Hatuhitaji siasa majitaka, uviwawa, na uchumiatumbo
Tangu Bi Mkubwa, almaarufu maza, afyatue kijibwa kiitwacho Chihuahua au Chiwawa kwa Waswahili aka pet, kayani hakukaliki. Nimefyatuliwa. Kijibwa chenyewe kinabwekabweka sina mfano! Kinabwekea hata jua....
View ArticleREVISITING THE CAUSATIVE FACTORS IN THE ZANZIBAR GLORIOUS REVOLUTION OF 1964.
Tomorrow, 12th January, 2024, will be the 60th anniversary of the Zanzibar glorious Revolution, which removed the Arab Sultan’s Government from power. The said government had been in office for just...
View ArticleSasa Maza Aitwe Prof Emeritus na Wenzake Madoktari
Kwa vile sifa zinatoka kila kona kuwa amefanya makuu na makubwa mengi hata kama hajawahi kushika chaki wala kufundisha hata chekechea, maza sasa ni prof emeritus. Huu ndiyo urathi wa jiwe. Isitoshe,...
View ArticleMjue Katibua Mkuu Mpya wa Chama cha Mafyatu (CcM)
Baada ya aliyekuwa katibua mkuu wa Chata cha Mafyatu (CcM) kufyatuliwa na kashfa ya ukwaree, juzi tulipata mrithi wake. Tulikutana kisiwani Mafia kuteua katibu mkuu mpya kuchukua nafasi iliyoachwa...
View ArticleKumbe Mirirani Imefamilishwa kwa akina Riz One! na Nduguze Sasa
Katika kujimwambafy, kuwatapeli na kuwafyatua mafyatu, si chawa wa maza aitwaye David Albat Bashiti alitinga Mirerani ili kuwafyatua mafyatu waufyate na kuamini wana viongozi wanaowafaa wasijue sanaa....
View ArticleThe genesis of ‘Law Day’ in Tanzania
TODAY, 1st February, 2024; is recognised as “Law Day’ in the United Republic of Tanzania. The practice of marking this day had its humble beginnings in the year 1996, and the idea itself was...
View ArticleUnunuzi Dhahabu Barua ya Wazi kwa Lamek Mkumbo Madilu Mwehujuu Michembe
Doktari Lameki Mkumbo Madilu Mwehujuu Nchembuz Nchembuz,Kwa vile unapenda kuitwa doktari hata kama udoktari wakenyewe ngwengwe, acha nikuite ili tuelewene. Naomba usome hii kitu kimyakimya....
View ArticleMafyatu Wamlichekea Eddie Luwasha Kinamna
“Kifo, kifo, kifo hakina huruma”, alijiibia fyatu Remi Ongaka asikje bila kuwepo kifo haki isingetendeka. Juzi mafyatu walipopokea msiba wa Eddie Luwasha aka Richmonduli yero ambaye hakutumia ole...
View ArticleBUNGE PASSES PRESISENT SAMIA’s “RECONCILIATON” LEGISLATIVE BILLS.
As I was preparing to write this article, I received the sad news of the death of veteran politician Edward Ngoyai Lowassa. I wish therefore, before proceeding with today’s topic, which is indicated...
View ArticleNiamini SGR Itaanza Majaribio Yesu Akirudi
Tangu kaya ianze kujimwambafy na kujaribu kujenga reli ya mwendo kasi usio kasi ila ukakasi, nini kimefinyika? Kwa tuliojua kila kitu, tulifyatua kuwa mngonje baadhi ya mafyatu wafyatue njuluku na...
View ArticleA TRIBUTE TO EDWARD LOWASSA, OUR FALLEN ‘POLITICAL GURU’.
Last Saturday, 17th February, 2024, Hon. Edward Lowassa, our fallen political guru son of the soil was laid to rest in his grave in his Monduli home District, after five days of official national...
View ArticlePRESIDENT HUSSEIN ALI MWINYI’s PRACTICAL LESSON ON POLITICAL ‘VICARIOUS...
On February 2nd, 2024; the print media carried some news, regarding Zanzibar President Dr. Hussein Ali Mwinyi’s powerful statement, or ‘lecture’, on what in law is known as “vicarious liability”. In...
View ArticleMgao wa Umeme ni Uhujumu Uchumi, Haki
Doktari Okot, sorry, N’Dotto Meshaka Bitek’o salama fyatu wangu? Kwanza, nikushukuru kupenda kusoma vitu vyangu. Nilifurahi nilipojua kuwa nawe ni fyatu wangu. Tuyaache. Juzi nilikusikia ukitoa kali....
View ArticleHamba Kahle/Vyedi Ali Hassan Mwnyichande Mangandi
Kwa niaba ya mafyatu wote duniani bila kumsahau Bi Mkubwa wangu na yule wa kaya, kwa huzuni, majonzi, na simanzi, kubwa, nakupa sala na salamu za mwisho za mfayatu wenzio. Natoa rambirambi kwa familia...
View ArticleWaraka wangu kwa Joni Kanywaji Mugful
Nakusalimia na kukuandikia waraka wa kumbukizi baada ya kuanza kusahaulika kirejareja na kirahisi. Kwa niaba ya mafyatu wote akiwamo bi Mkubwa wako nachukua fursa hii kuzoza nawe hata kama hutajibu....
View ArticleSisi CcM Inapofyatua Kiki Kutufyatua Tikitiki
Marais sasa wa Danganyika waliodanganyika wakawadanganya wadanganyika Chiwawa na SSH (pichani).Chama cha Mafyatu (CcM) kina sera ya Kisanii na Kizushi, sorry, ya Kishua na Kivungio (KIKI). Kutokana na...
View ArticleA DREAM COME TRUE : THE COMPLETION OF THE RUFIJI RIVER HYDROPOWER PROJECT.
The word ‘dream’ is used here in the sense of “a wish to have something, especially one that seems difficult to achieve’; and not that of ‘events, or feelings that pass through a person’s mind when he...
View ArticleToka Wanyonge Hadi Machawa
Mafyatu tumejengewa dhana na utamaduni mchafu na hovyo. Tumepewa majina ya hovyo sababu tu hovyo. Tunaonekana hivyo. Tume/ligeuzwa wanyonge wao wababe, tukaamini, tukaupokea, kukuubali, kutukuza,...
View ArticleIN REMEMBRANCE OF THE HISTORIC UGANDA - TANZANIA WAR OF 1978/79.
We made a brief reference to this war in our presentation of last week, but due to lack of editorial space, we failed to complete the story, on the rather lame excuse that “it was already well...
View Article