The ‘Lucrative’ presidency of President Mama Suluhu Hassan
The word “lucrative” is normally used in commercial terms, to describe a successful business, which is making, or is likely to make, good money. But, in my humble opinion, considering the huge reliefs...
View ArticleNilipoteua na kutengua kidhabi aliyetaka kunitumia
Katika chata letu kuna siri kali. M/kiti ni rahisi, kila kitu. Ni muungu unaopaswa kuabudiwa na kusifiwa hata unaboronga au kukosea. Ukiwa M/kiti, unaweza kumteua umtakaye akuhusu au asikuhusu, awe...
View ArticleFormula ya Kuchanganya Dini na Siasa bila Kufyatuliwa
Tokana na kuwa gwiji la sayansi na sayansi ya jamii, leo nawafyatulia kanuni ya kuchanganya vitu mojawapo ikiwa dini na siasa. Kwa waliozaliwa miaka ya 47, tulifundishwa na kukatazwa kuchanganya dini,...
View ArticleKama Pau Gekule, fyatua na Jan Makambale na wenzake chapchap
Kufyatuliwa kwa Madame Gekule kuna somo kubwa. Kwanza, ni mara ya kwanza maza kufyatua mnene chapchap. Huu ni utaratibu mpya na wa kifyatu, japo wa kuchanganya kidogo, kama utakuwa endelevu, unaweza...
View Article62 YEARS OF INDEPENDENCE :A TELESCOPIC LOOK AT THE ‘FIRM FOUNDATIONS’ LAID BY...
A patriotic song titled “Tazama ramani utaona nchi nzuri”; carries the following words:“Majira yetu haya, yangekuwaje sasa, utumwa wa nchi Nyerere asingeukomesha? And another song in the same category...
View ArticleMaza, Kaa Chonjo kama Kuna Zengwe Kufyatuliwa Chongo-loh!
Maza Kipenzi na Kipendwa japo wapo wanaoponda,Naomba nichonge nawe kiduchu tena kwa utuo bila kufyatua wala kufyatuka. Katibu mkuu mjiuzulu wa chata chako, Dan Chongo-loh–––uliyemfyatua usijue kama...
View ArticleRIP ZAHARA SISIE WAMI
Zahara au Bulelwa Mkukutana Mwanamuzik maarufu toka Afrika Kusini naliyesifika kwa uimbaji na upigaji gitaa hatunaye tena. Alifariki juzi tokana na kilichosemekana kuwa ni kupiga mma kupita kiasi....
View ArticleHakuna RIP kwa Fyatu Mfyatuzi Hata Nisipoonekana au Kusomeka
Mwenzenu, juzi nilipata taabu. We acha tu. Si baada ya kupotea kwa mwezi mmoja kijiweni. Mwenzenu nilienda kwa sangoma wangu kujitibia. Wacha mafyatu wafyatuke. Walinifyatua sina hamu. Wapo...
View ArticleMERRY CHRISTMAS, AND A HAPPY NEW YEAR TO ALL OUR READERS.
The annual ‘end-of-the year’ festive season has arrived, when Christians all over the world, and all other believers in God, will celebrate Christmas on Monday next week. I therefore take this...
View ArticleMahotela Queens minus Nobesuthu Mbadi and Simon Mahlathini Nkabide the groaner
I badly miss this group, especially those who have passed on.Q ueen Nobesuthu MbadiSimon MahlathiniYou will forever be missed dearlyYou made us proud and happyRIP King umbhuli and IndlovukaziYou were...
View ArticleMara Hii Mafyatu Wamesahaulishwa Dip Weed!
Kuna mbinu chafu za kuwafyatua mafyatu waufyate ili waendelee kufyatuliwa. Kilipofyatuka na kutaka kuumana kwenye sakata na sekeseke la Dip Weed, mafyatu twawala walichanganyika wakichelea kufyatuliwa....
View Article“IN THE UNLIKELY EVENT OF MAGUFULI BECOMING PREISIDENT”: JOHN POMBE...
The whole world is now waiting to say ‘goodbye’ to the year 2023 which will come to its end next Sunday, 31st December, 2023. In the ordinary Nature of things, every country will have had its most...
View ArticleSitasahau tulivyofyatuliwa 2023
Japo nilisherehekea kutokomea kwa mwaka 2023, machugu yake sitayasahau. Mwaka ulinifyatua sina hamu. Kuna mambo yalifanya niilaani na kuichukia 2023. Nilifyatuliwa kwelikweli. Naamini hata mafyatu...
View ArticleKWA HERI 2023; KARIBU 2024. LET US PRAISE THE LORD
We have already said goodbye to the year 2023 in last week’s article; so, in this presentation, we will only wish our readers a happy and prosperous new year to all our readers. The year 2023, was the...
View Article