Tumekuwa Mateka wa Watekaji
Hapo zamani kaya ikiwa kaya, tulizoea kusikia utekaji na uuaji wa watu kisiasa kwa majirani zetu. Majirani zetu wa kaskazini mashariki walisifika kwa mchezo huu mchafu uliofyatua vigogo wengi wa...
View ArticleNdoa ni darasa jifunze na ufunze
Tuanze na kisa cha wanandoa wawili marafiki na wageni waliotutembelea hapa nyumbani. Walitoka Toronto kuja Manitoba. Hivyo, ilibidi walale lau tujadili hili na lile. Baba ni kutoka nchi jirani ya...
View ArticleMume Si Fedha, Elimu, wala Madaraka
Hivi karibuni kumezuka matapeli hata wadhalilishaji, tena wengine wasomi, wajiitao wataalamu wa ndoa na saikolojia ya mwanamke wanaipotosha jamii hata kuiibia kwa kisingizio cha kutoa ushauri juu ya...
View ArticleKwanini Tumeamua Kuwa Wafungwa wa Hiari?
Mafyatu wenzangu naomba nianze na swali la kifyatu. Umewahi kujiuliza ni kwanini tumejigeuza au kugeuzwa wafungwa katika magereza ya kujitakia tena kwa kuyajenga wenyewe? Naona yule anatikisa kichwa....
View ArticleHow Berlin Conference Clung on Africa: What Africans Must Do
NewISBN9789956554645Pages478Dimensions224x170 mmPublished2024PublisherLangaa RPCIG, CameroonFormatPaperbackHow Berlin Conference Clung on AfricaWhat Africans Must Doby Nkwazi N. MhangoThe book How...
View ArticleMkeo Siyo Ngoma Upige
Mkeo ni mwenzi. Umtunze akutunze, umpende akupende, na ukimtesa utateseka. Hata hivyo, kuna imani potofu za baadhi ya makabila ambazo hatujui kama ni za kweli kuwa bila mume kumtandika mkewe inaonyesha...
View ArticleNilivyojinusuru Kutekwa
Nikiwa kwenye basi naelekea zangu home si zikaja njemba saba hivi zikiwa na defender uchwara yenye nambari fichi. Bila hili wala lile, si zikaniamuru nishuke ziniteke. Weee! Nilijiinua kwenye siti na...
View ArticleBarua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS
Wapendwa,Kwanza, nimshukuru mhe. Rahis kwa kuwapa muda mjitafakari na kufanya maamuzi kabla hajawawajibisha kuliko tumuwajibishe tokana na ushauri wangu. Sijawahi kuwasiliana nanyi. Hii ni mwanzo hadi...
View ArticleNdoa, Tendo, na Faida Zake
Leo tutadurusu ndoa na mambo mengine yanayohusiana nayo. Moja ya mambo yanayohusishwa na ndoa nit endo la ndoa. Sisi tutaiita ibada. Wengine wana majina yao. Wapo waiitayo ibada, dawa, chakula cha...
View ArticleNikiwa Rahis Nitanunua Matrekta na Nyavu si Mashangingi
Mwaka huu, inshallah, nitagombea urahis. Kwa vile kaya yetu ni ya vyama vingi, natimiza wajibu wangu. Kwanza, nataka nilete siasa mbadala ambapo kipaumbele change kitakuwa ni kuwakomboa mafyatu...
View ArticleGaragaring Mbinu Rahisi ya Kuula Kirahisi
Juzi nilikumbuka msemo kuwa wajumbe si mafyatu. Nikiwa najivinjari na kutafuta namna ya kufyatua njuluku au unene bila kuhangaishwa kuandika application au kutaja sifa za kufanya hivyo, niliwakumbuka...
View ArticleWanandoa Si Njiwa wala Chui
Kuna imani kuwa njiwa ni viumbe wenye mapenzi ya kweli. Ni wapole na wapenda amani. Mara zote, utawaona wawili wawili, akiongezeka basi jua ni makinda yao mawili ambayo nayo yakishapevuka, huondoka...
View ArticleNyerere, Tumetoka Kutegemeana Hadi Kutekana
Mwl Julius Kambarage Burito,Shikamoo baba wa taifa. Naamini huko uliko wala hupumziki kutokana na yanayotupata mafyatu wenzako. Hivyo, naandika toka mafichoni sasa. Naona umestuka. Ndiyo. Niko...
View ArticleMaisha, Ndoa, na Thamani Yake
Pamoja na ubunifu, ujasiri, usiri, na upekee wa binadamu, hakuna kitu chenye thamani na kinacho mhangaisha binadamu kama maisha yake ya kibinafsi na kijamii. Baada ya uhai, kinachofuatia ni ndoa hata...
View ArticleBarua kwa wanaotaka na wanaokataa kubadili katiba
Kwa wanaofuatia rubaa za kimataifa watakuwa wanajua msiba mzito uliotokea kaya ya jirani. Si wamemfyatua mtukufu mpendwa, msemahovyo, sorry, ‘msemakweli’ makamu wa rahis kiasi cha kumtia presha hadi...
View ArticleVitu Vidogo Vifanyavyo Makubwa Katika Ndoa
Mfano, ni wanaume wangapi huwasaidia wake zao kutandika kitanda, kubadili nguo au kuosha watoto, kupika hata kuosha vyombo? Kwa Waswahili wengi, ukiwaambia kuwa hivi ni vitu vidogo vinavyoweza kufanya...
View ArticleMsituletee udini na ujinsia katika kaya yetu
Sina ajenda wala sababu, sifa, na tabia za kusifia bali kufyatua kwa haki bila upendeleo wala uonevu. Hivyo, haya niyafyatuayo yanalenga kuelimisha tena bure. Nasisitiza, msinifananishe na chawa au...
View ArticleNdoa, Mafanikio na Changamoto Zake
Ni watu wangapi wanatamani wangekuwa matajiri, kwa wale ambao si matajiri au ni matajiri lakini siyo matajiri wakubwa? Wangapi wanatamani kuoa au kuolewa na watu wenye mafanikio yawe kifedha, kielimu...
View ArticleKapumzike salama Jenerali David Musuguri
Mpendwa Jenerali David Bugozi Waryoba Musuguri Nzangho aka Chakaza (RIP),Kwanza, nakupigia saluti ya mwisho kama mgeshi aliyelala. Pili, niseme wazi. Najua hutapokea wala kujibu saluti yangu kama...
View Article