$ 0 0 Zahara au Bulelwa Mkukutana Mwanamuzik maarufu toka Afrika Kusini naliyesifika kwa uimbaji na upigaji gitaa hatunaye tena. Alifariki juzi tokana na kilichosemekana kuwa ni kupiga mma kupita kiasi. RIP Bule.