Usiolewe kwenda kufarakanisha ndugu
Kuna wanawake wapumbavu, wenye roho mbaya na wachoyo wanaokamia kuolewa huku wakipania kwenda eti ‘kuwakomesha’ ndugu wa mume! Mara nyingi, wanawake wa namna hii wanaokwenda kuolewa ili kufarakanisha...
View Article“Wewe hukusoma” na Madhara Yake Katika Ndoa
Tokana na uzoefu wetu, tumesikia, kusoma au hata kushuhudia kisa kifuatacho ambacho ni chanzo kikubwa cha kudorora, kuvurugika, au hata kuvinjika kwa ndoa. Ni sumu kwa ndoa. Tuanze na hadithi. Kuna...
View ArticleChangieni Maisha na Si Harusi
Japo ndoa ni ya wawili, inagusa jamii pana na ni muhimu lakini maisha ya ndoa ni muhimu zaidi. Utaliona hili pale inapofana au kutofana. Leo tutaongelea utamaduni mbaya uliojaa ubinafsi. Tutaanza na...
View ArticleSomo Uchaguzi Mkuu Botswana
Hivi karibuni Botswana inayosifika kwa ufanisi kiuchumi na ubora na ugwiji katika demokrasia na utawala bora, kwa mara ya Kwanza tangu lipate uhuru miaka 58 limelibwaga chama kilicholeta uhuru na...
View ArticleNafasi ya ndugu na jamaa katika ndoa
Kila mtu ana ndugu na jamaa ambao hawaepukiki kwa vile wahusika hawawapati kwa njia ya kuchagua au kupenda kama ilivyo katika ndoa. Hivyo, tokana na ukweli huu, kila wanandoa na hata ndugu na jamaa...
View ArticleNapanga kuhamia ughaibuni nipone tozo
Nawaza, na kuwazua kujikomboa kinjuluku na kiuchumi tokana na kuzidi uchumia tumbo. Juzi, kaja mwenye ubavu wa mbwa akidai amepandisha kodi kwa vile maisha yamepanda. Hivyo, naye anatupandishia kodi...
View ArticleDini zinahitaji ukombozi
Nimekuwa nikiepuka kuzifyatua dini hasa kinachoendelea, hasara, maudhi, maangamizi, utapeli na wizi wa waziwazi yanayoanza kuzoeleka nimelazimika kufyatuka na kufyatua vinavyoonekana kutofyatuliwa....
View Articlekudumisha Asili Uchafu na Uhayawani Vinavyovunja Ndoa
Kuna jamii zina mila na tabia chafu miongini mwetu. Leo, tutawaonya wanandoa na watarajiwa kuzidurusu na kuzitahadhari na kuziepuka hata kama zimezoeleka kwao, zina faida nazo au wanazikubali tokana...
View ArticleSera yangu ni unyigu unyuki na usiafu
Nadhani mmemaliza mwaka kwa kushuhudia wenzangu kwenye vyama vya siasia wakimenyana kugombea ulaji. Kwenye chama chetu cha mafyatu na si cha siasa, huwa hatugombea ulaji. Ukishawaingiza laini mafyatu...
View ArticleUdhaifu katika ndoa ni sehemu ya ndoa
Kwanza, kila binadamu ana ubora na udhaifu hata awe mzuri au mbaya kiasi gani. Hivyo, wanandoa wanaposhughulikia ubora au udhaifu wao, wanapaswa kukumbuka kuwa wote ni binadamu wenye mapungufu. Unaweza...
View ArticleMliomba, mnaomba, mtaomba mjue si jibu
Nashukuru. Nilimaliza mwaka uzuri. Nawatakieni mwaka mpya wenye heri wote wapenzi wangu na mafyatu wote. Niende kwenye inshu. Kuna mchezo hatari unaanza kufyatua mafyatu hadi baadhi yao wanawafyatua...
View ArticleUhuru na usiri ni siri za mafanikio ya ndoa
Ndoa inapaswa kuwa huru na isiyotegemea au kuingiliwa na watu wengine katika uendeshaji wenu. Mliapishwa wawili tu na si mia mbili. Hivyo, jukumu na wajibu wa kutunza kiapo chenu ni lenu. Si la watoto...
View ArticleHamisheni mafisi, mafisadi au waanimo na si akina Yero
Kejaa enteipa inno? Jibuni kasidai endama, ai, maata enyemali. Keje ninye eninno. Kwanza, nimshukuru mheshimiwa Rais kwa kutuliza joto la Nrongonrongo. Huwa nashangaa mafyatu wanavyofikiri...
View ArticleKATIKA NDOA, USIHUKUMU KABLA YA KUJIHUKUMU
Tutaanza na kisa ambacho tulishuhudia kwa ndugu yetu mmoja. Huyu bwana, kuna kipindi alichishwa kazi. Hivyo, alianza kuamka kila asubuhi akielekea mjini kusaka vibarua ili mkono uende kinywani. Mambo...
View ArticleMpumbavu aliyevunja ndoa akiamini anaihami
Kuna kisa cha mwanandoa Gilombo (si jinale) tulichoshuhudia. Gilo hakujaliwa sura wala tabia nzuri. Alikuwa mzinzi wa kutisha aliyelazimisha ndoa kwa kijana handsome na mwenye nazo asiye na uzoefu....
View ArticleWoga, ukale, kujifyatulisha na kufyatuliwa
Juzi nilipata mstuko, mshangao, na masikitiko sina mfano. Nilisoma taarifa kuwa Kenya inafyatua takribani dolari bilioni tano toka kwa diaspora dhidi ya dolari bilioni 1.50 za uwekezaji. Kwa taarifa...
View ArticleI Cry fo Ambazonia and Darfur–––My baby
I Cry for Ambazonia and DarfurISBN9789956554935Pages150Dimensions203x127 mmPublished2025PublisherLangaa RPCIG, CameroonFormatPaperbackNEWISBN9789956554935Pages150Dimensions203x127...
View ArticleNdoa na vibabu, vibibi vya kizungu vijana muwe macho
Tunaona bibi wa kizungu na kijana MwAfrika uwanja wa ndege–––hatuutaji–––wakibusiana. Tumeamua kuandika haya juu utumwa kimapenzi ambamo waafrika ndiyo wahanga. Utumwa huu umejikita kwenye mapenzi...
View ArticleNdoa yako imejengwa kwa nguzo ngapi?
Ndoa inaweza kuwa nzuri au mbaya. Pia, ndoa inaweza kujengwa au kubomolewa. Wajenzi na wabomozi wa ndoa ni wanandoa. Ndoa, kama taasisi yoyote ina changamoto zake. Kuna kufanya makosa kwa sababu, kama...
View Article