Hii Kaya Sasa ya Chawa na Sanii
Siku hiji kaya yetu nageuka kaya ya sanii. Kila kitu ni sanii. Rahis nafanya sanii. Wajiri nafanya sanii. Narudia neno nasema bungeni iliyopita. Natuma kampuni hewa. Nasamehe kodi. Kodi naingia...
View ArticleMaza Fyatua Bashee Baada Kumfyatua Nawander
Juzi mafyatu tulisuuzika roho baada ya kuvuja tuhuma za doktari Yah-yah Nawander kumbaki mwanachuo huko Shimiyu. I just wonder about Nawander. Sitafyatuka mengi. Uchunguzi haujakamilika. Sijui kama...
View ArticleMkimbinafsisha Bi Mkubwa Wangu Naua Mjue
Mtukufu Dk. Rahis, msikivu, mwenye maono, ndoto, uthubutu, ukimya, nk., naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu, rahis, du! A’udhu billahi min ash-shaytaan-ir-rajeem. Nimemsahau Mtume! Naona yule anshangaa....
View ArticleNdoa Zote Zina changamoto
Ndoa zote, sawa na taasisi yeyote ihusishayo binadamu zina chagamoto. Kinachotofautisha mafanikio na maanguko ya ndoa ni namna ya kuzikabili na kupambana na changamoto. Zinapotokea changamoto, jambo...
View ArticleMwapambana na ‘Machangu’ Wapi?
Kama mwanasharia na msomi, najua madhara ya kujadili jambo ambalo ni sub judice yaani lililoko mahakamani. Hivyo, nitaongelea kasheshe la baadhi ya mafyatu wanene kunyaka, kudhalilisha, na kuwapeleka...
View ArticleWatufilisio wamefilisi, tumefilisika wamefilisika!
“Kufilisika kubaya. Jamanini kufilisika kubaya. Heri ufilisike mali kuliko akili. Heri ung’atwe na dogi kuliko kung’ata dogi.” Hayo ni maneno ya wimbo nilioutunga zamani nikakosa vifaa ukaishia kwenye...
View ArticleMwenye mapenzi anaona tena sana
Kuna imani au tuseme usemi kuwa mwenye mapenzi haoni. Je kweli mwenye mapenzi haoni hata kama macho anayo? Je ukweli ni upi haoni au anaona tena sana? Ingawa “mwenye mapenzi haoni” ina tafsiri nyingi...
View ArticleNdoa inahitaji maandalizi kisaikolojia
Kama ilivyo kwenye uanachama wa chama au taasisi yoyote, anayefanya hivyo lazima, kwanza ajielimishe aweze kujiunga na chama au taasisi inyomfaa kutokana na uchaguzi, malengo, na matarajio yake....
View ArticleMwenye mapenzi anaona tena sana
Kuna imani au tuseme usemi kuwa mwenye mapenzi haoni. Je kweli mwenye mapenzi haoni hata kama macho anayo? Je ukweli ni upi haoni au anaona tena sana? Ingawa “mwenye mapenzi haoni” ina tafsiri nyingi...
View ArticleFor and in the memories of Hugh Masekela and Tebogo Modingoane
https://www.youtube.com/watch?v=7StGJtI7SSI
View ArticleSir God Ameniamuru Nilete Dini ya Ukombozi
Baada ya kugundua kuwa mafyatu wake wengi wameharibikiwa na kuchanganyikiwa kiasi cha kufyatuliwa na kudhalilishwa na kila tapeli, Sir God ameniamru nilete dini ya Ukombozi. Hii ni baada ya kuona kuwa...
View ArticleEpuka au Usiwe, Kuoa au Kuolewa na RST
Tumeumbwa watu kila aina wabaya hata wazuri. Kwa vile ndoa hufungwa na wanadamu, tunaomba tugusie suala nyeti bila kuonekana kama tunabagua au kuwawekea utu ubaya. Hivyo, siyo uzushi kusema dunia ina...
View ArticleFYATU MFYATUZI: Ukweli nchungu kuhusu uchaguzi wa mwaka 2025
Nikiwa kwa akina Nshomile, wapo wachionjiua wala lengo langu. Nilipochema ukweli walidhani namwaga ntama kwenye kuku wengi baada ya kuchoshwa na dhuluma wanaona kama ulijifanya nshomile. Kuna mmbea...
View ArticleNashauri Kununua Majenereta Kuendeshea SgR
Baada ya kuwafyatua kwa SgR kufanya majaribio, nilionya kuwa safari zingeanza pindipo mwana wa Adam––––yule fyatu wa kiyahudi anayeabudiwa na mafyatu wengi duniani hadi wenzake mafyatu wanasema...
View ArticleHongereni Mafytu Kumpenda Mama
Mwanafalsafa’ maarufu wa Uganda, alhaj, Doktari, field Marshall, profedheha Idi Amin Kaidada Oumee aliyepata elimu yake mtaani aliwahi kusema kuwa lazima watawaliwa wawapende watawala bila kujali...
View ArticleUnapochagua Mchumba Jua na Zingatia Yafuatayo
Kuoa au kuolewa, au kuoana kama wasemavyo siku hizi, si suala la kukurupuka au siku moja kama kununua tiketi ya bahati nasibu au kukodisha taxi. Katika kuchagua mwenza wako (wa maisha au vinginevyo...
View ArticleNi CcM policy au geshi la polishi?
Katiba ya mafyatu inatoa haki na uhuru kwa kila fyatu kukutana na fyatu yeyote unayemtaka kutembea au kuandamana na unayemtaka kwenda unakotaka kusema unalotaka imradi usivunje sheria ya kaya ambayo...
View ArticleHakuna Daktari, Mchungaji/Mganga wa Ndoa
Ndoa nyingi zimevunjika kutokana na wanandoa kutojiamini na badala yake wakaamini miujiza au ushirikina. Hakuna muujiza kwenye ndoa zaidi ya wanandoa wenyewe. Hakuna ushirikina unaoweza kuimarisha...
View ArticleTumechatwa Hadi Tumechakatika Haswa
Juzi, mtukufu doktari rahis alipofyatua na kuchakata, viherehere, vibwengo, na visebengo waso adabu wenye wivu waliawashwa midomo wakafyatua yasopaswa. Alipowaweka kando njemba wawili waliozoea...
View Article