigwe picha? Kwa wanaomjua huyu jamaa, hakuna kitu asichopenda kama kusoma. Hata kabla ya kuwa rais alisifika kwenda kwenye kumbi za muziki na mambo mengine kama...
View ArticleMlevi aonya: Mwaogelea vinyesini mwajiona!
Shalom le kulam,Kila mvua zikinyesha kwenye jiji la Bongosisalama wataalamu wa ushenzi nao huonyesha sayansi yao ya kufungulia maji ya vyooni na kuchanganyikana na ya mvua ili kukwepa gharama...
View ArticleWell done doyen Kingunge!
Believe me. Our hunk’s currently facing a crazier atmosphere altogether. It is bracing itself for general elections come October when Jake Kiquette’ll hit the road and allow others to come...
View ArticleNgumi Zafumka Kijiweni
Baada ya harakati za mafisadi, tena papa, kuanza kuusaka ulaji kuzagaa kayani, si kijiweni wakatokea wenzetu waliokwishawekwa kwenye mifuko na mikono michafu ya mafisadi wakataka kututenza...
View ArticleMsemaji wa Rais Anapokuwa Bingwa wa Matusi
Bado watanzania wengi wanakumbuka jinsi Salva Rweyemamu, mwandishi wa habari wa zamani na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, alivyotumiwa na rais Jakaya Kikwete kuwachafua wapinzani wake mwaka...
View ArticleIs AU Shedding the Colonial Yolk?
When news broke that Zimbabwe President Robert Mugabe was chosen a head of African Unity (AU), tongue wagged especially in the west. Mugabe has no good rapport in the west. Western media started to...
View ArticleUtalii unapotangazwa kwa kutalii!
Kumezuka aina mpya ya ufisadi na wizi wa fedha za umma ambapo baadhi ya wakubwa wa wizara fulani hulazimisha au kuzua safari za nje ili walipwe per diem. Kwa sasa wizara ya utalii inaongoza kwa hujuma...
View ArticleTAKUKURU chunguzeni wizi wa UDA
Hakuna ubishi kuwa sakata la unyakuzi wa Shirika la Usafiri Dar Es Salaam (UDA) bado ni bichi ingawa waliojiridhisha kufanya hivyo wanadhani yamekwisha. Ingawa waliofanya hivyo pamoja...
View ArticleHata kuapisha washindi nongwa!
Baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, ambao bila shaka umekula fedha nyingi tu, wengi walidhani watawala lau wangetenda haki na kufanya mambo yanayoingia akilini. Lakini ni bahati mbaya...
View ArticleUtoro wa mawaziri na uzururaji ni janga
Taarifa kuwa mawaziri wengi hawahudhurii vikao vya bunge zinatia kinyaa. Kwa mujibu wa vyombo vya habari ni kwamba utoro wa mawaziri umeshika kasi kiasi cha kusababisha baadhi ya wabunge...
View ArticleWakati wa kuwatafunana umeanza
Wakati wa kuhadaana, kutumiana, kulana na kugeuzana mabunga unaanza. Kiranja mkuu aliyepo anafungafunga virago kuwaachia wengine ulaji wa dezo. Hata bi mkubwa atakuwa na kibarua cha kuzurura...
View ArticleBar as many newspapers as possible
This thing I’m to address is very subtle. Thus, I’ve to pop to the pub and inscribe it from there knowingly that those who’ll read it won’t take it seriously so as to follow me or my paper for...
View ArticleThis is only Possible in Bongolalaland aka Danganyika
Afrobarometer has it that Promotion and Condoning Corruption Bureau (PCCB) is the top most corrupt agent in the hunk. Now you can see why corruption has become order of the day wantonly. You are...
View ArticleKijiwe Chaistukia Tako-kuru
Baada ya Mrukugenzi sorry Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupamba na Kuruhusu Rushua (Takokuru) Eddie wa Shea Hoshea kuja na mizengwe – utadhani yule wa kupinda – kuwa atapambana na rushua, kijiwe...
View ArticleKikwete “usilinde” sheria kwa kuivunja
Tukio la kudhalilishwa na kupigwa mwenyekiti wa Chama Cha Wananachi Profesa Ibrahim Lipumba limevuta hisia za watu wengi wakubwa na wadogo. Kwanza tunalaani kitendo hiki cha hovyo na kinyama...
View ArticleZuma Aonja Joto ya EFF azomewa
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini alijikuta kwenye maji mazito akizomewa na kushinikizwa alipe fedha za ujenzi wa makazi yake kijijini Nkandla. Kadhia hii ilimkuta wakati akitoka hotuba yake ya mwaka...
View ArticleUtawala wa Kikwete utaingia kwenye Guiness book
Japo kila utawala katika nchi yoyote huweka historia iwe mbaya au nzuri, utawala wa sasa utakumbukwa kwa mengi. Utawala wa Awamu ya pili unaendelea kukumbukwa kwa kuanzisha ufisadi tunaoshuhudia kubwa...
View ArticleKitabu Kipya cha NYUMA YA PAZIA KIMETOKA!
Mchapishaji: Langaa Research and Publishing Common Initiative Group (Langaa RPCIG)Bamenda CameroonUkubwa: Kurasa 254Maudhui: Kukosa mfumo wa kifisadi barani Afrika hasa Tanzania. Kitabu hiki...
View Article