Amani itaondolewa na ufisadi na si mataifa ya magharibi
Baada ya wimbi la ufisadi kutikisa taifa letu, kumeanza kujitokeza dalili za woga miongoni mwetu. Hii ni baada ya kuwepo manung’uniko mengi toka kwa wananchi wanaoona kama mambo yanakwenda ndiyo siyo....
View ArticleWhat'd you expect if it were a Tanzanian cop?
The cop in Montana broke down after shooting unarmed person early last year. This photo became viral after being posted recently. Despite racism in the US at least this cop perfected the art of...
View ArticleKijiwe chalilia wanyama
Baada ya kushuhudia mauzauza, wizi, ujambazi, ufisadi na mazabe mengi, kijiwe kimeamua kulia na kufunga kwa ajili ya wanayama wetu wanaotoroshwa kila uchao kana kwamba kaya yetu haina wa...
View ArticleHivi ndivyo nilivyotabiri kifo cha ACT
Mwezi Julai 2004 niliandika makala hii ambayo utabiri wake umetimilika chini ya mwaka mmoja. Sina ugomvi na kuanzisha chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT)...
View ArticleAfrica needs localized market
Although Adam Smith is credited for having contributed colossally to the current world economy he missed a point, especially, when he postulated that the market will regulate itself while it actually...
View ArticleIPTL "kupunguza" bei ya umeme huruma hadaa?
Baada ya kampuni ya kuzalisha umeme yenye utata ya International Power Tanzania Limited (IPTL) kukumbwa na kashfa ya kuiba mabilioni ya fedha za wananchi kwenye fuko la escrow, imekuja na mbinu...
View ArticleBravo bro Muongo stay put
Hello bro Prof Souse-pie Muongo,Before saying anything, please understand. Muongo I mean here’s different from Mwongo. You know. I’m sizzled after “puffing” and sipping. Again, in my language...
View ArticleWhen Kingunge spills beans on CCM candidate
When Chama Cha Mapinduzi (CCM) cadre and doyen , Kingunge Ngombale-Mwiru said that all those making noises that will run for president come next general elections, many Tanzanians didn't get it....
View ArticleKijiwe chajadili uzabazabina wa escrew
Baada ya kuanza kushuhudia mazingaombwe juu ya kuwafikisha wa pilato majembuzi ya esrew, Kijiwe kimekaa kama kamati kujaribu kupitia nini kifanyike na nini kimepungua. Kijiwe kinatamka wazi...
View ArticleRais ajitoe kwenye makucha ya mafisadi
Hali ilivyo, rais Jakaya Kikwete ametekwa na mafisadi kiasi cha kutofurukuta hata baada ya wananchi kulalamika na kupiga kelele. Inavyoonekana, Kikwete hasikii wala haoni. Ametekwa kiasi cha...
View ArticleNenda Muongo na uongo wako
Nenda Sospeter Muongo profesa wa hovyo,Nenda kaongee uongo wako na profesa Anna TibaijukaNenda usiangalie nyuma Nenda kwa James Rugemalayer na TibaijukaNenda mpange dili jingineAu nenda kaongee na...
View ArticleI bet Hakainde Hachilema will become Zambia's President
Although this time around the ruling Party in Zambia may use its incumbency to win presidential by-election, if it happens, Mr H H or Hakainde Hachilema won't lose anything. If Edgar Lungu wins, it is...
View ArticleMlevi apanga kubadili jina
Japo sera ya uga huu ni kuepuka kadri iwezakanavyo kutaja majina ya ngurumbili. Hata hivyo, tokana na uzito na umuhimu wa suala la leo tutavunja huu mwiko wa kutaja majina hata kama siyo ya watu...
View ArticleHizi shahada za Tunu Pinda za kweli au?
Hii Master ya Tunu ni feki piga ua. Haiwezekani Chuo Huria mtu kufanya shahada ya Uzamili ndani ya miaka miwili.HiMke wa waziri mkuu Tunu Pinda akitoka kupokea shahada ya Uzamili toka Chuo Kikuu Huria...
View ArticleWe’re rich save we lack common sense
The other day I was reading the story about the expansion of Jomo Kenyatta International Airport hyped as Green Field Terminal. However, soaked as I was, it baffled me to find that the total...
View ArticleDespite our goodies we've our evils
Although we've a lot to be proud of, we, too, have a lot to be ashamed of. Nothing tarnishes Canada imago at home and abroad like this abhorring and horrible mistreatment of aboriginal people. Racism...
View ArticleKikwete sijui ni kupenda misiba, misifa, uzururaji, ugonjwa au ujinga?
Alipokufa baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere sikuona wala kusikia ujumbe toka Saudia. Rais Jakaya Kikwete sijui kwa kujikomba au kwa uhusiano wa siri eti ameunguza mafuta kwenda kuhani msiba. Kama...
View ArticleKijiwe chaomboleza ndata
Pamoja na kwamba ndata huwa wanatughasi hata kutubambikizia kesi wanapotudaka, hatuna kinyongo nao zaidi ya kuwaonea huruma kwa wanavyotumiwa wakijiona hadi kuhatarisha maisha yao. Baada ya kutokea...
View ArticleMfumo fisadi usiwatoe kafara askari wetu
Wakuu wa Jeshi la Polisi wakikenua baada ya kutupia cheki na fisadi Harbinder Sethi Singh mwizi wa escrow Tanzania sasa iko msambweni. Inatenzwa kana kwamba haina viongozi, na kama...
View ArticleLetter to Mayardit and Machar
Dear your Excellency Salva Kiir Mayardit the president of the republic of South Sudan (RSS),Dear Dr Riek Machal leader of rebels, I hope you are fine, and now you can sleep...
View Article